Taifa stars yajifua kwa Cosafa
Taifa Stars inaingia kambini Jumatatu wiki hii kwa ajili ya kuanza mazoezi ya kujiandaa na michuano ya Cosafa.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili14 May
Taifa Stars yaanza kujifua kwa COSAFA
Taifa Stars inaendelea na mazoezi mepesi mjini Rustenburg, Afrika Kusini tayari kwa michuano ya Kombe la COSAFA
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-xpUSHP4S-GI/VV28UFEJLuI/AAAAAAAHY0E/URrSeKzokCQ/s72-c/unnamed%2B%252828%2529.jpg)
TAIFA STARS BADO NGOMA NGUMU COSAFA, YAPOTEZA MCHEZO WA PILI KWA KUPIGWA 2-0 NA MADAGASCER
![](http://2.bp.blogspot.com/-xpUSHP4S-GI/VV28UFEJLuI/AAAAAAAHY0E/URrSeKzokCQ/s640/unnamed%2B%252828%2529.jpg)
Kwa Taifa Stars kupoteza mchezo huo, moja kwa moja inakua imeaga michuano katika hatua ya makundi, kutokana na kubakisha mchezo mmoja tu wa kukamilisha ratiba dhidi ya Lesotho utakaochezwa kesho ijumaa katika uwanja wa Moruleng.
![](http://2.bp.blogspot.com/-OVKnRIPQFuc/VV28UPVrDEI/AAAAAAAHY0A/J0-HiZ28Lgw/s640/unnamed%2B%252829%2529.jpg)
11 years ago
Mwananchi01 Aug
Taifa Stars yajifua Afrika Kusini
>Msafara wa kikosi cha Taifa Stars utaondoka Afrika Kusini leo kwenda Maputo, kwa ajili ya pambano la marudiano dhidi ya Msumbiji ‘Mambas’ litakalochezwa Jumapili kwenye Uwanja wa Nampeto.
10 years ago
BBCSwahili26 Feb
Taifa Stars kushiriki Cosafa Cup.
Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) imethibitisha kushiriki michuano ya kombe la COSAFA nchini Afrika Kusini.
10 years ago
Mwananchi25 May
MAONI: Cosafa imeipa fundisho Taifa Stars
>Matokeo mabaya ambayo timu yetu ya soka ya Taifa, Taifa Stars imeyapata kule Afrika Kusini ilikoshiriki mashindano ya Kombe la Cosafa na kutolewa mapema kwa hakika yanasikitisha, pia yanaumiza.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vMQ5RJcyKDBzkGYYWT8XVVp*r-VsZqIH4yA7hlFbeUoQ6XGyvJsactJE8GjiyuaxH1zP3GtgKUtvsTIaw8CevxYm7zjbIYo6/B15ERMN0768.jpg?width=600)
TAIFA STARS YAANZA VIBAYA COSAFA, YAFUNGWA NA SWAZILAND BAO 1-0
Beki wa timu ya taifa, Taifa Stars, Shomari Kapombe (kulia) akichuana na mchezaji wa Swaziland kwenye mchezo wao wa jana uliopigwa kwenye Uwanja wa Royal Bafokeng Sports Palace katika michuano ya Cosafa inayoendelea huko Afrika Kusini. Stars ilifungwa bao 1-0. Straika wa Stars, John Bocco akiruka hewani kuwania mpira na mchezaji wa Swaziland.… ...
10 years ago
BBCSwahili05 May
Cosafa itaijenga Stars kwa CHAN, AFCON
Kocha wa timu ya Taifa ya Tanzania , Mart Nooij amesema michuano kombe la COSAFA itakayofanyika nchini Afrika Kusini Mei 17.
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-eazHpS7N91E/VXHAjhbQSkI/AAAAAAABbCQ/VDkTAcnlI5s/s72-c/thumb_IMG_2061_1024.jpg)
STARS YAJIFUA ADDIS ABABA
![](http://4.bp.blogspot.com/-eazHpS7N91E/VXHAjhbQSkI/AAAAAAABbCQ/VDkTAcnlI5s/s640/thumb_IMG_2061_1024.jpg)
Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inayodhamini na kampuni ya bia ya Kilimanjaro, leo imeanza mazoezi katika uwanja wa Addis Ababa zamani ukifahamka kama (Haille Sellsie) uliopo jijini Addis Ababa kujiandaa na mchezo dhidi ya Misri utakaopigwa Juni 14,...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania