Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAARIFA TOKA SHIRIKISHO LA SOKA NCHINI (TFF) LEO

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

TAARIFA KUTOKA SHIRIKISHO LA SOKA NCHINI ( TFF )


Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini TFF imeketi katika ukumbi uliopo makao makuu ya Shirikisho uwanja wa Karume. 

Kamati ya Utendaji imepitia masuala mbalimbali na kutoa maamuzi yafuatayo: 

     CLUB LICENCING (Leseni za vilabu) 

Kamati ya Utendaji imeiagiza sekretarieti ivisisitize vilabu vya Ligi Kuu umuhimu wa kukamilisha maombi yao ya ushiriki wa ligi kuu kwa msimu wa 2015/16 kwa kuwasilisha fomu za maombi ya Leseni za vilabu TFF. Klabu ambayo haitakamilisha mchakato...

 

11 years ago

Michuzi

11 years ago

Michuzi

TAARIFA TOKA SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU TANZANIA (TFF) LEO

KARIA KUFUNGUA KOZI YA MAKOCHA LEO Makamu wa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia (pichani) atakuwa mgeni rasmi kwenye uzinduzi wa kozi ya makocha wa mpira wa miguu ya Leseni B inayotambuliwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF).
Uzinduzi wa kozi hiyo ya wiki mbili utafanywa leo (Juni 10 mwaka huu) saa 6 mchana kwenye hosteli za TFF zilizopo Uwanja wa Kumbukumbu ya Karume jijini Dar es Salaam.
Makocha zaidi ya 20 wenye Leseni C kutoka Tanzania Bara...

 

11 years ago

Michuzi

KUTOKA SHIRIKISHO LA SOKA NCHINI (TFF) LEO

Ratiba za michezo mbali mbali

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA KUTOKA SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU TANZANIA (TFF) LEO

TAIFA STARS YAANZA MAZOEZIKIKOSI cha Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kimeanza mazoezi katika uwanja wa Karume kujiandaa na mchezo dhidi ya Nigeria kuwania kufuzu kwa Fainali za Mataifa ya Afrika mwaka 2017 nchini Gabon.
Wachezaji wa Taifa Stars chini ya kocha wake mkuu Charles Mkwasa watakua wakijifua mara mbili kwa siku asubuhi na jioni katika uwanja wa Karume katika kujiweka fit na maandalizi ya mchezo huo.Kufuatia baadhi ya wachezaji kuwa na majukumu na timu zao kujiandaa na mchezo...

 

11 years ago

Michuzi

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani