Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tanesco,vyuo vikuu wajihami na ugaidi

Sehemu ya Chuo Kikuu cha Dar es SalaamKUSAMBAA kwa taarifa za uwezekano wa kutokea kwa shambulio la kigaidi katika miji ya Tanzania, ikiwemo Dar es Salaam na Mwanza, kumesababisha baadhi ya taasisi muhimu kama vyuo vikuu na Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), kuchukua hatua za kujihami.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

BARAZA LA VYUO VIKUU AFRIKA MASHARIK(IUCEA)KUWA NA MAONESHO YA VYUO VIKUU UGANDA

Katibu Mtendaji wa Baraza la Vyuo Vikuu Afrika Mashariki(IUCEA)Profesa Mayunga Nkunya akizungumza na waandishi wa habari Jijini Arusha jana kuhusu hali ya wahitimu katika nchi za Afrika Mashariki na ushirikiano wa Baraza la Wafanyabiashara Afrika Mashariki(EABC) kuwajengea uwezo wahitimu ili kumudu soko la ajira .Taasisi hiyo itakuwa na maonesho ya vyuo katika nchi za EAC  Kampala ,Uganda mwezi Oktoba ,2015.Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Baraza la Wafanyabiashara wa Afrika...

 

10 years ago

Vijimambo

TAMKO LA UONGOZI WA SERIKALI ZA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU DODOMA KULAANI KUHUSISHWA KWA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU VYA DODOMA NA KUMUOMBA MH. LOWASA KUGOMBEA URAIS.

Huyu si ndiyo alisema ni raisi wa wanafunzi na sauti zao hapa chini iweje leo waandike barua ya kujikana?. Siasa za bongo ni chenga kweli yani wala siyo {HD}

Tamko la Wanafunzi wa Vyuo Vikuu Dodoma Kulaani Kuhusishwa Kwao Kumshawishi Lowassa Kuchukua Form ya Uraisi
Ndugu Waandishi wa habari, Tunapenda kutanguliza shukrani za dhati kwenu kwa kufika katika eneo hili kutusikiliza.Mbele yenu ni viongozi wa serikali za wanafunzi kutoka Vyuo vikuu mbalimbali vilivyopo mkoani Dodoma.Ndugu waandishi...

 

11 years ago

GPL

PSPF YATOA MAFUNZO JINSI YA KUJIUNGA NA UWANACHAMA WAKATI WA MAONYESHO YA VYUO VYA ELIMU YA JUU YALIYOANDALIWA NA TUME YA VYUO VIKUU (TCU)

Afisa Masoko wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Rahma Ngassa (Kulia), akiwaeleza wanafunzi nhawa jinsi ya kujaza fomu za kujiunga na uanachama wa Mfuko huo, wakati wa maonyesho ya vyuo vya elimu ya juu yaliyoandaliwa na Tume ya vyuo vikuu (TCU), kwa kushirikiana na wizara ya elimu na mafunzo yan ufundi stadi. Maonyesho hayo ya siku tatu yamefunguliwa jana kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.
Afisa Uendeshaji wa...

 

11 years ago

Habarileo

‘Wahitimu vyuo vikuu hawaajiriki’

Mkurugenzi wa Elimu ya Juu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Sylivia TemuUBORA hafifu wa wahitimu wa vyuo vikuu kiasi cha kusababisha wengine kutoajirika, vimeigusa serikali na sasa inatarajia kuja na mpango wa kukabili hali hiyo.

 

9 years ago

BBCSwahili

Vyuo vikuu Ghana vyahusishwa na IS

Ghana imeanzisha uchunguzi kuhusiana na madai kuwa vyuo vikuu vimetumika kama vituo vya kuwasajili wapiganaji wa Islamic State

 

11 years ago

Habarileo

'Wahitimu vyuo vikuu wajiamini'

VIJANA wahitimu wa vyuo vikuu wameshauriwa kuingia katika soko la ajira wakijiamini na kujipambanua kiuwezo, kutokana na elimu waliyopata wakiwa chuoni. Makamu Mkuu Chuo Kikuu Mzumbe, Kampasi ya Mbeya, Profesa Joseph Kuzilwa, alisema hayo mwishoni mwa wiki katika mahafali ya 12 ya chuo hicho.

 

11 years ago

BBCSwahili

Brotherhood wachoma moto vyuo vikuu

Kikundi cha Muslimu Brotherhood kilichopigwa marufuku nchini Misri kimechoma moto vyuo vikuu viwili katika mji mkuu wa Cairo.

 

9 years ago

Dewji Blog

Vyuo Vikuu wampongeza Dkt. Magufuli

PIX1

Mwenyekiti wa Shirikisho la Wanafunzi wa Vyuo Vikuu (CCM) Bi. Zainabu Abdallah (katikati) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) alipokuwa akitoa pongezi  kwa Rais mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Tano Dkt. John Pombe Magufuli kwa niaba ya Shirikisho hilo jana jijini Dar es Salaam katika Ukumbi wa Habari (MAELEZO). Kushoto ni Katibu Msaidizi wa Shirikisho hilo Bw. Daniel Zenda na kulia ni Afisa Habari wa Idara ya Habari (MAELEZO) Bw. Frank Mvungi.(Picha na...

 

11 years ago

Habarileo

‘Wahitimu vyuo vikuu rejesheni mikopo’

KUKOSA ajira kwa wahitimu wa vyuo vya elimu ya juu, ambao walinufaika na Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (Heslb), siyo sababu ya mhusika kutorejesha fedha zilizotumika kumsomesha; imeelezwa. Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari, Elimu na Mawasiliano, Cosmas Mwaisobwa alisema hayo alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari kuhusu shughuli za bodi hiyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani