Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Taarifa za kamati zawasha moto Bunge la Katiba

Bunge la Katiba leo linatarajiwa kuwaka moto upya wakati taarifa za Kamati zitakapoanza kuwasilishwa, huku mvutano mkubwa ukitarajiwa kuwa juu ya muundo wa Muungano.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

KAMATI YA BUNGE YA KATIBA NA SHERIA YAPOKEA NA KUJADILI TAARIFA YA BAJETI OFISI YA WAZIRI MKUU JIJINI DODOMA

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji, Mhe. Angella Kairuki akijibu hoja za Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria wakati walipowasilisha taarifa ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa Mwaka wa Fedha 2019/2020 pamoja na Makadirio ya mapato na matumizi kwa Mwaka wa Fedha 2020/2021 kwa Mafungu sita (6) yaliyochini ya Ofisi hiyo leo katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma.
Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria, Mhe. Asha Abdalla Juma akizungumza...

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA YA WAWAKILISHI WA TAASISI ZA DINI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA TOKA WAJUMBE 201 KUHUSU MWENENDO WA SHUGHULI ZA BUNGE MAALUM LA KATIBA

 Sisi Wawakilishi wa Jumuiya na Taasisi za Dini, tuliopendekezwa na Taasisi zetu na baadaye kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kushauriana na Rais wa Zanzibar kuwa Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, na kula kiapo cha utekelezaji wa jukumu hili kubwa.Tukiamini kuandaa Katiba Mpya kwa maridhiano ya Kitaifa kwa wananchi wote, tulipokea jukumu hili kama wajibu wetu Kitaifa.  Aidha tunaamini kwamba katika kupata maridhiano ya Kitaifa ni muhimu kuheshimu kila wazo na...

 

11 years ago

MTANZANIA

Bunge la Katiba moto

KUTANGAZWA kwa orodha ya majina ya wajumbe 201 wa Bunge Maalumu la Katiba, kunakotoa fursa ya kuitishwa kwa Bunge hilo wiki ijayo, sasa ni dhahiri kumeibua joto lingine jipya.

Tayari yapo mambo kadhaa yaliyobainika ambayo baadhi ya watu wanasema kuwa ama yanaweza kupandisha joto, au kuvuruga kabisa Bunge hilo la Katiba, lililopangwa kuanza kuketi Februari 18, mwaka huu.

 

11 years ago

GPL

BUNGE MAALUM LA KATIBA MOTO...


Stori: Haruni Sanchawa
BUNGE la Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linatarajiwa kuanza leo na tayari wajumbe wa bunge hilo wamewasha moto wa mjadala hata kabla ya vikao rasmi kuanza. Baadhi ya wajumbe waliozungumza na gazeti hili juzi walisema mijadala inayotarajiwa kuzusha malumbano makubwa ni suala la muundo wa muungano ambapo kuna baadhi yao wanaungana na Tume ya Jaji Joseph Warioba ambayo imependekeza kuwepo na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Bunge la Katiba lapata viongozi wa kamati

BUNGE Maalumu la Katiba jana lilipata wenyeviti na makamu wao kuongoza kamati 12 zilizoundwa kwa ajili ya kujadili rasimu ya pili ya Katiba. Kamati hizo ambazo zinajulikana kwa namba, ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Kampeni Bunge la Katiba zapamba moto

>Wakati ratiba ya shughuli za Bunge Maalumu la Katiba, ikitarajiwa kutangazwa rasmi siku ya uchaguzi wa nafasi ya Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti wa bunge hilo, jana baadhi ya wajumbe walikuwa wakifanya kampeni za wazi ndani ya Ukumbi wa Bunge.

 

5 years ago

Michuzi

WIZARA YAKUTANA NA KAMATI YA BUNGE YAWASILISHA TAARIFA YA UTEKELEZAJI KWA MWAKA 2019/2020



Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama (NUU) wakiongozwa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe. Salim Mwinyi Rehani (mwenye suti nyeusi) wakimsikiliza Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi hayupo pichani aliyekuwa akiwasilisha taarifa ya utekelezaji ya Wizara ya mwaka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani