Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tamasha la Msafara lafana Ifakara, vijana wengi wajengewa uwezo wa kutimiza ndoto zao

 Baadhi ya vijana wakiwa wanaendelea kufanya usafi maeneo ya Uwanja wa Taifa wa Ifakara eneo ambapo Tamasha hilo la Msafara lilifanyika.

 Katibu Tawala wa Wilaya ya Kilombero Bw. Yahya Naniya(aliyevaa miwani) akiwa katika ushiriki wa kufanya usafi kaika uwanja wa Taifa wa Ifakara

 Mwenyekiti wa Maandalizi wa Msafara kutoka TYDC James Isdore akielezea maana ya msafara kwa wakazi wa Ifakara

  Baadhi ya wakazi wa Ifakara wakiendelea kusikiliza kinacho endelea 

Mbunge wa Kilombero...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Watoto wanaolelewa katika kituo cha mwandaliwa waazimia kutimiza ndoto zao

Tunu Jamal (17) hivi sasa anasoma kozi ya kutimiza ndoto yake ya kuwa Ofisa Ugavi katika Chuo cha Kilimanjaro Institute of Technology na ameanzia   ngazi ya cheti ili akifanya vizuri aweze kujiendeleza zaidi.
Mbali na kozi hiyo  anaungana na wenzake wanne wanaolelewa pamoja katika kituo cha Mwandaliwa kusoma kozi ya ushonaji ili ndoto yake isipotimia awe na ujuzi mbadala wa  kuendesha biashara ya ushonaji.
“Nachukua  mafunzo ya ushonaji wa nguo ili nisipofanikiwa katika fani ya ndoto yangu au...

 

10 years ago

GPL

WATOTO WANAOLELEWA KATIKA KITUO CHA MWANDALIWA WAAZIMIA KUTIMIZA NDOTO ZAO‏

Tunu Jamal (17) hivi sasa anasoma kozi ya kutimiza ndoto yake ya kuwa Ofisa Ugavi katika Chuo cha Kilimanjaro Institute of Technology na ameanzia   ngazi ya cheti ili akifanya vizuri aweze kujiendeleza zaidi. Mbali na kozi hiyo  anaungana na wenzake wanne wanaolelewa pamoja katika kituo cha Mwandaliwa kusoma kozi ya ushonaji ili ndoto yake isipotimia awe na ujuzi mbadala wa  kuendesha biashara ya ushonaji....

 

9 years ago

Michuzi

WAJENGEWA UWEZO ILI KUFANYA UTAFITI WA HALI YA KIELIMU WILAYANI TARIME KUPITIA MRADI WA UWEZO.

Washiriki wa Semina ya wadau watakaoshiriki katika Utafiti wa Ujifunzaji wa Watoto (Wanafunzi) walio na Umri kati ya Miaka Saba hadi 16 katika Kusoma Kiswahili, Kiingereza na Kufanya Hesabu inayofanyika katika Ukumbi wa Halmashauri ya Mji wa Tarime kuanzia leo Septemba 22,2015 hadi kesho Septemba 23, 2015 wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi Enock Waitara (Wa pili kushoto Waliokaa) ambae ni Afisa Elimu Wilaya ya Tarime Mkoani Mara.
Na:Binagi Media GroupSemina hiyo imeratibiwa na...

 

9 years ago

Dewji Blog

Vijana wengi wapata mafunzo juu ya maisha na kujiajili katika Kongamano la Msafara lililofanyika UDSM

Aliyekuwa nahodha wa timu ya Taifa ya wanawake 2002-2003 na kuchezea mpira timu hiyo kwa Miaka 15 mpaka anastaafu mwaka huu Esther Chabruma akielezea namna mchezo wa Mpira wa Miguu ilivyoweza msaidia mpaka hapa alipofikia na kuwasihi vijana wasikate tamaa maana kila jambo lina wakati wake jana tarehe 4.12.2015.

Msanii wa sanaa za Maonesho Vanensia Shule, ambaye pia ni Mkufunzi wa Chuo kikuu cha Dar es salaam upande wa sanaa na Filamu akielezea jinsi Sanaa inavyoweza kumkomboa kijana na...

 

5 years ago

Michuzi

ASKARI MPWAPWA WAJENGEWA UWEZO KUHUSU MPANGO WA POLISI WA KATA


Mkuu wa Kamisheni ya Ushirikishwaji wa Jamii, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi, SACP ENXGELBERT KIONDO akizungunza na askari wa Wilaya ya Mpwapwa Mkoa wa Dodoma alipokwenda kuwajengea uwezo kuhusu Mpango wa Polisi Kata kama utendaji wa kazi za Polisi.

 

9 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI WA MIFUKO YA HIFADHI ZA JAMII TANZANIA WAJENGEWA UWEZO WA UTENDAJI KAZI.

 Mwenyekiti wa Jumuiya  ya Mifuko ya Hifadhi ya Jamii Tanzania (TSSA),Eliud Sanga  ( kati kati) ambaye pia ni Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Hifadhi ya Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa(LAPF), akibadilishana mawanzo na  Katibu mkuu wa  TSSA, Meshack Bandawe, ( kulia) ambaye pia ni Meneja wa PPF Kanda ya Ziwa ,  Augosti 24, mwaka huu mjini Morogoro  baada ya mwenyekiti huyo kufungua mafunzo kwa wafanyakazi wa mbalimbali wa mifuko yote ya hifadhi ya jamii chini inayounda  Jumuiya hiyo ( kushoto)...

 

10 years ago

GPL

BONANZA LA KUTIMIZA MIAKA 9 YA KUNDI LA JAKAYA THEATRE LAFANA!

Mgeni rasmi wa bonanza, ambaye ni rais wa Shirikisho la Filamu (TAFF), Simon Mwakifwamba  (kulia) akiwasili. ...Akisaini kitabu cha wageni na kuandika namba maalum aliyozawadiwa na kampuni hiyo. Baadhi ya wasanii wakiwa katika picha ya pamoja.…

 

9 years ago

StarTV

Waandishi wa habari wajengewa uwezo Mtwara kuandika Habari Za Gesi Na Mafuta

Mradi wa kuwajengea uwezo waandishi wa habari wanaoandika habari za gesi na mafuta katika nchi tatu za Afrika, Tanzania, Uganda na Ghana unaoendeshwa na chama cha waandishi wa habari za Mazingira JET pamoja na wadau wengine umeanza kuzaa matunda baada ya kuwepo kwa ongezeko la habari zinazogusa sekta hiyo mpya hapa nchini.

Katika awamu ya pili ya mafunzo hayo kwa waandishi wa habari wanane wa Tanzania ambao hapo awali walihudhuria mafunzo hayo mjini Accra Ghana, imebainishwa kuwa tangu...

 

11 years ago

Mwananchi

Sitta: Ninagombea uenyekiti kutimiza ndoto ya Rais

Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta amesema atagombea uenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba kwa sababu anaamini kuwa ana sifa za kutosha.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani