Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BONGO DANSI IMEPATWA NA NINI?

Mzee wa Farasi, Ali Choki. KWENU,
Wanamuziki na wamiliki wa bendi za dansi nchini maarufu zaidi kama Bongo Dansi. Salamu sana. Mimi ni mzima wa afya njema na ninaendelea na mchakamchaka wa maisha kama kawaida. Kwa hakika mnastahili barua hii, maana nimewasahau kwa muda mrefu. Bado nachanganyikiwa, najiuliza: Hivi muziki wenu umepatwa na nini? Dada Asha Baraka, tatizo ni nini? Mzee wa Farasi, Ali Choki imekuwaje kaka?...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

HATIMAYE BONGO DANSI YATIMIZA MWAKA MMOJA

Hatimaye kundi la BONGO DANSI limetimiza mwaka mmoja kamili tokea kuanzishwa kwake na kufanya sherehe kubwa za maadhimisho katika ukumbi wa Vijana Social Hall.

BONGO DANSI ni kundi linalopatikana kwenye mtandao wa Facebook (kama Facebook Group) lenye lengo ya kujadili  na kuinua muziki wa dansi wa Tanzania sambamba na kuwaunganisha wadau mbalimbali wa tasnia ya muziki wa dansi Tanzania wakiwemo washabiki, wanamuziki, waandishi wa habari, mameneja na wamiliki wa bendi. Mpaka sasa kundi ...

 

11 years ago

Michuzi

KUNDI LA BONGO DANSI LA SHEREHEKEA MWAKA MMOJA WA KUANZISHWA KWAKE NA VIJANA JAZZ

Baadhi ya wana Bongo Dansi wakiwa katika picha ya pamoja na bendi ya vijana jazz wakati wa kusherehekea mwaka mmoja wa kundi hilo tangia lianzishwe kwenye mtandao wa kijamii wa facebook ambapo kundi hilo mpaka sasa lina wanachama 3,086 mashabiki wa bendi mbalimbali wa muziki wa dansi nchini. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

10 years ago

Vijimambo

Ngoma Africa band na Jinamizi lao la Bongo Dansi barani ulaya lazidi kuwanasa washabiki

Imebainika kuwa bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa band aka FFU-ughaibuni almaarufu viumbe wa ajabu Anunnaki Alien,inayoongoza na mwanamuziki Ebrahim Makunja aka kamanda Ras Makunja,bendi hiyo imejukuta ipo katika hali ya kukosa usingizi tena baada ya kutakiwa kutumbuiza maomyesho zaidi katika msimu ujao wa joto,watayarishaji wa maonyesho makubwa ya nje barani ulaya wanashinikizwa na washabiki wao lazima waipandishe jukwaani Ngoma Africa Band kutokana na mdundo wao...

 

10 years ago

Mwananchi

Muziki ni zaidi ya dansi na Starehe -3

Nimeajiriwa kufanya warsha za muziki, siku tatu mfululizo. Chumba nilichopo kimepambwa picha za rangi nzuri ili kuwapendeza na kuwatuliza watoto. Hawa ni walemavu wa aina mbalimbali. Wapo walio katika vigari vinavyosukumwa , baadhi hawawezi kupumua, wana mirija inayopitia chupa za hewa, wengine wameumia kiasi ambacho ubongo au mioyo yao inaendeshwa kwa betri maalumu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tikisa Dansi kivumbi leo

MAKUNDI saba yaliyoingia hatua ya robo fainali ya shindano la kucheza muziki liitwalo Dance Battling, leo usiku yataonyeshana umahiri wa kucheza miondoko mbalimbali katika shoo ya nguvu itakayofanyika katika Ukumbi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mchawi muziki wa dansi ni wanamuziki wenyewe

AHLANWASHLAN msomaji wa safu ya Busati. Leo nitazungumzia anguko la muziki wa dansi nchini. Kama wengi tujuavyo, muziki wa dansi hivi sasa umepoteza umaarufu wake kwa wadau huku waangushaji wa...

 

11 years ago

Michuzi

TBC YAKUTANISHA WADAU WA MUZIKI WA DANSI

Baadhi ya wasanii wakongwe wa bendi mbalimbali wakiwa katika mdahalo wa muziki wa dansi kutoka kushoto ni King Kiki, Juma Ubao, Mafumu Bilali 'Bombenga' Kassimu Mapili na Waziri Ally Wadau wa muziki wa dansi wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kumalizika mdahalo. Kwa habari kamili na picha zaidi BOFYA HAPA

 

11 years ago

Mwananchi

Muziki wa dansi umejinyonga na kamba yake?

Ni huzuni. Kumbi za muziki wa dansi ziko tupu. Bendi maarufu karibu zote zilizotamba miaka ya 70 na 90 zimebaki kuwa historia. Chache zilizokuwapo tunashuhudia wanamuziki wake wakipigia viti vitupu katika baa za kawaida kabisa, zilizopo pembezoni mwa jiji la Dar es salaam.

 

11 years ago

GPL

WADAU WA MUZIKI WA DANSI WAKUTANISHWA NA TBC

Wadau wa muziki wa dansi wakiwa katka picha ya pamoja. Wadau wa muziki wa dansi, Asha Kigundula na mwandishi wa Gazeti la Mwananchi wakifuatilia mdahalo huo.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani