TANAPA KUKUSANYA ZAIDI YA 2.5BN/- KAMPENI YA KUHAMASISHA UTALII YA NDANI
Kushoto kwenda kulia ni Afisa Utalii Nyanda za Juu Kusini Gervas Mwashimaha, Ofisa Utalii wa Tanapa wa ofisi ya Utalii Kanda ya Nyanda za Juu Kusini Risala Kabongo, Kaimu Meneja Masoko TANAPA Victor Ketansi na Afisa Mawasiliano Mwandamizi TANAPA Catherine Mbena wakiongea na wanahabari mkoani Iringa jana. (Picha na Friday Simbaya)
SHIRIKA la Hifadhi za Taifa (TANAPA) kupitia hifadhi zake 16 linakusudia kukusanya zaidi ya 2.5bn/- katika kampeni ya kuhamasisha watu kutembelea hifadhi za taifa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziTANAPA YATANGAZA KAMPENI YA MIEZI SITA KUHAMASISHA UTALII WA NDANI.
Kaimu Meneja Masoko wa Shirika la Hifadhi za Taifa,TANAPA,Victor Ketansi akizungumza na wanahabari(hawako pichani) juu ya Kampeni ya uhamasishaji wa utalii wa ndani kwa wazawa itakayodumu kwa muda wa miezi sita.Mkuu wa Idara ya Utali katika Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro,Eva Mallya akizungumza vivutio mbalimbali vunavyopatikana katika hifadhi ya taifa ya Mlima Kilimanjaro.Meneja Mawasiliano Mwandamizi wa Shirika la Hifadhi za Taifa,TANAPA,Catherine Mbena akiwa na mwandishi wa habari...
10 years ago
VijimamboTANAPA WAZINDUA KAMPENI YA KUTANGAZA UTALII WA NDANI JIJINI MWANZA.
Baadhi ya Waaandishi wa Habari waliofika kwa ajili ya shughuli hiyo ya uzinduzi wa kampeni ya kutangaza Utalii wa ndani.Baadhi ya wafanyakazi wa Shirika la Hifadhi za Taifa wakiwa katika hafla ya uzinduzi wa kampeni ya kutangaza Utalii wa ndani.Kikundi cha Ngoma cha Bujorwa kikitoa burudani kwa wageni waalikwa.Meneja...
10 years ago
Vijimambo31 Jul
SERIKALI YASAINI MKATABA WA KUKUSANYA ZAIDI YA SH. MILIONI 12 KUPITIA MAPATO YA NDANI
Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum (kushoto) akisaini Mkataba wa Makubaliano ya kukusanya Sh. milioni 12,362,969 za mapato ya ndani kwa mwaka wa fedha 2015/2016 hivi karibuni jijini Dar es salaam ambayo yanakusanywa kwa mara ya kwanza nchini. Wa pili kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bernard Mchomvu.Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum (kushoto) akibadilisha hati ya mkataba wa makubaliano na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Mapato...
10 years ago
Dewji Blog29 Jul
Serikali yasaini Mkataba wa kukusanya zaidi ya Sh. milioni 12 kupitia mapato ya ndani kwa mwaka 2015/16
Baadhi ya viongozi na watendaji wa Wizara ya Fedha na TRA wakati wa hafla ya kusaini Mkataba wa Makubaliano ya kukusanya mapato ya ndani kwa mwaka wa fedha 2015/2016 ambayo yanakusanywa kwa mara ya kwanza nchini.(Picha na Eleuteri Mangi-MAELEZO).
Na Eleuteri Mangi- MAELEZO
Serikaki imesainiana Mkataba wa Makubaliano ya kukusanya Sh. Milioni 12,362,969 za mapato ya ndani kwa mwaka wa fedha 2015/2016 ambayo yanakusanywa kwa mara ya kwanza nchini.
Mkataba huo wa makubaliano umesainiwa leo...
11 years ago
Michuzi06 Jul
MAKAMPUNI YA UTALII YATAKIWA KUTANGAZA UTALII NDANI NA NJE YA NCHI
11 years ago
MichuziMIJADALA YA UTALII,UHIFADHI,UJANGILI NA UJIRANI MWEMA WATAWALA KONGAMANO LA TANAPA NA WAHARIRI
11 years ago
MichuziWAZIRI MKUU ALIAGIZA JIJI LA MBEYA KUKUSANYA MAPATO ZAIDI
Ametoa agizo hilo jana (Jumamosi, Agosti 2, 2014) wakati akizindua stendi ya kisasa ya mabasi katika eneo la Nane Nane nje kidogo ya Jiji la Mbeya.
“Nikuombe Meya Kapunga, wewe na watu wako ongezeni mapato ya ndani ya Jiji la Mbeya. Wekeni mifumo ya kisasa ya makusanyo inayotumia teknolojia ya habari na mawasiliano, acheni kutumia risiti za kuandika wa...
10 years ago
MichuziWASHINDI TUZO ZA HABARI ZA TANAPA 2013 WAENDELEA KUJIFUNZA MAENEO YA UTALII AFRIKA KUSINI
10 years ago
VijimamboWAZIRI WA MALIASILI NA UTALII,LAZARO NYALANDU ATEMBELEA OFISI ZA HIFADHI YA TAIFA YA ARUSHA (TANAPA)