Tanganyika unapotezwa tena, Zanzibar unahadaiwa zaidi
Huzuni kubwa ninayopata kutokana na kupuuzwa kwa maoni ya wananchi ambayo mimi Polepole na wenzagu tulikuwepo walipoyatoa yananipa ujasiri zaidi na usiyo kifani, moyo mkuu na tumaini kwamba kuna tija katika kusimamia kweli.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
TheCitizen02 May
Exactly who initiated Tanganyika, Zanzibar Union?
11 years ago
Mwananchi03 Apr
Zanzibar ndani ya Tanganyika au muungano?
10 years ago
Habarileo26 Apr
Leo ni miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
RAIS Jakaya Kikwete ambaye pia ni Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, leo atawaongoza watanzania katika kuadhimisha miaka 51 ya kuzaliwa kwa Tanzania baada ya kuunganisha nchi mbili huru za Tanganyika na Zanzibar.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ewtvLniYpoN8YDKlZJCEmm3Jn6RyoMSHyIUYkLZumlT7*MfR1CitI0vOwDAGDGMdxUpww1nXBrAXkoCI8AF6eKTwK5NX0X4*/muungano.jpg?width=650)
MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR WATIMIZA MIAKA 50
11 years ago
Tanzania Daima09 Apr
Tuiache Zanzibar, tuunde Tanganyika yetu
ZANZIBAR ni nchi, Zanzibar siyo nchi. Haya ni miongoni mwa maswali na majibu ambayo yamo katika ‘kabati’ za vichwa vya baadhi ya Watanzania, wakiwemo viongozi wa kitaifa katika Tanzania yetu...
10 years ago
TheCitizen26 Apr
Tanganyika-Zanzibar union is going strong, says Kikwete
11 years ago
Habarileo16 Mar
Wabunge kufundwa historia ya Zanzibar, Tanganyika
WAJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba wanatarajia kupigwa msasa juu ya historia ya Zanzibar na Tanganyika kabla ya kujadili rasimu ya pili ya Katiba ambapo suala la Muungano limo ndani yake.
11 years ago
TheCitizen30 Apr
Smiles, frowns of 50 years of Union of Tanganyika, Zanzibar
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-i3saPbH7_pQ/VDtmOkKtnAI/AAAAAAAGpqk/YjVbS21HK4c/s72-c/wanajeshi1.jpg)
NEWS UPDATES: MAITI ZAIDI ZAPATIKANA ZIWA TANGANYIKA BAADA YA AJALI YA MITUMBWI YA HARUSI
Mpaka sasa jumla ya maiti nne zimeopolewa na kufanya kufikia idadi ya maiti kumi zimepatikana katika ajali ya mitumbwi iliyotokea jana mchana katika kijiji cha Kalalangabo baada ya mitumbwi iliyokuwa imebeba maharusi ndugu jamaa na wapambe kupigwa wimbi na kuzama.
Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Luteni Mstaafu Issa Machibya ambaye ni Mwenyekiti wa kamati ya maafa ya Mkoa amesema kuwa bado idadi maiti zilipo kwenye maji ni kubwa ambazo bado hazijapatikana....