Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAHLISO yawajia juu wasaka urais

Mussa MdedeUMOJA wa Wanafunzi wa Vyuo vya Elimu ya Juu (TAHLISO) umedai kuwepo wanasiasa wanaojitokeza wakitaka uwapigie debe, kuwatengenezea mazingira ya kuwania nafasi za uongozi vitendo vinavyohatarisha umoja wao.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

‘Wasaka urais iacheni Tahliso’

UMOJA wa Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO), umesema haupo tayari kuona unaingiliwa na wanasiasa kwa ajili ya kutaka waungwe mkono kuelekea katika uchaguzi mkuu wa urais wa mwaka 2015.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Raawu yawajia juu wajumbe 201

KATIBU wa Chama cha Wafanyakazi wa Taasisi za Elimu ya Juu, Utafiti na kazi nyinginezo (Raawu) Mkoa wa Dodoma, Ramadhan Mwendwa, amewashambulia baadhi ya wajumbe wa kundi la 201 kukaa...

 

11 years ago

Habarileo

Ikulu yawajia juu wanaobeza uteuzi

Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue.MJADALA kuhusu uteuzi wa Baraza la Mawaziri jipya lililotangazwa karibuni hauna maana na ni kupoteza muda, imeelezwa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

JK awafyatua wasaka urais

RAIS Jakaya Kikwete amewaponda wanasiasa wanaopigana vikumbo ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakisaka uongozi kwa rushwa ya fedha na vijizawadi kwa wananchi, akihoji walikuwa wapi wakati wote. Pamoja na...

 

11 years ago

Habarileo

TUCTA yaonya wasaka urais

Katibu Mkuu wa TUCTA, Nicholaus MgayaKATIBU Mkuu wa Shirikisho la Wafanyakazi nchini (TUCTA), Nicholaus Mgaya amewataka wanasiasa wanaotarajia kuwania urais wa nchi katika uchaguzi mkuu wa mwaka kesho, kuacha kuwatumia wafanyakazi.

 

10 years ago

Raia Mwema

Wasaka urais wabagua wadhamini Mwanza

KATIKA hali ambayo haikutarajiwa, makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wanaosaka urais wameonyesha

Christopher Gamaina

 

10 years ago

Habarileo

Wasaka urais CCM wavuruga wabunge

Spika wa Bunge, Anna Makinda.WAKATI wasaka urais wa CCM wakizunguka nchi nzima kutafuta wadhamini ili watimize masharti ya kutimiza ndoto zao, vita ya wasaka majimbo imepamba moto kiasi cha kukimbiza wabunge na mawaziri karibu wote katika vikao vya Bunge vinavyoendelea Dodoma.

 

10 years ago

Habarileo

Pinda aunga foleni ya wasaka urais

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akionesha mkoba wenye fomu ya kuwania kuteuliwa na CCM kugombea nafasi ya Urais katika uchaguzi mkuu mwaka huu baada ya kuchukua fomu hiyo, Dodoma jana. Kulia ni mkewe, Tunu Pinda na Katibu wa Oganaizesheni wa NEC, Mohamed Seif Khatib. (Picha na Ofisi Waziri Mkuu)WAZIRI Mkuu jana amejitosa rasmi kuchukua fomu na kuingia katika kinyang’anyiro cha kuomba kupeperusha bendera ya CCM katika Uchaguzi Mkuu wa 2015.

 

10 years ago

Raia Tanzania

Wasaka urais wengi CCM ni tegesha tu!

ONGEZEKO la makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wanaowania urais mwaka huu linatazamwa na watu wengi kwamba ni matokeo ya kupanuka kwa demokrasia ndani ya chama tawala, ingawa ukweli  usiopingika ni kuwa, wengi wao hawana dhamira ya kweli ya kuingia Ikulu.

Takwimu zilizopo zinaonyesha kwamba, makada zaidi ya 30 wametangaza nia na kuchukua fomu watakazotumia kuomba kuteuliwa na chama hicho kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, dhidi ya wagombea wengine kutoka vyama vingine...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani