TUCTA yaonya wasaka urais
KATIBU Mkuu wa Shirikisho la Wafanyakazi nchini (TUCTA), Nicholaus Mgaya amewataka wanasiasa wanaotarajia kuwania urais wa nchi katika uchaguzi mkuu wa mwaka kesho, kuacha kuwatumia wafanyakazi.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima03 Feb
JK awafyatua wasaka urais
RAIS Jakaya Kikwete amewaponda wanasiasa wanaopigana vikumbo ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakisaka uongozi kwa rushwa ya fedha na vijizawadi kwa wananchi, akihoji walikuwa wapi wakati wote. Pamoja na...
10 years ago
Habarileo16 Dec
‘Wasaka urais iacheni Tahliso’
UMOJA wa Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO), umesema haupo tayari kuona unaingiliwa na wanasiasa kwa ajili ya kutaka waungwe mkono kuelekea katika uchaguzi mkuu wa urais wa mwaka 2015.
10 years ago
Raia Mwema25 Jun
Wasaka urais wabagua wadhamini Mwanza
KATIKA hali ambayo haikutarajiwa, makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wanaosaka urais wameonyesha
Christopher Gamaina
10 years ago
Raia Tanzania25 Jun
Wasaka urais wengi CCM ni tegesha tu!
ONGEZEKO la makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wanaowania urais mwaka huu linatazamwa na watu wengi kwamba ni matokeo ya kupanuka kwa demokrasia ndani ya chama tawala, ingawa ukweli usiopingika ni kuwa, wengi wao hawana dhamira ya kweli ya kuingia Ikulu.
Takwimu zilizopo zinaonyesha kwamba, makada zaidi ya 30 wametangaza nia na kuchukua fomu watakazotumia kuomba kuteuliwa na chama hicho kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, dhidi ya wagombea wengine kutoka vyama vingine...
10 years ago
Habarileo18 Aug
TAHLISO yawajia juu wasaka urais
UMOJA wa Wanafunzi wa Vyuo vya Elimu ya Juu (TAHLISO) umedai kuwepo wanasiasa wanaojitokeza wakitaka uwapigie debe, kuwatengenezea mazingira ya kuwania nafasi za uongozi vitendo vinavyohatarisha umoja wao.
10 years ago
Habarileo21 Jun
Wasaka urais CCM wavuruga wabunge
WAKATI wasaka urais wa CCM wakizunguka nchi nzima kutafuta wadhamini ili watimize masharti ya kutimiza ndoto zao, vita ya wasaka majimbo imepamba moto kiasi cha kukimbiza wabunge na mawaziri karibu wote katika vikao vya Bunge vinavyoendelea Dodoma.
10 years ago
Habarileo13 Jun
Pinda aunga foleni ya wasaka urais
WAZIRI Mkuu jana amejitosa rasmi kuchukua fomu na kuingia katika kinyang’anyiro cha kuomba kupeperusha bendera ya CCM katika Uchaguzi Mkuu wa 2015.
11 years ago
Habarileo21 Feb
Membe apongeza CCM kuadhibu wasaka urais
WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, amepongeza hatua ya CCM kumpa onyo kali na kumweka chini ya uangalizi kwa mwaka mmoja, kutokana na kubainika kuanza kampeni za urais kabla ya muda. Membe aliyeelezea sababu za kutokea kwa utovu huo wa nidhamu, amesifu utaratibu huo wa CCM kuadhibu makada wake kuwa ni sahihi na mfumo mzuri wa kutengeneza nidhamu ndani ya chama.
10 years ago
Mtanzania16 Jun
Wasaka urais CCM wapigana vikumbo mikoani
Na Waandishi Wetu
HEKA HEKA za kusaka wadhamini mikoani kwa makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wanaowania kugombea urais zimeendelea kushika kasi mikoani.
Wakati hayo yakiendelea, Mwenyekiti Mstaafu na kada mkongwe wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Kagera, Pius Ngeze ametangaza rasmi kumuunga mkono Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa katika harakati zake za kutafuta kuwa mgombea urais kupitia chama hicho.
Ngeze aliyekuwa miongozi mwa viongozi wa chama hicho mkoani humo waliojumuika...