TAARIFA TOKA TFF LEOI Februari 12, 2014
TWIGA STARS IKO VIZURI KUIVAA ZAMBIA- KOCHA Kocha Mkuu wa Twiga Stars, Rogasian Kaijage amesema kikosi chake kiko tayari kwa ajili ya mechi ya mchujo ya Kombe la Afrika kwa Wanawake (AWC) dhidi ya Zambia itakayochezwa keshokutwa (Ijumaa) jijini Lusaka. Akizungumza kwenye hafla ya kuiaga timu hiyo iliyofanyika leo (Februari 12 mwaka huu) kwenye ofisi za TFF jijini Dar es Salaam, Kocha Kaijage amesema wachezaji wake wako vizuri, ingawa hakuwa tayari kutoa ahadi kuhusu...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziTAARIFA TOKA TFF LEO Februari 21, 2014
Twiga Stars tayari ipo kambini kujiandaa kwa mechi hiyo itakayochezwa kuanzia saa 10 kamili jioni. Twiga Stars chini ya Kocha Rogasian Kaijage inafanya mazoezi yake kwenye Uwanja wa Karume ambao ni wa nyasi za bandia kama ulivyo...
11 years ago
MichuziTAARIFA TOKA TFF LEO Februari 3, 2014
11 years ago
Michuzi04 Feb
11 years ago
Michuzi10 years ago
GPLTAARIFA TOKA TFF LEO DESEMBA 20, 2014
10 years ago
Michuzitaarifa toka TFF leo Desemba 20,2014
Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) iliyokutana jana (Desemba 19 mwaka huu) jijini Dar es Salaam, imezingatia upungufu uliopo katika utekelezaji wa matumizi ya tiketi za elektroniki.
Hivyo, Kamati hiyo imeiagiza Sekretarieti ya TFF kuwasiliana na benki ya CRDB inayoendesha mfumo huo wa matumizi ya tiketi za elektroniki kuhusu upungufu huo na kuhakikisha unafanyiwa kazi.
MAREKEBISHO YA KATIBA YA TFF
Kamati ya Utendaji ya TFF...
10 years ago
MichuziTAARIFA KUTOKA TOKA TFF LEO Oktoba 5, 2014
Stars inayodhaminiwa na Kilimanjaro Premium Lager inaingia kambini kwenye hoteli ya Accomondia jijini Dar es Salaam ikiwa na kikosi cha wachezaji 26 walioitwa na Kocha Mart Nooij kwa ajili ya mechi hiyo...
11 years ago
Michuzi22 May
11 years ago
GPL