Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Taarifa ya msiba Columbus, OHIO


 Tunasikitika kuwapa taarifa ya msiba. Mwenyekiti wa jumuiya ya watanzania Columbus Deo Mwajulujwa Amefiwa na dada yake Angela Mchoropa. Dada Angela aliugua miezi michache iliyopita , Alipopata nafuu akaenda nyumbani Tanzania ambako Mauti yalimfikia. Kama mila Na desturi zeta kushirikiana na kumfariji mwenzetuKatia kipindi hiki kigumu. Anuani ya Deo ni hii ifuatayo:
1440 Sharon Green Columbus Ohio 43229 (614)378-8655
MWENYEZI MUNGU AMLAZE PEMA PEPONI"
Uongozi

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MAENDELEO YA MSIBA COLUMBUS, OHIO

Ndugu wanamfuko na watanzania,
Kwa niaba ya Deo tunapenda kuwafahamisha kutakuwa  na misa ya kumuombea dada yetu mpendwa Angela Mchoropa siku ya jumatatu Sept 29, 2014 saa kumi na moja jioni ,nyumbani kwa Deo.Dada Angela anatarajiwa kuzikwa Siku hiyo ya jumatatu nyumbani Tanzania.Anuani ya Deo Ni kama ifuatavyo:
1440 Sharon GreenColumbus Ohio 43229(614)378-8655

ShukranUongozi

 

10 years ago

Michuzi

9 years ago

Michuzi

IBADA YA KUMBUKUMBU YA MAREHEMU GODFREY MNGODO, COLUMBUS, OHIO

Pr. Mwakabonga akiongoza ibada ya kumbukumbu ya marehemu Godfrey Mbiu Mngodo iliyofanyika siku ya Jumamosi Octoba 31, 2015 Columbus, Ohio nchini Marekani na kuhudhuriwa na ndugu, jamaa na marafiki wakiwemo wafanyakazi wa kituo cha utangazaji Sauti ya Amerika idhaa ya Kiswahili (VOA). Marehemu Godfrey Mbiu Mngodo aliaga Dunia Tarehe 11 Septemba, 2015 Dar es Salaam na kuzikwa Tanga. Godfrey Mbiu Mngodo amefanya kazi katika sehemu mbalimbali kama Redio Tanzania Dar es Salaam (RTD), Voice of...

 

11 years ago

GPL

BALOZI LIBERATA MULAMULA NA MUMEWE WAWASILI COLUMBUS, OHIO‏

 Baadhi ya viongozi wa Jumuiya ya Watanzania Columbus, Ohio wakijiandaa kuelekea uwanja wa ndege wa Columbus, Ohio kumpokea Mhe. Liberata Mulala atakaye kuwa mgeni rasmi kwenye fundraising Dinner itakayofanyika kesho Jumamosi April 19, 2014 na muziki kupigwa na Dj Luke kutoka DC ambaye tayari ameishatia timu na kusema pamoja na fundraising amekuja kuwapa mashabiki wake wa Ohio zawadi wa Pasaka. Fundraising itafanyikia Comfort...

 

10 years ago

Michuzi

Karibuni Ibada ya Kiswahili - Columbus, Ohio Jumapili Septemba 07, 2014

Waacheni watoto wadogo waje kwangu wala msiwazuie;kwa maana Ufalme wa Mbinguni ni wao. - Mathayo 19:14.
Karibuni wote Jumapili hii ya tarehe 7 Septemba kwenye Sikukuu ya Mikaeli na Watoto. Ibada itaongozwa na watoto ambao watatuonyesha vipaji vyao mbalimbali ambavyo Mwenyenzi Mungu amewabariki navyo. Tafadhali mkaribishe na rafiki/jirani yako. Mbarikiwe!

 

9 years ago

Vijimambo

IBADA YA KUMBUKUMBU YA MPENDWA BABA YETU GODFREY MNGODO COLUMBUS. OHIO

Familia ya Michael na Teddy pamoja na Mngodo wote, tunapenda kuwakaribisha ndugu, jamaa na marafiki zetu kwenye ibada maalumu ya shukurani, na kusherehekea maisha ya Marehemu Baba yetu Mzee GODFREY MBIU MNGODO, (pichani) itakayofanyika siku ya jumamosi 10/31/2015 kuanzia saa kumi jioni hadi saa tatu usiku ..Mahali ni 35 E.STANTON AVE, COLUMBUS OH 43214. Karibuni sana na Mungu awabariki.
Kwa maelezo zaidi na maelekezoMichael Mngodo 614 446 5565

 

10 years ago

Vijimambo

UPENDO NKONE, MIKE KALAMBAY WANOGESHA TAMASHA LA GOSPEL COLUMBUS, OHIO

Mwimbaji wa nyimbo za injili wa Columbus, Ohio Enock Mwamba(kati) akiimba moja ya nyimbo za injili huku akiwashirikisha Mike Kalambay aliyekuja kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na Upendo Nkone aliyekuja toka Tanzania maalum kunogesha tamasha la Gospel lililofanyika siku Jumapili May 24, 2015 na kuhitimisha tamasha hilo lililokua la siku 3 mjini humo lililoanzia siku ya Ijumaa May 22, 2015.Mike Kalambay akiimba huku akitoa neno la Mungu kwa Kifaransa kilichochanganyika na lingala huku...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani