Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tanapa, Kibaran wakabidhi madawati kwa Rais

SHIRIKA la Hifadhi ya Taifa (TANAPA) limekabidhi msaada wa madawati 278 kati ya madawati 692 katika shule 17 za Tarafa ya Mang’ula na Kidatu wilayani Kilombero, mkoa wa Morogoro.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Royal Women Group wakabidhi msaada wa madawati 50 na vitabu 250 kwa Shule ya Msingi Bombambili

- Waliguswa na wanafunzi kusoma wakiwa wamekaa chini- Meya Silaa apokea vifaa hivyo na kutaka wengine kuiga mfano wa RWG- Shule bado ina upungufu wa madawati 100, - Vyumba 7 zaidi vya madarasa vyahitajika na matundu 24 ya vyoo- Shule pia haina nyumba hata moja ya mwalimuMeya wa Manispaa ya Kinondoni, Jerry Silaa, amewataka Watanzania kwa ujumla kuacha mambo ya siasa katika masuala ya maendeleo, ikiwa ni pamoja na kulalamika bila kushiriki kuisaidia serikali yao.Ameyasema hayo wakati...

 

11 years ago

Michuzi

WASHINDI "TANAPA MEDIA AWARDS 2013 "WAPATIKANA WAKABIDHI ZAWADI

Mshereheshaji Sauda Simba Kilumanga akiwakaribisha wageni katika ukumbi wa JB Belmont jijini Mwanza kwa ajili ya sherehe za utolewaji wa Tuzo kwa Wanahabari zinazoandaliwa na Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) Meneja Mawasiliano wa Shirika la Hifadhi za Taifa,Tanzania(TANAPA)Paschal Shelutete akifanya utamburisho wa wageni mbalimbali waliofika katika shughuli hiyo. Baadhi ya wageni mbalimbali katika shughuli hiyo. Meza kuu iliongozwa na Waziri wa Maliasili na Mazingira ,Lazaro...

 

10 years ago

Vijimambo

TANAPA WAKABIDHI MRADI WA UJENZI WA BWENI KATIKA SHULE YA SEKONDARI NURU YA WILAYANI SIHA.

Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro ,Leonidas Gama akisalimiana na wanafunzi wa shule ya sekondari Nuru iliypo wilayani Siha alipowasili kwa ajili ya makabidhiano na ufunguzi wa Bweni la wananfunzi lililojengwa kwa ufadhili wa hifadhi za taifa Tanzania (TANAPA).
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Leonidas Gama akizungumza katika hafla fupi ya makabidhiano hayo.Baadhi ya wanafunzi katika shule ya sekondari Nuru wakimsikiliza RC Gama (hayupo pichani).Mkuu wa wilaya ya Siha,Dkt Charles Mlingwa akizungumza...

 

10 years ago

Vijimambo

TANAPA WAKABIDHI MRADI WA UJENZI WA DARAJA KATIKA VIJIJI VYA SINGANA SUNGU WILAYA YA MOSHI VIJIJINI

Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Leonidas Gama akikata utepe katika daraja hilo kuashiria uzinduzi rasmi wa dara.Mhifadhi mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro(KINAPA) Erastus Rufunguro akizungumza katika makabidhiano hayo.

Katibu tawala wa mkoa wa Kilimanjaro,Remida Ibrahim akizungumza katika hafla fupi ya makabidhiano ya mradi huo pamoja na kufanya utambulisho kwa viongozi.Daraja linalotenganisha vijiji vya Singa na Sungu wilaya ya Moshi vijijini ambalo kwa sasa limekuwa msaada mkubwa...

 

10 years ago

Michuzi

HIFADHI ZA TAIFA TANZANIA(TANAPA) KUPITIA UJIRANI MWEMA WAKABIDHI MRADI WA MAJI KATIKA KIJIJI CHA ASHIRA WILAYA YA MOSHI

Mkuu wa mkoa wa Kilimajaro,Leonidas Gama akikaribishwa na Mhifadhi Mkuu Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro (KINAPA)Erastus Rufungulo katika makabidhiano ya mradi wa maji wa ujirani Mwema uliotolewa na hifadhi za taifa nchni TANAPA.Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Leonidas Gama akikata utepe kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi katika tanki la maji la mradi wa ujirani mwema uliotolewa na TANAPA kwa wananchi katika kijiji cha Ashira wilaya ya Moshi vijijini.Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro ,Leonidas...

 

10 years ago

Dewji Blog

Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) kupitia ujirani mwema wakabidhi mradi wa maji katika kijiji cha Ashira wilaya ya Moshi

Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Leonidas Gama akikaribishwa na Mhifadhi Mkuu Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro (KINAPA)Erastus Rufungulo katika makabidhiano ya mradi wa maji wa ujirani Mwema uliotolewa na hifadhi za taifa nchni TANAPA. Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Leonidas Gama akikata utepe kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi katika tanki la maji la mradi wa ujirani mwema uliotolewa na TANAPA kwa wananchi katika kijiji cha Ashira wilaya ya Moshi vijijini. Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,...

 

11 years ago

GPL

WASHINDI "TANAPA MEDIA AWARDS 2013 "WAPATIKANA WAKABIDHI ZAWADI

Mshereheshaji Sauda Simba Kilumanga akiwakaribisha wageni katika ukumbi wa JB Belmont jijini Mwanza kwa ajili ya sherehe za utolewaji wa Tuzo kwa Wanahabari zinazoandaliwa na Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA)
Meneja Mawasiliano wa Shirika la Hifadhi za Taifa,Tanzania(TANAPA)Paschal Shelutete akifanya utamburisho wa wageni mbalimbali waliofika katika shughuli hiyo.…
...

 

11 years ago

Michuzi

Mfuko wa Fursa Sawa kwa Wote (EOTF) wakabidhi Msaada wa Vitabu kwa Taasisi 48 za Elimu nchini.

 Mwenyekiti  wa Mfuko wa Fursa Sawa kwa Wote(EOTF), Mama Anna Mkapa akitoa neno la shukrani kwa wahisani wakati wa hafla ya kukabidhi  vitabu kwa ajili ya kusaidia  shule 45 na vyuo 3 vilivyotolewa na Books for Africa kutoka nchini  Marekani leo jijini Dar es Salaam,kushoto ni Mwakilishi kutoka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Bibi.Paulina Mkonongo na katika ni mwakilishi wa Balozi wa Nigeria nchini Bibi. Abiola Delupe. Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Fursa Sawa kwa Wote(EOTF),...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani