Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Taifa Stars kurejea leo toka Uturuki

Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars kurejea kutoka Uturuki walikokuwa wamepiga kambi

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

TAIFA STARS KUREJEA NCHINI LEO, YATARI KWA MTANANGE DHIDI YA MBWEHA WA JANGWANI JUMAMOSI HII

Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager inarejea leo nyumbani kwa shirika la ndege la Fastjet, ambapo inatarajiwa kuwasili uwanja wa JK Nyerere majira ya saa 12 kamili jioni.
Stars iliyokuwa imeweka kambi nchini Afrika Kusini kwa takribani siku 10, inarejea nyumbani ikiwa imefanya mazoezi vizuri kujiandaa na kuwakabili Mbweha wa Jangwani Algeria siku ya Jumamosi katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
Akiongelea kuhusu kambi kocha wa...

 

11 years ago

Michuzi

TAIFA STARS KUREJEA NCHINI KESHO MCHANA KUTOKA NAMIBIA

Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inatarajia kurejea nchini kesho (Machi 7 mwaka huu) saa 12.45 jioni kutoka Windhoek, Namibia kwenye mechi ya kirafiki ya kalenda ya FIFA.
Taifa Stars ambayo katika mechi hiyo dhidi ya Namibia (Brave Warriors) ilitoka sare ya bao 1-1 itatua Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) saa 8.15 mchana kwa ndege ya South Africa Airways.
Timu inayodhaminiwa na Kilimanjaro Premium Lager baada ya kuwasili itakwenda hoteli ya Accomondia kwa ajili...

 

10 years ago

Habarileo

Taifa Stars waenda Uturuki

TIMU ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, ilitarajia kuondoka leo alfajiri kwenda Uturuki kujiandaa na mchezo dhidi ya Nigeria, Super Eagles, katika mchezo wa Kundi G wa kufuzu kwa fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika 2017.

 

10 years ago

BBCSwahili

Taifa stars kupiga kambi Uturuki

Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) itaondoka nchini siku ya jumapili kuelekea Istambul nchini Uturuki

 

9 years ago

BBCSwahili

Kilimanjaro Stars ya Tz kurejea leo

Kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’ kinatarajiwa kuwasili leo mchana jijini Dar es salaam

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO TOKA KWA MABALOZI WA USWISI NA UTURUKI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Saluti na wimbo wa Taifa kwa Balozi mpya wa Uswisi nchini Bi. Florence Tinguely Mattli, alipofika kuwasilisha hati zake za Utambulisho kwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 9, 2015.  Balozi mpya wa Uswisi nchini Bi. Florence Tinguely Mattli, akiongea na Rais Jakaya Mrisho Kikwete alipofika kuwasilisha hati zake za Utambulisho kwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 9, 2015.  Balozi mpya wa Uturuki nchini Bi. Yasemin...

 

11 years ago

Michuzi

Taifa Stars yatakata Uwanja wa Taifa leo,Yaitungua Bao 4-1 Benin

Mshambuliaji wa timu ya Taifa Stars,Juma Luizio akiipachikia bao nne timu yake katika mtangange wa kikataifa wa kirafiki dhidi ya Benin,uliomalizika hivi punde katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Taifa Stars imeshinda 4-1 dhidi ya Benin. Wachezaji wa Taifa Stars,wakishangilia ushindi wao huku wakiwaacha wapinzani wao wa Benin wakiwa hoi tena wakiwa hawaamini wanachokiona uwanjani hapo. Washabiki wa Taifa stars wakiisapoti vilivyo timu yao. Ubao wa ulionyesha hivi kabla jamaa...

 

11 years ago

Mwananchi

Taifa Stars kusafisha nyota leo?

Taifa Stars inahitaji kusafisha nyota leo mbele ya mashabiki wa soka mkoani Mbeya na Tanzania kwa ujumla kwa kuitandika Malawi ‘The Flame’ katika mchezo wa kimataifa wa kirafiki utakaochezwa kwenye Uwanja wa Sokoine jijini hapa

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani