Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAMKO LA RSA KUHUSU AJALI ZA BARABARANI

RSA LOGO

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Tamko la RSA kuhusu ajali na hali ya usalama barabarani

RSA LOGO

TAMKO LA RSA KUHUSU AJALI ZA BARABARANI (1).docx by moblog

 

10 years ago

Michuzi

RSA wakisaidia kitengo cha mawasiliano cha usalama barabarani

MABALOZI wa Usalama Barabarani nchini Tanzania (Road Safety Ambasadors-RSA) wamekabidhi misaada kwenye Ofisi ya Kitengo cha Mawasiliano cha Kikosi cha Usalama Barabarani cha Jeshi la Polisi nchini (Traffic Control Center-TCC). 
 Vifaa hivyo ambavyo ni vitendea kazi katika kituo cha taarifa cha Kitengo cha Mawasiliano cha Kikosi cha Usalama Barabarani cha Jeshi la Polisi nchini, vimekabidhiwa jana jijini Dar es Salaam na Mwenyekiti wa RSA, John Seka ikiwa ni michango ya mabalozi...

 

10 years ago

Michuzi

SHAIRI: Ajali za barabarani

Ajali za barabarani!
Ninalianza shairi, kwa majonzi ya dhahiri,Kwa kuwa tena si siri, ajali zimekithiri,Zaua kwa utitiri, hii sasa ni hatari,Ajali barabarani, ni hasara kwa taifa.
Nianze na madereva, kisha nimvae Kova,Unapokua dereva, tunahisi umeiva,Si mambo ya kujilevya, na kuua kina Eva,Ajali barabarani, ni hasara kwa taifa.
Umakini safarini, ndio nyenzo namba wani,Sheria barabarani, zifuate kwa makini,Sifa za vibarazani, hazina tija jamani!,Ajali barabarani, ni hasara kwa taifa.
Bosi...

 

10 years ago

Vijimambo

11 years ago

Uhuru Newspaper

Vigogo wahusishwa ajali za barabarani


Na Mwandishi Wetu
BAADHI ya vigogo nchini wanadaiwa kukwamisha mchakato wa kuzuia matumizi ya mabasi chakavu ya abiria, ambapo huingilia kati pindi sheria inapotaka kuchukua mkondo wake.
Pia, baadhi wamekuwa wakilazimisha askari wa usalama barabarani kutojaribu kuyakamata mabasi hayo, hatua inayodaiwa kukwamisha utendaji kazi wa askari.
Kwa mujibu wa sheria, magari yote yaliyochakaa hayaruhusiwi kubeba abiria ili kupunguza ajali ambazo kwa kiasi kikubwa huchangiwa na uchakavu.
Mwanzoni mwa...

 

9 years ago

Habarileo

Elimu yapunguza ajali barabarani

JESHI la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani limesema ajali za barabara zimepungua hadi 7,570 kwa kipindi cha Januari hadi Novemba mwaka huu ikilinganishwa na ajali 13,466 zilizotokea kwa kipindi kama hicho mwaka jana.

 

11 years ago

Habarileo

Ajali barabarani yaua wanafunzi 5

SIKU tatu baada ya kutokea ajali mkoani Lindi na Singida zilizogharimu maisha ya Watanzania 27, wakazi wa Mtwara nao wameingia katika majonzi baada ya gari dogo kupamia wanafunzi wa Sekondari ya Mustafa Sabodo, waliokuwa kwenye mchakamchaka na kuua watano.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ajali za barabarani zaongezeka Iringa

TAKWIMU zinaonyesha kuwepo kwa ongezeko la ajali za barabarani mara saba zaidi zinazohusisha pikipiki Mkoa wa Iringa kati ya Januari 1 hadi Machi 31 ikilinganishwa na miezi kama hii mwaka...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Tuungane kudhibiti ajali za barabarani

TUMEKUWA tukiandika maoni kuitaka serikali kuchukua hatua kukomesha ajali za barabarani na tutaendelea kufanya hivyo hadi hapo tutakapoona hatua madhubuti zimechukuliwa kukabiliana na wimbi la ajali, ambazo kila mara zimepoteza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani