Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAASISI YA SEKTA BINAFSI, BOT, BENKI YA DUNIA WAJADILI MFUMO WA MIRADI YA PPP.

  Mkurugenzi wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF), Dk Gideon Kaunda (kulia) akizungumza katika hafla ya ufungaji wa mkutano wa siku mbili kuhusu ushiriki wa sekta binafsi katika miradi ya ubia kati ya sekta binafsi na ya umma (PPP), uliyofanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki iliyoandaliwa na Taasisi ya Sekta Binafsi (TPSF), ikishirikiana na Benki Kuu ya Tanzania (BoT) na Benki ya Dunia. Kushoto ni Kamisha wa PPP kutoka Wizara ya Fedha, Dk. Francis Mhilu.  Kamishna wa Sera ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MKUTANO WA WADAU WA UHAMASISHAJI WA UBIA BAINA YA SEKTA YA UMMA NA SEKTA BINAFSI (PPP) KATIKA SEKTA AFYA MKOANI RUKWA

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Eng. Stella Manyanya akifungua rasmi mkutano wa wadau wa uhamasishaji wa ubia baina ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi PPP - ("Public and Private Partnership") katika Sekta ya Afya uliofanyika leo katika ukumbi wa Hospitali Kuu ya Mkoa wa Rukwa. Katika hotuba yake ya ufunguzi amesema ili kufikia lengo kuu la millennia ifikapo mwaka 2015 la kupunguza vifo vya watoto, akina mama wajawazito na kuweza kudhibiti magonjwa yanayoambukiza na yasiyoambukiza pamoja na kuboresha...

 

5 years ago

CCM Blog

ALIYEKUWA MWENYEKITI WA TAASISI YA SEKTA BINAFSI TANZANIA (TPSF) AFARIKI DUNIA

   Aliyekuwa Mwenyekiti wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF)  na Mkurugenzi wa zamani wa Katani Limited Salum Shamte amefariki Dunia katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, alikokuwa akipatiwa matibabu. Mkewe Mariam Shamte amethibitisha.
Oktoba 31, 2019, Salum Shamte pamoja na wenzake akiwemo Juma Shamte ambaye ndiye Mkurugenzi wa sasa wa Katani Limited na mjumbe wa bodi, Fatma Diwani walipandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Tanga wakikabiliwa na mashtaka ya uhujumu uchumi...

 

10 years ago

Michuzi

MFUMO WA KIMTANDAO UNAOWEZESHA KUPOKEA NA KUHAMISHA MIAMALA YA KIFEDHA KUTOKA BENKI MOJA KWENDA NYINGINE UNAORATIBIWA NA BENKI KUU YA TANZANIA (BOT)

 MFUMO WA KIMTANDAO UNAOWEZESHA KUPOKEA NA KUHAMISHA MIAMALA YA KIFEDHA KUTOKA BENKI MOJA KWENDA NYINGINE UNAORATIBIWA NA BENKI KUU YA TANZANIA (BOT)  YAANI ‘TANZANIA INTER-BANK SETTLEMENT SYSTEM’ (TISS) WAONGEZA UFANISI KATIKA BANDARI YA DAR ES SALAAM Kaimu Meneja wa Bandari ya Dar es Salaam, Bw. Hebel Mhanga, akibadilishana mawazo na Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Bw. Gabriel Migire, leo asubuhi kabla Kaimu Katibu Mkuu hajaongea na waandishi wa habari pamoja na wadau kuhusu...

 

11 years ago

Habarileo

JK ahimiza ushiriki sekta binafsi miradi ya reli, barabara

RAIS Jakaya Kikwete ametoa wito kwa nchi wanachama kukuza ushiriki na sekta binafsi katika kuwekeza kwenye mradi wa Maendeleo wa Ukanda wa Kati. Akizungumza leo jijini Dar es Salaam, kwenye mkutano wa kuzungumzia ukanda huo, alisema fedha za serikali pekee hazitoshelezi kufikia malengo ya kukamilisha miradi ya reli na barabara.

 

9 years ago

Mwananchi

Sekta binafsi inahitaji sera, mfumo thabiti wenye udhibiti uliokamilifu

Sekta binafsi nchini inataka kuwapo na mazingira thabiti yanayoeleweka ya kisera na udhibiti yatakaowezesha wawekezaji, watekelezaji na wateja kuwa katika hali ya kufanya maamuzi ya muda mrefu wakiwa na uhakika.

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI UMMY MWALIMU AKUTANA NA TAASISI YA SEKTA BINAFSI-TPSF


Na. WAMJW-DSM

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu leo amekutana na Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) na kujadili namna ya kukabiliana na ugonjwa wa Corona (COVID-19) nchini.

Katika kikao hicho, Waziri Ummy Mwalimu ameshukuru baraza hilo kwa kushirikiana na Sekta ya afya katika mapambano ya ugonjwa huo.

”Mchango wa sekta binafsi mkiwamo nyie wafanyabiashara ni muhimu kwani mtaleta manufaa makubwa katika mapambano haya,” amesema Waziri Ummy...

 

11 years ago

Vijimambo

BENKI YA DUNIA NA WAWAKILISHI WIZARA YA FEDHA WAJADILI MASWALA MBALIMBALI YANAYOIHUSU TANZANIA

Baadhi ya viongozi wa Wizara ya fedha wakifuatilia kwa makini mkutano uliokuwa ukiongozwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa serikali Dr. Servacius Likwelile, ambapo ujumbe kutoka Tanzania ulikutana na Mwakili Mkazi wa Benki ya Dunia kwa Tanzania, Rwanda, Uganda na Burundi Bw. Phippe Dongier hawapo kwenye picha kwa madhumuni ya kujadili masuala mbalimbali yanayohusu uchumi wa Tanzania. Kutoka kushoto ni Bw. John Cheyo ambaye ni Kamishna wa Bajeti, anayefuata ni Katibu...

 

10 years ago

Michuzi

REA KUHUSISHA SEKTA BINAFSI PAMOJA NA BENKI NCHINI ILI KUONGEZA KASI YA USAMBAZAJI UMEME VIJIJINI

Na Benedict John-MAELEZO-Dar es salaam Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imeadhimia kuhusisha Sekta binafsi pamoja na benki nchini ili kuongeza kasi ya usambazaji umeme Vijijini.
Hatua hiyo itasaidia kuleta maendeleo ya haraka na kufikisha umeme katika maeneo ya vijijini katika maeneo mengi hapa nchini.
Kauli hiyo imetolewa leo jijini Dar es salaam na  Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Mhandisi Ngosi Mwihava wakati akiongea katika kikao kilichohusisha Bodi ya Wakala wa...

 

11 years ago

Michuzi

Sekta ya Elimu yapokea Bil. 203 kutoka Benki ya Dunia

Na Rose Masaka - MAELEZO
Serikali ya Tanzania imesaini mkataba wa kupokea mkopo nafuu wa shilingi bilioni 203 kutoka Benki ya Dunia kwa ajili ya kuendeleza sekta ya elimu katika mpango wake wa matokeo makubwa sasa(BRN).
Mkataba huo umesainiwa na Katibu mkuu wa wizara ya fedha Dk. Servacus Likwelile huku ukiwashirikisha Katibu Mkuu wa Wizara ya Elinu na Naibu Katibu Mkuu kutoka TAMISEMI leo jijini Dar es Salaam.
Akizungumza wakati wa hafla hiyo fupi ya kusaini mkataba Katibu Mkuu wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani