WOTE MNAKARIBISHWA NA JUMUIYA YA WAKATOLIKI YA MTAKATIFU MARTIN DE PORRES - Columbus, Ohio

Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziVIONGOZI WA JUMUIYA COLUMBUS, OHIO WAMFANYIA DINNER BALOZI LIBERATA MULAMULA NA MUMEWE
11 years ago
GPLVIONGOZI WA JUMUIYA COLUMBUS, OHIO WAMFANYIA DINNER BALOZI LIBERATA MULAMULA NA MUMEWE
 Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula akisalimiana na katibu wa Jumuiya ya Watanzania Columbus, Ohio Bi. Happiness Salukele wakiwemo wajumbe wa Jumuiya Nasra Murumah, Chiseko Hamisi na kushoto ni mweka hazina wa Jumuiya Bi. Vera Teri  Mhe. Balozi Liberata Mulamula na Mumewe Bwn. George Mulamula wakikaribishwa kwenye mgahawa wa Mitchell's Steakhouse wa Columbus, Ohio na wajumbe wa… ...
10 years ago
Vijimambo20 May
Sifa na Utukufu kwa Mungu - Shukrani kwa Wote! - Ibada ya Kiswahili ~ Columbus, Ohio
Sifa na Utukufu kwa Mungu kwa Baraka za Watoto Kwaya kutoka Uganda waliotembelea Ibada ya Kiswahili 12 Mei 2015. Kipekee tunawashukuru Wanajumuiya wote kwa ushirikiano wako na kushiriki katika Tamasha hili. Mungu akubariki na kubariki huduma yako pia kwa kuwakarimu Watoto na wageni wote ~ Ibada ya Kiswahili ~ Mch. Ipyana Mwakabonga
Watoto Kwaya - Uganda
Watoto Kwaya wakikaribishwa rasmi na Watoto wa Ibada ya Kiswahili - Ohio ( Ian na Suzy) na Uongozi wa Ibada ya Kiswahili - Columbus, Ohio

Watoto Kwaya - Uganda

Watoto Kwaya wakikaribishwa rasmi na Watoto wa Ibada ya Kiswahili - Ohio ( Ian na Suzy) na Uongozi wa Ibada ya Kiswahili - Columbus, Ohio

10 years ago
Vijimambo
Ibada ya Kiswahili - Columbus, Ohio - Jumapili hii ya Disemba 07, 2014 Saa Tisa na nusu (3:30pm EST) Karibuni wote! Mch. Ipyana Mwakabonga

10 years ago
Michuzi
11 years ago
Vijimambo28 Sep
MAENDELEO YA MSIBA COLUMBUS, OHIO
Ndugu wanamfuko na watanzania,
Kwa niaba ya Deo tunapenda kuwafahamisha kutakuwa na misa ya kumuombea dada yetu mpendwa Angela Mchoropa siku ya jumatatu Sept 29, 2014 saa kumi na moja jioni ,nyumbani kwa Deo.Dada Angela anatarajiwa kuzikwa Siku hiyo ya jumatatu nyumbani Tanzania.Anuani ya Deo Ni kama ifuatavyo:
1440 Sharon GreenColumbus Ohio 43229(614)378-8655
ShukranUongozi
Kwa niaba ya Deo tunapenda kuwafahamisha kutakuwa na misa ya kumuombea dada yetu mpendwa Angela Mchoropa siku ya jumatatu Sept 29, 2014 saa kumi na moja jioni ,nyumbani kwa Deo.Dada Angela anatarajiwa kuzikwa Siku hiyo ya jumatatu nyumbani Tanzania.Anuani ya Deo Ni kama ifuatavyo:
1440 Sharon GreenColumbus Ohio 43229(614)378-8655
ShukranUongozi
11 years ago
Vijimambo28 Sep
Taarifa ya msiba Columbus, OHIO
Tunasikitika kuwapa taarifa ya msiba. Mwenyekiti wa jumuiya ya watanzania Columbus Deo Mwajulujwa Amefiwa na dada yake Angela Mchoropa. Dada Angela aliugua miezi michache iliyopita , Alipopata nafuu akaenda nyumbani Tanzania ambako Mauti yalimfikia. Kama mila Na desturi zeta kushirikiana na kumfariji mwenzetuKatia kipindi hiki kigumu. Anuani ya Deo ni hii ifuatayo:
1440 Sharon Green Columbus Ohio 43229 (614)378-8655
MWENYEZI MUNGU AMLAZE PEMA PEPONI"
Uongozi
10 years ago
MichuziIBADA YA KUMBUKUMBU YA MAREHEMU GODFREY MNGODO, COLUMBUS, OHIO
11 years ago
Michuzi
Karibuni Ibada ya Kiswahili - Columbus, Ohio Jumapili Septemba 07, 2014

Karibuni wote Jumapili hii ya tarehe 7 Septemba kwenye Sikukuu ya Mikaeli na Watoto. Ibada itaongozwa na watoto ambao watatuonyesha vipaji vyao mbalimbali ambavyo Mwenyenzi Mungu amewabariki navyo. Tafadhali mkaribishe na rafiki/jirani yako. Mbarikiwe!
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
05-May-2025 in Tanzania
Magazeti ya Leo
Zinazosomwa Sasa
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10