Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UKAGUZI WA LESENI ZA BIASHARA

Afisa Habari wa Wizara ya Viwanda na Uchukuzi, Nicodemas Mushi (kulia) akiongea na waandishi wa habari katika ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo jijini Dar es Salaam kuelezea tamko la serikali kuanza ukaguzi wa leseni za biashara. Pembeni yake ni Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Uhamasishaji Biashara na Masoko, Mashingo Christopher. Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Uhamasishaji Biashara na Masoko, Mashingo Christopher (kati) akikazia tamko la serikali juu ya ukaguzi wa leseni za biashara....

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Taarifa ya Ukaguzi wa Leseni Za Biashara

 Afisa Habari wa Wizara ya Viwanda na Uchukuzi, Nicodemas Mushi (kulia) akiongea na waandishi wa habari katika ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo jijini Dar es Salaam kuelezea tamko la serikali kuanza ukaguzi wa leseni  zote za biashara nchini. Pembeni yake ni Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Uhamasishaji Biashara na Masoko, Mashingo Christopher.  Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Uhamasishaji Biashara na Masoko, Mashingo Christopher (kati) akikazia tamko la serikali juu ya ukaguzi wa leseni...

 

10 years ago

Michuzi

MAKALA SHERIA: HAITOSHI KUUNDA KAMPUNI, LAZIMA UWE NA LESENI YA BIASHARA, HII NI NAMNA YA KUPATA LESENI YA BIASHARA

Na   Bashir     Yakub
Katika  makala  iliyopita  nilisema  kuwa  vijana  wengi   wajasiriamali  wanaofungua   biashara  za  makampuni   wanao  uwezo  mkubwa   wa kufika mbali   isipokuwa  tatizo  lao  ni  taarifa za  mambo  mbalimbali   kuhusu uendeshaji  wa  kampuni   hizo. 
 Mambo  ya uendeshaji   wa  kampuni  ni  mepesi sana  na  yanawezwa   na  mtu  yeyote isiopokuwa   tatizo   ni   taarifa   na  elimu ya  namna  ya  uendeshaji  kisheria   ili   kampuni   ionekane  ni kampuni.  Nilieleza...

 

10 years ago

Vijimambo

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UKAWA KUGAWANA MAJIMBO



CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO 
(CHADEMA)
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UKAWA KUGAWANA MAJIMBO
Tangu jana kumekuwa na taarifa kupitia njia mbalimbali za upashanaji habari kuhusu msimamo wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kusimamisha mgombea mmoja katika nafasi ya ubunge kwenye majimbo ya uchaguzi nchini.

Habari hizo ambazo zingine zimeripotiwa kwenye vyombo vya habari hususan magazeti ya jana (Alhamis) na leo (Ijumaa), zimesema kuwa UKAWA ‘wameshagawana’ majimbo kadha wa kadha na kwamba bado...

 

9 years ago

Michuzi

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MATOKEO YA OPERESHENI GIBOIA II

 Mkurugenzi wa Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) Hiiti Sillo akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani juu ya Mamlaka ya Chakula na Dawa Nchini(TFDA) kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi  imefanya operesheni katika maeneo 243 na kufanikiwa  kukamata bidhaa bandia na zile zilizomaliza muda wa kutumika ambapo zina thamani  zaidi ya shilingi milioni 135. katika mkutanono uliofanyika leo jijini Dar es Salaam kulia ni Mkurugenzi Msaidizi wa Huduma za Dawa wa Wizara ya Afya na Ustawi wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani