TANGAZO KWA WAKAZI WA JIMBO LA KALENGA LINAWAHUSU HILI.
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziGavana wa jimbo la Ohio: Wakazi laki moja wa jimbo hili wamepatwa na virusi vya Corona
Gavana wa jimbo la Ohio nchini Marekani amesema kuwa ripoti za Idara ya Afya zinaonyesha kuwa, karibu asilimia moja ya wakazi wa jimbo hilo wameambukizwa virusi vya COVID-19 (Corona).
Mike DeWine amesema, anazo ripoti kwamba asilimia moja ya wakazi wa jimbo la Ohio wameambukizwa virusi vya Corona, suala ambalo lina maana kwamba, zaidi ya Wamarekani laki moja wa Ohio wameathiriwa na virusi hivyo.
Mike DeWine ambaye alikuwa akizungumza na televisheni ya CNN ya Marekani amesema yumkini jimbo...
Mike DeWine amesema, anazo ripoti kwamba asilimia moja ya wakazi wa jimbo la Ohio wameambukizwa virusi vya Corona, suala ambalo lina maana kwamba, zaidi ya Wamarekani laki moja wa Ohio wameathiriwa na virusi hivyo.
Mike DeWine ambaye alikuwa akizungumza na televisheni ya CNN ya Marekani amesema yumkini jimbo...
11 years ago
MichuziKINANA ATUA KALENGA LEO,AMNADI MGOMBEA UBUNGE WA CCM JIMBO LA KALENGA KWA KISHINDO
Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana pichani kushoto na Naibu Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Mwigulu Nchemba wakimnadi mgombea Ubunge wa Jimbo la Kalenga kupitia chama hicho cha CCM,Ndugu Godfreya Mgimwa,kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni za lala salama,uliofanyika leo jioni katika kijiji cha Magulilwa kata ya Magulilwa,Iringa vijijini.
Kinana amewataka wakazi wa Kalenga kumpigia kura za kutosha na hatimae kuibuka mshindi kwa maendeleo ya jimbo hilo,hapo siku ya jumapili ambapo...
Kinana amewataka wakazi wa Kalenga kumpigia kura za kutosha na hatimae kuibuka mshindi kwa maendeleo ya jimbo hilo,hapo siku ya jumapili ambapo...
10 years ago
MichuziDkt MUSA MDEDE apata Baraka za kuwa mbunge wa jimbo la kalenga kutoka kwa vijana wa kikatoliki wa jimbo hilo
Dkt MUSA LEONARDMDEDE akitoa neno katika kongamano la vijana wa Katoliki Vijana kikatoliki lililofanyika katika kijiji cha Ulete mkoani Iringa.Sehemu ya vijana wakimsikiza mdede katika kongamano hilo. Baadhi ya viongozi wa vijana hao wakiwa makini kumsikiliza Dkt. Mdede. Kwa habari kamili na picha zaidi.
BOFYA HAPA
BOFYA HAPA
11 years ago
Michuzi10 Mar
11 years ago
GPLUCHAGUZI JIMBO LA KALENGA WAENDELEA KWA AMANI
Wananchi wa Jimbo la Kalenga wakiwa kwenye foleni kwa ajili ya kupiga kura kumchagua mbunge wao leo. Wananchi wa kijiji cha Mwika wakipiga kura.…
11 years ago
MichuziMeya wa Ilala Jerry Silaa,Mwakalebela waishambulia vilivyo Kalenga,wampigia debe la nguvu mgombea ubunge jimbo la Kalenga Godfrey Mgimwa
Pichani shoto ni Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM,Ndugu,Jerry Silaa wakishangilia jambo kwa pamoja na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kalenga kwa tiketi ya chama cha CCM,Ndugu Godfrey William Mgimwa,katika mkutano wa hadhara wa kampeni uliofanyika jana kwenye uwanja wa shule ya msingi Katenge katika kijiji cha Mgama,kata ya Mgama,Iringa Vijijini.
Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM,Ndugu,Jerry Silaa pichani kulia...
9 years ago
VijimamboTANGAZO KWA WAKAZI WA DAR ES SALAAM KUHUSU UPOKEAJI WA MIGOGORO YA ARDHI
WIZARA YA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI INAPENDA KUWATANGAZIA WANANCHI WOTE KUWA MHE. WAZIRI WA ARDHI ATAPOKEA MALALAMIKO YA WANANCHI WENYE MIGOGORO INAYOHUSU ARDHI KATIKA MKOA WA DAR ES SALAAM TAREHE 22 – 23, SEPTEMBA, 2015 KUANZIA SAA 4.00 ASUBUHI MAKAO MAKUU YA WIZA RA. KATIKA TUKIO HILO, MNATAKIWA KUZINGATIA YAFUATAYO;- 1) TAREHE 22 SEPTEMBA 2015 ATAPOKEA MALALAMIKO YA WANANCHI KWA MANISPAA YA KINONDONI;2) TAREHE 23 SEPTEMBA 2015 ATAPOKEA MALALAMIKO YA WANANCHI KWA MANISPAA...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania