Corona isiwe Kisingizio cha kutonunua kitambulisho cha Ujasiliamali- RC Wangabo
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo amewaasa wajasiliamali Mkoani Rukwa kutotaja ugonjwa wa Corona (Covid-19) kama kikwazo cha kushindwa kununua kitambulisho cha mjasilimali kwa mwaka huu 2020, kwani wananchi wa Tanzania walihimizwa kuendelea kuchapa kazi na Rais Dkt. John Pombe Magufuli hali ambayo ni tofauti na nchi nyingine ambapo wananchi wake walikuwa wamefungiwa.
Mh. Wangabo amekataza vitambulisho hivyo kuuzwa rejareja kwani jambo hilo huzalisha wadaiwa (defaulters) na hivyo...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi
CORONA ISIWE KISINGIZIO CHA KUTOKAMILISHA MIRADI YA UMEME

Jiwe la msingi lililowekwa na Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani ikiwa ni kuzindua na kuwasha taa zinazotumia mwanga wa jua( Solar) katika mitaa ya Wilaya ya Chato Mkoani Geita.

Muonekano wa Kituo kipya cha Afya cha Bwina nyakati za usiku baada ya Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani kuwasha umeme katika kituo hicho.

Muonekano wa barabara za Mitaa cha Chato baada nyakati za usiku baada ya Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani kuzindua na kuwasha taa zinazotumia mwanga wa...
9 years ago
Habarileo15 Dec
Mrundi akutwa na kitambulisho cha kura
POLISI mkoani Kigoma imemkamata mkimbizi wa Burundi akiwa na kadi ya kupigia kura akijiandikisha kama raia wa Tanzania na kukutwa na kadi za vyama mbalimbali za kuomba kugombea ubunge katika majimbo tofauti nchini.
5 years ago
Michuzi
MAJALIWA: HAKUNA MTANZANIA ATAKAYEKOSA KITAMBULISHO CHA TAIFA

Amesema waombaji hao watapatiwa vitambulisho hivyo baada ya wahusika kupitia maombi yao na kujiridhisha kwamba wote ni raia wa Tanzania na Serikali inafanya hivyo ili kulinda usalama wa nchi.
Waziri Mkuu ameyasema hayo leo (Ijumaa, Februari 21, 2020) wakati akizungumza katika Mkutano wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha...
5 years ago
Michuzi
TAKUKURU YAMDAKA ALIYEKUWA AKITAPELI WATU FEDHA KWA KISINGIZIO CHA KUWATAFUTIA KAZI

Charles James, Michuzi TV.TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Dodoma inamshikilia Bw Simon Jumbe mkazi wa Kisasa jijini Dodoma kwa tuhuma za kujiita Afisa wa Takukuru kinyume na sheria.
Akizungumza na wandishi wa habari ofisini kwake jijini Dodoma, Mkuu wa Takukuru Mkoani hapa, Sosthnes Kibwengo amesema wamemkamata...
10 years ago
Vijimambo31 Dec
REGINALD MENGI HUTUMIA KISINGIZIO CHA UTETEZI WA WANYONGE KUZIFANYA CHUKI ZAKE BINAFSI ZIWE NI UGOMVI WA KITAIFA

11 years ago
GPL
WATAKA KATIBA ISIWE CHANZO CHA MGOGORO
11 years ago
Mtanzania06 Oct
Dk. Shein: Dini isiwe chanzo cha vurugu

Rais wa Zanzibar na Mwenyekitki wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein
Na Mwandishi Wetu, Pemba
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein, amewataka wananchi wasiwe chanzo cha kuvurugika kwa amani nchini kwa kisingizio cha harakati za kidini na kisiasa.
Hayo aliyasema jana katika hotuba yake kwenye Baraza la Idd el Hajj, lililofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Kiislamu Kiuyu, Mkoa wa Kaskazini Pemba na kuhudhuriwa na viongozi ...
11 years ago
Michuzi
RAIS KIKWETE ALIPOKABIDHIWA KITAMBULISHO NAMBA 1 CHA USHIRIKI KATIKA MAONESHO YA 38 YA BIASHARA YA KIMATAIFA YA SABASABA (DITF) KUTOKA MAXMALIPO .

Rais. Jakaya Mrisho alipata Nafasi ya kuzungumza na Maafisa wa Maxmalipo Juu ya Mfumo wa Kieletroniki wa Ticket (e-Ticketing System) uliofungwa na Maxmalipo Katika viwanja Vya Sabasaba. Pia Mheshimiwa Rais alijionea Jinsi Mfumo huu unavyodhibiti na kuboresha...
11 years ago
GPL
VALENTINE’S DAY ISIWE CHANZO CHA MAUMIVU YA MOYO! -2