Taarifa Kutoka Maisha Plus Mama shujaa
![](http://4.bp.blogspot.com/-ei3LBpSTf0o/UxVqsmSXMGI/AAAAAAAAMXY/-GT0a2qXgS0/s72-c/2014-03-04+08.08.43.png)
Tunawaomba RADHI kutokana na kutoonekana kwa vipindi vyetu hewani kuanzi Jumamosi tarehe 8. Hii imetokana na sisi Kama waandaaji kuwaomba TBC KUSITISHA kurusha vipindi.
Kipindi cha kwanza kilirushwa saa 4.20 usiku, cha pili kikarushwa saa 4.50 usiku, cha tatu kikarushwa saa 3 usiku na cha nne (cha jumamosi) HAKIKURUSHWA KABISA!
Kwa kuwa jambo hili linahusisha makubaliano, tunaomba muwe na subira wakati tukirekebisha mambo ili muweze kuitazama Maisha Plus SEHEMU na muda UNAOELEWEKA...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziMAMA SHUJAA WA CHAKULA WAINGIA RASMI KIJIJI CHA MAISHA PLUS
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-sfbFuoB50Xc/U3msP5vTDwI/AAAAAAAAVio/X4AboTS2Di4/s72-c/10268513_757703050918683_8268843824020390942_n.jpg)
WASHINDI WA MAISHA PLUS NA MAMA SHUJAA WA CHAKULA 2014 WAPATIKANA NA KUONDOKA NA MILIONI 50
![](http://2.bp.blogspot.com/-sfbFuoB50Xc/U3msP5vTDwI/AAAAAAAAVio/X4AboTS2Di4/s1600/10268513_757703050918683_8268843824020390942_n.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-qsYfQsfvtOI/U3msQdY-LII/AAAAAAAAVis/53Dg4yTmTGo/s1600/10363668_513706802084613_3389523174439884372_n.jpg)
11 years ago
GPLZOEZI LA KUWACHAGUA WASHIRIKI WA MAISHA PLUS/ MAMA SHUJAA WA CHAKULA LAANZA RASMI
11 years ago
Dewji Blog19 May
Hatimaye washindi wa Maisha Plus na Mama Shujaa wa Chakula 2014 wapatikana na kuondoka na Milioni 50
Bahati Muriga mshindi wa Mama Shujaa wa Chakula 2014 akipokea mfano wa hundi yenye thamani ya Tzshs. Milioni 25 aliyoshinda kwa ajili ya vifaa vya kilimo. Kutoka kulia ni Babu wa kijiji, Epheta Msiga wa DMB na Mkamiti Mgawe kutoka Oxfam.
Mshiriki Boniphace Meng’anyi Nyakena akipokea mfano wa hundi ya Tzshs. Milioni 25 alizoshinda katika msimu huu. Kutoka kulia ni Mkurugenzi Mkazi wa Oxfam Jane Foster, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika Yamungu Kuyandabila, Babu...
11 years ago
Michuzitop 20 ya 'Mama Shujaa wa Chakula' watakaoingia kijiji cha Maisha Plus wikiendi hii
Wanawake hao wenye wasifu tofauti tofauti sasa wataingia katika kijiji cha maisha plus kwa muda wa wiki tatu ikiwa ni katika hatua ya kutafuta mshindi wa shindano hilo ambalo linalenga kuhamasisha jamii juu ya kilimo, hifadhi ya chakula na namna ya kukabiliana na mabadiliko ya...
11 years ago
GPLUZINDUZI RASMI WA MAISHA PLUS, MAMA SHUJAA WA CHAKULA 2013 , KINGOLWIRA MOROGORO WAFANA
11 years ago
GPLHATIMAYE MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KWA AJILI YA MAISHA PLUS/MAMA SHUJAA WA CHAKULA YATANGAZWA RASMI