Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Taifa Stars yaanza kujifua kwa COSAFA

Taifa Stars inaendelea na mazoezi mepesi mjini Rustenburg, Afrika Kusini tayari kwa michuano ya Kombe la COSAFA

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

TAIFA STARS YAANZA VIBAYA COSAFA, YAFUNGWA NA SWAZILAND BAO 1-0

Beki wa timu ya taifa, Taifa Stars, Shomari Kapombe (kulia) akichuana na mchezaji wa Swaziland kwenye mchezo wao wa jana uliopigwa kwenye Uwanja wa Royal Bafokeng Sports Palace katika michuano ya Cosafa inayoendelea huko Afrika Kusini. Stars ilifungwa bao 1-0. Straika wa Stars, John Bocco akiruka hewani kuwania mpira na mchezaji wa Swaziland.… ...

 

10 years ago

BBCSwahili

Taifa stars yajifua kwa Cosafa

Taifa Stars inaingia kambini Jumatatu wiki hii kwa ajili ya kuanza mazoezi ya kujiandaa na michuano ya Cosafa.

 

10 years ago

Michuzi

Taifa Stars yaendelea kujifua tayari kwa kuwakabili Swaziland

Kocha mkuu wa Timu ya Taifa (Taifa Stars), Mart Nooij akiendelea kuwafua vijana wake ikiwa ni muendelezo wa mazoezi katika uwanja wa Royal Bafokeng kujiandaa na mchezo wa fungua dimba dhidi ya timu ya Taifa ya Swaziland, utakaopigwa jioni ya leo Mei 18,2015.Wachezaji wa timu ya Taifa (Taifa Stars) wakiendelea kujifua katika uwanja wa Royal Bafokeng kujiandaa na mchezo wa fungua dimba dhidi ya timu ya Taifa ya Swaziland, utakaopigwa jioni ya leo Mei 18,2015.

 

10 years ago

Michuzi

TAIFA STARS BADO NGOMA NGUMU COSAFA, YAPOTEZA MCHEZO WA PILI KWA KUPIGWA 2-0 NA MADAGASCER

Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) jana imepoteza mchezo wa pili mfululizo katika michuano ya kombe la Cosafa, baada ya kufungwa mabao 2 - 0 na Madagascar, mchezo uliofanyika katika uwanja wa Royal Bafokeng jijini Rustenburg.
Kwa Taifa Stars kupoteza mchezo huo, moja kwa moja inakua imeaga michuano katika hatua ya makundi, kutokana na kubakisha mchezo mmoja tu wa kukamilisha ratiba dhidi ya Lesotho utakaochezwa kesho ijumaa katika uwanja wa Moruleng.Katika mchezo huo wa jana, Taifa Stars...

 

10 years ago

BBCSwahili

Taifa Stars kushiriki Cosafa Cup.

Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) imethibitisha kushiriki michuano ya kombe la COSAFA nchini Afrika Kusini.

 

10 years ago

Mwananchi

MAONI: Cosafa imeipa fundisho Taifa Stars

>Matokeo mabaya ambayo timu yetu ya soka ya Taifa, Taifa Stars imeyapata kule Afrika Kusini ilikoshiriki mashindano ya Kombe la Cosafa  na kutolewa mapema kwa hakika yanasikitisha, pia yanaumiza.

 

10 years ago

Vijimambo

TIMU YA TANZANIA "TAIFA STARS" YAENDELEA KUJIFUA

 Wachezaji wa timu ya taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' wakiwa katika mazoezi katika uwanja wa Olympia Park kujiandaa na mchezo wa fungua dimba dhidi ya timu ya Taifa ya Swaziland.Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) imeendelea na mazoezi katika uwanja wa Olympia Park kujiandaa na mchezo wa fungua dimba dhidi ya timu ya Taifa ya Swaziland.
Kocha mkuu wa timu ya Taifa Stars Mart Nooij amesema vijana wake wanaendelea vizuri na mazoezi, ikiwa leo ni siku ya pili kufanya mazoezi baada ya ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani