Tanesco: Hatuingii tena mkataba na Symbion, Agreeko
Na Humphrey Shao, Dar es Salaam
SHIRIKA la Umeme Tanzania (Tanesco), limesema halitaongeza mkataba na Kampuni ya kufua umeme ya Agreeko na Symbion kutokana na kukamilika kwa asilimia 72 mtambo wa kuzalisha umeme wa gesi wa Kinyerezi 1.
Uamuzi huo, ulielezwa na Mwenyekiti wa Bodi ya shirika hilo, Dk. Mighanda Manyahi, baada ya kumaliza ziara ya kutembelea mtambo wa Kinyerezi 1 na vituo vingine vidogo vya uzalishaji umeme Mkoa wa Dar es Salaam jana.
“Kituo hiki kikimalizika kitaweza kutoa...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV23 Oct
Tanesco na TIB wasaini mkataba wa dola milioni 140
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limesaini mkataba wa dola milioni 140 na Benki ya Uwekezaji Tanzania (TIB) kwa ajili ya ujenzi wa Mradi wa mitambo ya umeme kutoka Somanga Kilwa hadi Kinyerezi Dar es salaam.
Mradi huo utazalisha umeme wa KV400 ambazo zitapunguza tatizo la mgao wa umeme utachukua jumla ya miaka miwili hadi kukamilika kwake .
TANESCO imesema mradi huo utasaidia mpango wa kuongeza umeme katika gridi ya Taifa pamoja na kuimarisha umeme wa uhakika katika maeneo ya Lindi ,...
5 years ago
BBCSwahili03 Mar
Mkataba wa amani Afghanistan: “Huenda wanawake wasiruhusiwe tena kufanya kaziâ€
10 years ago
Dewji Blog22 Jan
Utiwaji saini mkataba wa kujenga tena umoja na kukiunganisha upya Chama Tawala cha Sudan Kusini (SPLM) jijini Arusha
MKATABA wa kujenga tena umoja na kukiunganisha upya Chama Tawala cha Sudan Kusini cha Sudan People’s Liberation Movement (SPLM) ulitiwa saini usiku wa jana, Jumatano, Januari 21, 2015, katika sherehe ya kufana iliyofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Ngurdoto, Wilaya ya Arumeru, Mkoa wa Arusha.
Mkataba huo unaojulikana kama Agreement on the Re-unification of Sudan People’s Liberation Movement umepongezwa kuwa ni hatua muhimu katika kulitoa taifa changa la Sudan Kusini katika hali...
10 years ago
Habarileo12 Apr
Mitambo ya kukodi ya Symbion yaondolewa
MITAMBO ya kukodi inayotumia mafuta kufua umeme nchini, imemaliza mikataba yake na kuanza kuondolewa nchini na kubaki mmoja wa Aggreko uliopo Ubungo unaozalisha Megawati 50 pekee ambao nao utaondoka miezi mitatu ijayo.
9 years ago
TheCitizen23 Sep
Symbion to generate power from gas
10 years ago
VijimamboMKATABA wa kujenga tena umoja na kukiunganisha upya Chama Tawala cha Sudan Kusini cha Sudan People’s Liberation Movement (SPLM)
Mkataba huo unaojulikana kama Agreement on the Re-unification of Sudan People’s Liberation Movement umepongezwa kuwa ni hatua muhimu katika kulitoa taifa changa la Sudan Kusini katika hali...
9 years ago
TheCitizen17 Dec
Symbion power looking for investors in 600 mw Mtwara project
9 years ago
TheCitizen06 Oct
Symbion: Sh2.6tr project to start 2016
10 years ago
MichuziUtiwaji saini mkataba wa kujenga tena umoja na kukiunganisha upya Chama Tawala cha Sudan Kusini cha Sudan People’s Liberation Movement (SPLM)