Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tamasha la Pasaka liwe kioo kwa chipukizi

WAIMBAJI mbalimbali wa kimataifa wa muziki wa injili kutoka Afrika Kusini, Zambia, Kenya, DR Congo na Rwanda, mwezi ujao watakuja nchini. Ujio wao ni kupamba Tamasha la Pasaka ambalo limekuwa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

KAPOTIVE STAR SINGERS-BUKOBA KUFANYA TAMASHA LA PASAKA LINA'S CLUB, PASAKA PILI NI KATIKA MJI WA BIHARAMULO

Kikundi mahiri cha KAPOTIVE Star Singers- Bukoba,Wanayo furaha kuwatangazia kuwa kwa mapenzi ya Mungu, Tar. 20/04/2014 sikukuu ya Pasaka watakuwa na tamasha la Pasaka LINA’S CLUB -Bukoba, kuanzia saa 9 mchana hadi 2 usiku na kesho yake tar. 21/04/2014 Watakuwa katika mji wa Biharamulo. 
 Mratibu wa Tamasha hilo Bw. Andrew Kagya amesema kuwa Mwimbaji mgeni (Guest singer) atakuwa Flora Mbasha na kundi lake zima kutoka jijini Dar es Salaam na pia Kutakuwepo kwaya mbalimbali za RC, KKKT na...

 

10 years ago

Michuzi

TAMASHA LA PASAKA KUTIMIZA MIAKA 15 KWA KISHINDO,KUHUSISHA SHUGHULI MBALIMBALI ZA KIJAMII

Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions Ltd,Bwa Alex Msama akifafanua zaidi kwa Wanahabari kuhusiana na tamasha hilo ambalo mwaka huu linatimiza miaka 15 tangu kuanzishwa kwake. 
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion inayoandaa Tamasha la Pasaka Bw. Alex Msama amezungumza na waandishi wa habari katika ofisi zake zilizopo kinondoni Moroco hapo jana,kuhusiana na maandalizi ya tamasha hilo kwa mwaka huu, Msama amesema tamasha hilo mwaka huu pamoja na kuwepo waimbaji wa muziki wa ...

 

11 years ago

Tanzania Daima

REBECCA MALOPE: Malkia wa Injili Afrika, gumzo kwa mashabiki Tamasha la Pasaka 2014

JINA la Rebecca Malope si geni masikioni na machoni mwa wengi, hasa kwa wapenzi, mashabiki na wadau wa muziki wa Injili. Rebecca aliyezaliwa mwaka 1968, yu miongoni mwa waimbaji wa...

 

10 years ago

Michuzi

MAANDALIZI YA MIAKA 15 YA TAMASHA LA PASAKA YAENDELEA KUNOGA,BAISKELI 100 KUTOLEWA KWA WALEMAVU MIKOA KUMI

Pichani kulia ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama akizungumza na waandishi wa habari wakati akielezea maendeleo ya maandalizi ya miaka 15 tangu kuanzishwa kwa tamasha la Pasaka, sherehe ambazo zitafanyika wakati wa sikukuu ya Pasaka jijini Dar es salaam na kisha mikoani, Akizungumza katika mkutano huo Msama amesema mwaka huu tamasha la pasaka ni maalum kwa Msama Promotion imepanga  kuwanunulia baiskeli  100 za walemavu ambazo zitagawanywa katika mikoa 10 hapa...

 

10 years ago

Mwananchi

Tamasha la Pasaka lasifiwa

Wakati viingilio vya tamasha la Pasaka vikiwekwa wazi, Chama cha Muziki wa Injili Tanzania (CHAMUITA) kimesema Tamasha la Pasaka ni kubwa na lililo na heshima Tanzania na Afrika yote kwa sababu linafikisha ujumbe wa neno la Mungu kwa Waafrika wote.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Miaka 14 ya Tamasha la Pasaka

TAMASHA la Pasaka mwaka huu linatarajiwa kufikisha miaka 14 tangu kuanzishwa kwake na Kampuni ya Msama Promotions ya jijini Dar es Salaam. Tangu kuanzishwa kwa tamasha hilo, Watanzania wameweza kujumuika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani