WAKUDEKA: Chipukizi ‘Dansi Rhumba’ anayekosa imani na Ma-DJ
VIJANA wengi wa Kitanzania ambao wanaamua kuingia kwenye soko la muziki hivi sasa hujikita zaidi katika muziki wa Bongo Fleva au hip hop. Licha ya wengi wao kujishughulisha na muziki...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi07 Dec
Tabu Ley: Mfalme wa Rhumba aliyeacha watoto 68
10 years ago
Michuzi24 Sep
SIKILIZA RHUMBA JIPYA LA ISHA MASHAUZI A.K.A JIKE LA SIMBA
5 years ago
Michuzi11 years ago
Tanzania Daima28 Mar
KING KESTER EMENEYA: Nguli wa rhumba aliyefariki na rekodi ya mahudhurio DRC
FEBRUARI 13 mwaka huu, mashabiki na wadau wa muziki wa rhumba Afrika Mashariki na Kati, walipata pigo la aina yake, baada ya mkali wa muziki huo kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia...
10 years ago
Michuzi14 Feb
KITU KIPYA KABISA KUTOKA KWA ISHA MASHAUZI “NIMPE NANI” …NI ZOUK RHUMBA LENYE UTAMU WA MASAUTI
10 years ago
Dewji Blog15 Aug
Njoo uanze week — end yako kwa kusakata Rhumba na Skylight Band leo Thai Village-Masaki
Divas wa Skylight Band kutoka kushoto Aneth Kushaba AK47, Mary Lucos na Digna Mbepera kwa pamoja wakitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band Ijumaa iliyopita kwenye kiwanja chao cha nyumbani Thai Village Masaki jijini Dar.
Mary Lucos akifanya yake jukwaani.
Hashim Donode a.k.a Mzee wa Kiduku akitoa burudani kwa wapenzi wa Skylight Band (hawapo pichani) huku akipewa sapoti na Digna Mbepera pamoja na Sam Mapenzi.
Sam Mapenzi (kulia) sambamba na Sony Masamba (katikati) pamoja na Joniko...
11 years ago
GPLBONGO DANSI IMEPATWA NA NINI?
10 years ago
Mwananchi12 Jul
Muziki ni zaidi ya dansi na Starehe -3
11 years ago
Tanzania Daima15 Dec
Tikisa Dansi kivumbi leo
MAKUNDI saba yaliyoingia hatua ya robo fainali ya shindano la kucheza muziki liitwalo Dance Battling, leo usiku yataonyeshana umahiri wa kucheza miondoko mbalimbali katika shoo ya nguvu itakayofanyika katika Ukumbi...