Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAKUKURU YAMDAKA ALIYEKUWA AKITAPELI WATU FEDHA KWA KISINGIZIO CHA KUWATAFUTIA KAZI

 Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Mkoa wa Dodoma, Sosthnes Kibwengo akizungumza na wandishi wa habari ofisini kwake leo jijini Dodoma.


Charles James, Michuzi TV.TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Dodoma inamshikilia Bw Simon Jumbe mkazi wa Kisasa jijini Dodoma kwa tuhuma za kujiita Afisa wa Takukuru kinyume na sheria.
Akizungumza na wandishi wa habari ofisini kwake jijini Dodoma, Mkuu wa Takukuru Mkoani hapa, Sosthnes Kibwengo amesema wamemkamata...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Corona isiwe Kisingizio cha kutonunua kitambulisho cha Ujasiliamali- RC Wangabo

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo amewaasa wajasiliamali Mkoani Rukwa kutotaja ugonjwa wa Corona (Covid-19) kama kikwazo cha kushindwa kununua kitambulisho cha mjasilimali kwa mwaka huu 2020, kwani wananchi wa Tanzania walihimizwa kuendelea kuchapa kazi na Rais Dkt. John Pombe Magufuli hali ambayo ni tofauti na nchi nyingine ambapo wananchi wake walikuwa wamefungiwa.

Mh. Wangabo amekataza vitambulisho hivyo kuuzwa rejareja kwani jambo hilo huzalisha wadaiwa (defaulters) na hivyo...

 

5 years ago

CCM Blog

DIWANI WA SINZA CHADEMA AMALIZA UDIWANI WAKE KWA KWENDA 'ROKAPU' NA KUFUNGULIWA JALADA TAKUKURU KWA KUDAIWA KULAMBA FEDHA ZA KINAMAMA

Godfrey Chikandamwali Na Bashir Nkoromo 
Aliyekuwa Diwani wa Kata ya Sinza kwa tiketi ya Chadema Godfrey Chikandamwali jana, alimaliza udiwani wake kwa kuwekwa 'rokapu' na Polisi na kisha kufunguliwa jalada TAKUKURU, kwa amri ya Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Kisare Makori, kwa tuhuma za kukaidi wito wa mkuu huyo wa wilaya na pia kutafuna mamilioni ya fedha za kikundi cha kina mama.

Akizungumza kwenye Kikao cha mwisho cha Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo Mkuu huyo wa Wilaya...

 

10 years ago

Vijimambo

.MHINDI ALIYEKAMATWA NA TAKUKURU UKONGA AKANA KUGAWA FEDHA KWA WAPIGA KURA

T888DED na T 183 CJQ ni Magari haya ndiyo yaliyohusika katika tukio zima la ugawaji rushwa huo yakiendeshwa na wapambe wa Mgombea Ubunge kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Jimbo la Ukonga Ramesh Patel pamoja na Prof. Felician Barongo ,Msafiri Mohamed DK, Na wengine walikamatwa na Takukuru juzi usiku katika ukumbi wa check point Pugu wakigawa rushwa kwa wajumbe wa mashina ili kuwahamaisha kumshangilia leo kwenye mkutano wa kuomba kura katika kata ya Pugu na hatimaye kumpigia kura za maoni...

 

5 years ago

Michuzi

RC TABORA AAGIZA TAKUKURU SIKONGE KUMKAMATA MGANGA MFAWIDHI WA ZAHANATI YA TUTUO KWA TUHUMA ZA MALIPO KWA KAZI HEWA YA KISIMA

NA TIGANYA VINCENT
MKUU wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri ameiagiza Taasisi ya Kuzuia na kupambana na Rushwa (TAKUKURU) wilaya ya Sikonge kumkamata Mganga Mfawidhi wa Zahanati ya Tutuo Longa Magasha na kuchunguza tuhuma za malipo ya fedha ya milioni moja kwa kazi hewa ya ukarabati wa kisima.
Alisema kiasi hicho cha fedha zilitolewa kupitia fedha ambazo Zahanati hiyo ilipata kutokana na Malipo kwa Ufanisi (RBF) kwa lengo kufanyia ukarabati wa kisima lakini haionyeshia kama kuna kazi...

 

5 years ago

Michuzi

TAKUKURU MANYARA YAMPANDISHA MAHAKAMANI MMILIKI WA KITUO CHA MAFUTA CHA SIMON LEMEYA KWA TUHUMA ZA UHUJUMU UCHUMI

Charles James, Michuzi TV.
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) wilayani Simanjiro, Manyara kwa kushirikiana na Ofisi ya Taifa ya Mashtaka itamfikisha katika Mahakama ya Wilaya mmiliki wa Kituo cha mafuta cha Simon Lemeya kwa makosa ya uhujumu uchumi.
Lemeya atafikishwa Mahakama ya Wilaya ya Simanjiro leo Juni 22 kwa makosa ya kughushi, matumizi ya nyaraka, kudanganya na kuisababishia serikali hasara ya Sh Milioni 5,609,000 kinyume cha sheria ya uhujumi uchumi Cap 200 marejeo ya...

 

5 years ago

Michuzi

MWENYEKITI KAMATI YA MAZINGIRA MTAA WA TAMBUKARELI MIKONONI MWA TAKUKURU KWA KUJIFANYA OFISA ARDHI ILI KUPATA FEDHA


Na Said Mwishehe,Michuzi TV

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Temeke jijini Dar es Salaam inamshikilia Mwenyekiti wa Kamati ya Mazingira wa Mtaa wa Tambukareli Kata ya Azimio kwa kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu kinyume cha kifungu cha sheria namba 302 cha sheria ya kanuni za adhabu sura ya 16 kama ilivyofanyiwa marekebisho mwaka 2002.

Akizungumzia kukamatwa na kushikiliwa kwa mtuhumiwa huyo Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Temeke jijini Dar es Salaam Donacian Kessy...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani