Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tabu Ley: Mfalme wa Rhumba aliyeacha watoto 68

Kama kuna mwanamuziki ambaye ameacha historia ya pekee katika maisha yake, si mwingine ni Pascal-Emmanuel Sinamoyi au Tabu Ley (76) kama anavyojulikana na wengi

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Gwiji wa Rumba Tabu Ley azikwa Kinshasa

Shughuli ya mazishi ya marehemu Tabu Ley Rochereau gwiji wa Rumba Afrika, inaendelea mjini Kinshasa katika Jamuhuri ya Kidemokrasi ya Congo

 

10 years ago

Mwananchi

Jenerali Sani Abacha: Dikteta aliyeacha makovu mengi Nigeria

Jenerali Sani Abacha alikuwa Rais wa 10 wa Nigeria kuanzia mwaka 1993-1998. Abacha aliyezaliwa Septemba 20, 1943, alifariki dunia katika mazingira ya kutatanisha yaliyoacha maswali mengi kuliko majibu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

WAKUDEKA: Chipukizi ‘Dansi Rhumba’ anayekosa imani na Ma-DJ

VIJANA wengi wa Kitanzania ambao wanaamua kuingia kwenye soko la muziki hivi sasa hujikita zaidi katika muziki wa Bongo Fleva au hip hop. Licha ya wengi wao kujishughulisha na muziki...

 

10 years ago

Michuzi

SIKILIZA RHUMBA JIPYA LA ISHA MASHAUZI A.K.A JIKE LA SIMBA

NYOTA wa miondoko ya taarab, Isha Mashauzi amekuja kivingine ambapo ameachia rhumba kali la miondoko ya muziki wa dansi. Ngoma hiyo inakwenda kwa jina la “Nimlaumu Nani”. Ni wimbo wa dakika tano uliorekodiwa katika studio ya Soft Records chini ya producer Pitchou Meshaa. Sauti zote utakazozisikia katika wimbo huu, zimewekwa na Isha Mashauzi mwenyenye – ameimba peke yake mwanzo mwisho.

 

9 years ago

GPL

UCHAGUZI 2015, NI MWAKA WA TABU

Mgombea urais wa Ukawa kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa. Na Mwandishi Wetu NDIYO lugha nyepesi kutamkika katika kipindi hiki ambacho nchi iko kwenye safari ya kuelekea uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 25, mwaka huu.Vyama vikubwa ni viwili, Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliomsimamisha Dk. John Magufuli na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) waliomsimamisha Edward Lowassa. Mgombea urais...

 

11 years ago

Tanzania Daima

KING KESTER EMENEYA: Nguli wa rhumba aliyefariki na rekodi ya mahudhurio DRC

FEBRUARI 13 mwaka huu, mashabiki na wadau wa muziki wa rhumba Afrika Mashariki na Kati, walipata pigo la aina yake, baada ya mkali wa muziki huo kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani