Taasisi za dini kufutwa
Na Waandishi Wetu, Dar es Salaam
SERIKALI imetishia kuzifutia usajili taasisi mbalimbali za kidini, endapo zitabainika kukiuka sheria ya vyama vya kijamii kwa kutoa matamko na kushawishi waumini wao kutekeleza matakwa ya kisiasa.
Kauli ya Serikali, imekuja siku chache baada ya viongozi wa Jukwa la Kikristo Tanzania (PCT) kutoa tamkoa la kuwataka waumini wao kuipigia kura ya hapana Katiba inayopendekezwa, wakisema imeandaliwa kwa njia ya ubabe.
Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Uhuru Newspaper![](http://4.bp.blogspot.com/-zyJOS-3-wbo/VS01KZpzWkI/AAAAAAAACEs/5erLglivxY8/s72-c/CHIKAWE-640x480.png)
Taasisi za dini kufutwa
Ni zilizoshindwa kuwasilisha mapato na matumizi Zingine zajiingiza kwenye siasa kinyume cha sheria
NA MWANDISHI WETU
TAASISI za dini ziko hatarini kufutwa katika orodha ya usajili kutokana na kuvunja sheria kwa kushindwa kutoa taarifa za mapato na matumizi ya hesabu za fedha kwa mwaka, imeelezwa.
Kazi ya kuzifuta taasisi hizo, inatarajia kufanyika Jumatatu ijayo, baada ya kukamilisha uchambuzi wa taasisi hizo na kwamba itaanzia jijini Dar es Salaam na baaadaye mikoani.
Waziri wa Mambo ya...
5 years ago
MichuziTAASISI YA ODO UMMY FOUNDATION YATOA VIFAA VYA USAFI KWA TAASISI KUBWA ZA DINI JIJINI TANGA
10 years ago
Mtanzania16 Apr
Viongozi taasisi za dini wacharuka
Esther Mbussi na Grace Shitundu, Dar es Salaam
ASKOFU wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amezua jambo baada ya kuhusishwa na kauli ya Serikali kuhusu kuzifungia taasisi mbalimbali zikiwamo za kidini.
Hatua ya Askofu Gwajima kuziponza taasisi hizo, imetafsiriwa na viongozi wa dini siku moja baada ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe kutangaza tishio la kuzifuta taasisi hizo.
Kutokana na hatua hiyo, viongozi wa dini wamemtaka Waziri Chikawe kufuta kauli yake ambayo...
10 years ago
Tanzania Daima07 Oct
Viongozi watakiwa kutopuuza taasisi za dini
VIONGOZI wa Serikali, wametakiwa kutopuuza mialiko kutoka Taasisi za kidini kwani katika shughuli hizo za kijamii hutumika kufikisha changamoto zao ambazo zinahitaji ufumbuzi. Ombi hilo limetolewa mjini Kibaha juzi, wakati...
9 years ago
Habarileo19 Oct
‘Serikali inathamini mchango wa taasisi za dini’
SERIKALI imekiri kutambua na kuthamini miradi ya maendeleo inayotekelezwa na taasisi za dini ikiwemo kuhubiri amani na mshikamano ambao ndiyo msingi mkubwa wa maendeleo ya Watanzania.
9 years ago
Mwananchi31 Dec
Taasisi za dini zatajwa sakata la makontena
10 years ago
Habarileo01 Jun
Membe ashukuru taasisi za dini, atuzwa
WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe amezishukuru taasisi za dini nchini kwa malezi bora ya vijana na jamii, akisema taasisi hizo zimetoa mchango mkubwa katika kudumisha umoja, amani na utulivu nchini.
10 years ago
Mwananchi18 Sep
Taasisi za dini zianzishe vituo vya utalii
10 years ago
Habarileo02 Apr
Tunatambua juhudi za taasisi za dini kuleta maendeleo -RC
MKUU wa wilaya ya Mvomero, mkoani Morogoro, Festo Kiswaga, amesema serikali ya mkoa inatambua juhudi zinazofanywa na taasisi za dini kuleta maendeleo ya jamii katika sekta mbalimbali, ikiwemo ya afya, elimu na maji.