Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAAFIFA YA MSIBA COLUMBUS, OH USA

 Tunasikitika kuwaarifu kwamba mwenyekiti wetu wa kwanza wa mfuko Mr MichaelMgodo amepatwa na msiba wa baba yake mzazi uliotokea katika hospitali ya Dar Group juzi. Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani Tanzania na hapa USA kwa Mr and Mrs Mgodo.Address yao ni 549 Wildindingo Run, Westerville, Ohio 43081. 
Kwa maelezo  Zaidi please wasiliana na Michael Mgodo kwa kupitia number 614 446 5556, Teddy Mgodo 614 772 1591 na mwenyekiti wa sasa ndugu Deo Mwalujuwa kwa number yake ya 614 378 8655.Kama...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Vijimambo

MAENDELEO YA MSIBA COLUMBUS, OHIO

Ndugu wanamfuko na watanzania,
Kwa niaba ya Deo tunapenda kuwafahamisha kutakuwa  na misa ya kumuombea dada yetu mpendwa Angela Mchoropa siku ya jumatatu Sept 29, 2014 saa kumi na moja jioni ,nyumbani kwa Deo.Dada Angela anatarajiwa kuzikwa Siku hiyo ya jumatatu nyumbani Tanzania.Anuani ya Deo Ni kama ifuatavyo:
1440 Sharon GreenColumbus Ohio 43229(614)378-8655

ShukranUongozi

 

11 years ago

Vijimambo

Taarifa ya msiba Columbus, OHIO


 Tunasikitika kuwapa taarifa ya msiba. Mwenyekiti wa jumuiya ya watanzania Columbus Deo Mwajulujwa Amefiwa na dada yake Angela Mchoropa. Dada Angela aliugua miezi michache iliyopita , Alipopata nafuu akaenda nyumbani Tanzania ambako Mauti yalimfikia. Kama mila Na desturi zeta kushirikiana na kumfariji mwenzetuKatia kipindi hiki kigumu. Anuani ya Deo ni hii ifuatayo:
1440 Sharon Green Columbus Ohio 43229 (614)378-8655
MWENYEZI MUNGU AMLAZE PEMA PEPONI"
Uongozi

 

10 years ago

Vijimambo

Msiba USA na Tanzania.

Terry na Sunday Shomari wanasikitika kutangaza kifo cha kaka yao mpendwa Mbwana Majjid Shomari kilichotokea jana Ijumaa jijini Dar-es-salaam Tanzania na baadaye kuzikwa nyumbani kwake Mbagala Daressalaam.
Kama ilivyo ada yetu, mnaweza kukutana na wafiwa na kuwapa pole kesho Jumapili kwenye address ifuatayo:
149 Joyceton Terrace
Upper marlboro Md 20774
Bwana ametoa Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.
Amen.

 

10 years ago

Vijimambo

MSIBA KANSAS CITY USA NA TANZANIA

FAMILIA YA ELISA NA ADELITA NYITI WA KILUVYA/KIBAHA TANZANIA WANASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA MTOTO WAO EMMANUEL NYITI. KILICHOTOKEA KANSAS CITY USA, SIKU YA JUMAMOSI TAREHE 06/20/2015.

HISTORIA FUPI YA MAREHEMU
Emmanuel Elisa Nyiti (pichani) alizaliwa March 21, mwaka 1973 mkoani Dar es Salaam Tanzania kabla ya mauti kumfikia Juni 20 mwaka 2015.

Elimu ya awali aliipata katika shule ya msingi Kibaha na baadaye akajiunga na shule ya sekondari Kibaha kutoka mwaka 1987 mpaka 1990.

Baada ya...

 

5 years ago

New Day Live

Credit Settlement Market with Eminent Key Players and Future Outlook to 2026 | Guardian Debt Relief (USA), Freedom Debt Relief (USA), Debt Negotiation Services (USA)

Credit Settlement Market with Eminent Key Players and Future Outlook to 2026 | Guardian Debt Relief (USA), Freedom Debt Relief (USA), Debt Negotiation Services (USA)  New Day Live

 

10 years ago

Michuzi

JAPAN INTERNATIONAL COOPERATION AGENCY DELEGATION VISIT EAC HEADQUARTERS: Discuss dualling of Tengeru-Usa Road, Rehabilitation of Usa - Holili section, and Re-location of Kikafu Bridge

Dr. Enos Bukuku; Deputy Secretary General in charge of Planning and Infrastructure shares a handshake with Eng. Masataka Fujikuma; the JICA Technical Expert.A group photo of Dr. Enos Bukuku; EAC Deputy Secretary General (DSG) in charge of Planning and Infrastructure with Mr. Hajime Iwama; JICA Tanzania Director (DSG's immediate right) and Eng. Hosea Nyangweso; Prinicpal Civil Engineer (DSG's second right) among other members of the Japan delegation and EAC Staff.East African CommunityEast...

 

9 years ago

Michuzi

MISS TANZANIA USA 2015-2016 AEESHA KAMARA ASHINDA KUWA COVER GIRL KWENYE CALENDA YA MISS AFRICA USA

 Miss Tanzania USA 2015-2016 Aeesha Kamara (kushoto) aibuka mshindi na kuwa Cover Girl kwenye Kalenda ya Miss Africa USA 2015-2016 shindano lililofanyika New York siku ya Jumamosi Novemba 28, 2015. Mamiss wengine walioshiriki shindano hilo wakipita mbele ya majaji. Wadau wakipata picha na mamiss wakati mratibu wa mashindano ya miss Africa Lady Kate alipokua akitangaza shindi.Ma Winny Casey (gauni jeusi) pamoja na Lady Kate (mwenye miwani) wakiwa na mamiss.

 

11 years ago

Michuzi

HOYCE TEMU AHAMASISHA WATANZANIA KUMPIGIA KURA MISS TANZANIA USA 2014 KWENYE KINYANG'ANYIRO CHA MISS AFRICA USA

IMG-20140727-WA0011Miss Tanzania USA 2014, Joy Kalemera katika pozi kabla ya mahojiano na Mtangazaji wa kipindi cha "Mimi na Tanzania" Hoyce Temu nchin Marekani.
Mpigie Kura Miss Tanzania USA, Joy Kalemera anayeshiriki kinyang'ayiro cha kumtafuta Miss Africa USA. Mtangazaji wa Mimi Na Tanzania Hoyce Temu ambaye pia ni Miss Tanzania 1999 yupo nchini Marekani na amefanya mahojiano na mrembo huyo.Usikose kuangalia marudio ya mahojiano hayo kwenye kipindi cha "Mimi na Tanzania" Jumamosi ya tarehe 2 August ,2014...

 

11 years ago

GPL

HOYCE TEMU AHAMASISHA WATANZANIA KUMPIGIA KURA MISS TANZANIA USA 2014 KWENYE KINYANG'ANYIRO CHA MISS AFRICA USA‏

Pichani ni Miss Tanzania USA 2014, Joy Kalemera katika pozi kabla ya mahojiano na Mtangazaji wa kipindi cha "Mimi na Tanzania" Hoyce Temu nchin Marekani. Miss Tanzania 1999 ambaye pia ni Mtangazaji wa kipindi cha "Mimi na Tanzania" Hoyce Temu akipata ukodak na Miss Tanzania USA, Joy Kelemera baada ya mahojiano maalum nchini Marekani. Let us all wish her all the best!… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani