MAJALIWA: HAKUNA MTANZANIA ATAKAYEKOSA KITAMBULISHO CHA TAIFA
![](https://1.bp.blogspot.com/-70r2AFX3EMg/Xk_yJ1Ew57I/AAAAAAALeus/-3jw3dX3TnA2pPJDQeW9YTQAvdz0O2LRwCLcBGAsYHQ/s72-c/cq5dam.thumbnail.cropped.750.422.jpeg)
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema kila raia wa Tanzania aliyeomba kitambulisho cha Taifa atakipata, hivyo amewataka waombaji ambao bado hawajapata waendelee kuwa na subira.
Amesema waombaji hao watapatiwa vitambulisho hivyo baada ya wahusika kupitia maombi yao na kujiridhisha kwamba wote ni raia wa Tanzania na Serikali inafanya hivyo ili kulinda usalama wa nchi.
Waziri Mkuu ameyasema hayo leo (Ijumaa, Februari 21, 2020) wakati akizungumza katika Mkutano wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziCorona isiwe Kisingizio cha kutonunua kitambulisho cha Ujasiliamali- RC Wangabo
Mh. Wangabo amekataza vitambulisho hivyo kuuzwa rejareja kwani jambo hilo huzalisha wadaiwa (defaulters) na hivyo...
9 years ago
Habarileo15 Dec
Mrundi akutwa na kitambulisho cha kura
POLISI mkoani Kigoma imemkamata mkimbizi wa Burundi akiwa na kadi ya kupigia kura akijiandikisha kama raia wa Tanzania na kukutwa na kadi za vyama mbalimbali za kuomba kugombea ubunge katika majimbo tofauti nchini.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-LLAxWB_gVQ4/XlLdh2hK3ZI/AAAAAAALe8g/ZL7nq3LYIaI4G7auGVb3xfCYvEe-PS6jwCLcBGAsYHQ/s72-c/PMO_0802AA-1024x684.jpg)
WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AZINDUA CHETI CHA UHALISI WA MADINI YA BATI...AELEZEA UMUHIMU WAKE KWA TAIFA
![](https://1.bp.blogspot.com/-LLAxWB_gVQ4/XlLdh2hK3ZI/AAAAAAALe8g/ZL7nq3LYIaI4G7auGVb3xfCYvEe-PS6jwCLcBGAsYHQ/s320/PMO_0802AA-1024x684.jpg)
Amezidua cheti hicho cha uhalisi wakati wa mkutano wa wawekezaji katika sekta ya madini hapa nchini mkutano uliofanyika leo Februari 23,mwaka 2020 katika Kituo cha Mikutano cha Mwalimu Nyerere jijini Dar ea Salaam.
Nchi mbalimbali zimepata Cheti cha halisi wa madini ya Bati ambazo ni Uganda, Burundi,...
10 years ago
GPLMEMBE: HAKUNA MTANZANIA ALIYEUAWA AFRIKA KUSINI
9 years ago
StarTV17 Sep
Sheikh mkuu asema hakuna Mtanzania aliyepoteza maisha
Wakati watanzania wakisubiri kwa hamu taarifa za watanzania waliokwenda kuhiji Saud Sheikh Mkuu wa Tanzania Abubakari Zuberi amesema hakuna Mtanzania yoyote aliyesadikiwa kufariki dunia wala kujeruhiwa kwenye tukio lililohusisha vifo vya watu 107 baada ya Winchi kuangukia msikiti mtukufu wa Makka nchini Saud Arabia.
Akitoa Taarifa hiyo jijini Dar es Salaam, Sheikh Zuberi, amesema tangu kutolewa kwa taarifa hiyo kumekuwepo na wasiwasi mkubwa kutoka kwa wananchi wanaotaka kujua usalama wa...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-OJskrutNscs/VTTNifAKOfI/AAAAAAAHSFc/063zLPPj2wc/s72-c/_MG_9621.jpg)
HAKUNA MTANZANIA ALIEFARIKI KWA VURUGU ZA AFRIKA KUSINI - MEMBE
SERIKALI imesema hakuna mtanzania aliyepoteza maisha kwa vurugu zinazoendelea nchini Afrika Kusini kutokana na wenyeji wa nchi hiyo kuwachukia wageni.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernad Membe amesema watanzania waliofariki nchini Afrika Kusini hawatokani na vurugu za wenyeji kuwakataa wageni.
Membe amesema tatizo hilo lilianza 2008 na 2014 hiyo lilichangiwa na Mfalme wa nchini...
10 years ago
Vijimambo21 Apr
Waziri Membe: Hakuna Mtanzania katika mauaji ya Wageni Afrika Kusini
10 years ago
Mwananchi20 Apr
VURUGU AFRIKA KUSINI: Membe adai hakuna mtanzania aliyeuawa, 21 kurejea nchini