Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tuiache Zanzibar, tuunde Tanganyika yetu

ZANZIBAR ni nchi, Zanzibar siyo nchi. Haya ni miongoni mwa maswali na majibu ambayo yamo katika ‘kabati’ za vichwa vya baadhi ya Watanzania, wakiwemo viongozi wa kitaifa katika Tanzania yetu...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

TheCitizen

Exactly who initiated Tanganyika, Zanzibar Union?

On April 26 this year, Tanzania marked 51 years of the Union between what were the Republic of Tanganyika and the Isles Republic of Zanzibar. Tanganyika was granted (political) independence on a silver platter – relatively speaking – by Her Britannic Majesty’s government on December 9, 1961.

 

11 years ago

Mwananchi

Zanzibar ndani ya Tanganyika au muungano?

Nianze kwa kunukuu tangazo nililokuta Bagamoyo, nilipokwenda katika shughuli zangu za kutoa ushauri kuhusu maendelezo bora ya ardhi eneo la makurunge ili kunogesha mjadala katika makala yangu leo ubaoni.

 

10 years ago

TheCitizen

Tanganyika-Zanzibar union is going strong, says Kikwete

 Zanzibar. As Tanzanians today mark 51 years of the union of Tanganyika and Zanzibar that formed Tanzania in 1964, President Jakaya Kikwete yesterday appealed for the union to be cherished.

 

11 years ago

GPL

MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR WATIMIZA MIAKA 50

Waasisi wa Muungano wa nchi mbili za Tanganyika na Zanzibar, Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (kushoto) na Hayati,  Abeid Aman Karume (kulia waliokaa) wakisaini nyaraka za Muungano mwaka 1964.…

 

11 years ago

Habarileo

Wabunge kufundwa historia ya Zanzibar, Tanganyika

Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samwel SittaWAJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba wanatarajia kupigwa msasa juu ya historia ya Zanzibar na Tanganyika kabla ya kujadili rasimu ya pili ya Katiba ambapo suala la Muungano limo ndani yake.

 

10 years ago

Habarileo

Leo ni miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

Waasisi wa Muungano, Mwalimu Julius Nyerere (kulia) na Abeid Aman Karume wakisaini hati za Muungano mwaka 1964.RAIS Jakaya Kikwete ambaye pia ni Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, leo atawaongoza watanzania katika kuadhimisha miaka 51 ya kuzaliwa kwa Tanzania baada ya kuunganisha nchi mbili huru za Tanganyika na Zanzibar.

 

10 years ago

Mwananchi

Tanganyika unapotezwa tena, Zanzibar unahadaiwa zaidi

Huzuni kubwa ninayopata kutokana na kupuuzwa kwa maoni ya wananchi ambayo mimi Polepole na wenzagu tulikuwepo walipoyatoa yananipa ujasiri zaidi na usiyo kifani, moyo mkuu na tumaini kwamba kuna tija katika kusimamia kweli.

 

11 years ago

TheCitizen

Smiles, frowns of 50 years of Union of Tanganyika, Zanzibar

>Tanzanians have just celebrated 50 years – Golden Jubilee -- of the Union of Tanganyika and Zanzibar. Formerly, the two entities were independent of each other. However, on April 26, 1964 they agreed to form what was known then as the United Republic of Tanganyika and Zanzibar.

 

10 years ago

Dewji Blog

Heri ya Miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, tuuenzi na tuulinde

10430850_10153274519206810_1803084075348700092_n

Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere akichanganya udongo wa Tanganyika na Zanzibar kama ishara rasmi ya kuunganisha nchi hizo mbili miaka 51 iliyopita. Modewjiblog inaungana na Watanzania duniani kote kusherehekea siku hii adhimu kwa kuwatakia Happy Muungano Day!

nyerere_with_karume

Hayati Mwalimu Julius Nyerere (kushoto) na Sheikh Abeid Aman Karume wakibadilishana hati za muungano.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani