Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TANGAZO LA VIWANJA NA MASHAMBA KWA WATANZANIA WAISHIO UINGEREZA (DIASPORA)

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaandaa mahitaji ya ardhi kwa ajili ya watanzania waishiao nje ya Tanzania.  Nchini Uingereza, Ubalozi unaratibu zoezi hilo kwa watanzania waishio Uingereza na Ireland. 
Tunaomba maombi hayo yaainishe Mkoa na Wilaya hitajika, aina ya matumizi ya ardhi hiyo kama ni Makazi, Biashara au Kilimo.
Maombi yawasilishwe kwa Viongozi wa Jumuiya za Watanzania katika miji/ maeneo wanayoishi, ambao watayaleta ubalozini kwa hatua zaidi. Au muombaji wanaweza...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

TANGAZO KWA WATANZANIA WAISHIO UINGEREZA

 Ubalozi wa Tanzania London - Uingereza, unafuraha ya kuwatangazia Watanzania wote waishio Uingereza kuwa Mhe. Dr. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, atakutana na Watanzania siku ya Jumapili tarehe 30 Machi 2014.
Mkutano huo utafanyika katika ukumbi wa Sattavis Patidar Centre, Forty Avenue, Wembley Park, London, Middx, HA9 9BE, kuanzia saa 10 jioni (16:00).


Katika Mkutano huo, Mhe.Rais Kikwete atazungumzia maendeleo ya nchi yetu na pia kutumia fursa hiyo...

 

10 years ago

GPL

WATANZANIA WAISHIO BOTSWANA WAVUTIWA NA KUJIUNGA KWA WINGI KATIKA GEPF DIASPORA SCHEME (GDS) ULIOANZISHWA MAALUM KWA WATANZANIA WAISHIO NJE NA MFUKO WA GEPF.

Bw Kisasi mwenyekiti wa jumuiya ya Watanzania waishio Botswana akitoa hotuba ya kumkaribisha mgeni rasmi. Bi Rosemary Chambe Jairo Mkurugenzi kutoka wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa anaeshughulikia dawati la diaspora akifungua rasmi mkutano huo.…

 

11 years ago

Michuzi

RISALA YA WATANZANIA WAISHIO UINGEREZA KWA MHESHIMIWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO TANZANIA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea risala toka kwa Katibu wa Jumuiya ya Watanzania waishio Uingereza Bi Mariam Mungula alipokuwa London kwa ziara ya kiserikali kwa mwaliko wa Waziri Mkuu wa uingereza Mhe David Cameron. Risala hiyo inasomeka hapa chini...

 

11 years ago

Dewji Blog

Pinda akutana na Watanzania waishio Reading Uingereza

PG4A4882

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu  (kulia) wakiongozana na Madona Pemba (kushoto) , mtanzania aishie Uingereza kuelekea kwenye ukmbi wa mikutano  ili kuzungumza na watanzania waishio Reading Julai 10, 2014.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A4906

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu  (kulia) wakisalimiana na baadhi ya watoto na wazazi  waliohudhuria mkutano kati yake na watanzania waishio Reading Uingereza.

PG4A4919

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea zawadi ya mipira  kutoka kwa watanzania...

 

11 years ago

Michuzi

BENKI YA CRDB YAWATAKA WATANZANIA WAISHIO NJE YA NCHI 'DIASPORA' KUKOPA MIKOPO YA NYUMBA

Meneja wa Mikopo ya Nyumba kutoka Benki ya CRDB, Silas Katemi akitoa mada wakati wa Mkutano wa nane wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa uliofanyika jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki. Meneja Uhusiano wa Premier Banking, Augusta Mfuru akizungumza wakati wa mkutano wa nane wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa uliofanyika jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki. Ofisa wa Benki ya CRDB, Nasiwa Solomon...

 

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AONGEA NA MAMIA YA WATANZANIA WAISHIO UINGEREZA

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia mamia ya Watanzania waishio Uingereza alipokutana nao usiku wa Machi 30, 2014 katika Ukumbi wa Sattavis Patidar Centre, Wembley, London, aliko katika ziara ya kiserikali ya siku tatu kwa…

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU PINDA AKUTANA NA WATANZANIA WAISHIO UINGEREZA

 Maafisa wa Ubalozi, Bwana Amos Msanjila na Dada Caroline Chipeta, Wakimkaribisha Mheshimiwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano, Mhe. Mizengo Pinda na Mkewe (Mama Tunu Pinda) walipowasili katika Ofisi za Ubalozi wa Tanzania, London Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano, Mhe. Mizengo Peter Pinda akipokewa, kukaribishwa na kusalimiana na baadhi ya Maafisa wa Ubalozi pamoja na Wawakilishi wa Jumuiya za Watanzania waishio nchini Uingereza.
 Baadhi ya Watanzania waliohudhuria Mkutano wao na Waziri...

 

11 years ago

GPL

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AKUTANA NA WATANZANIA WAISHIO READING UINGEREZA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu (kulia) wakiongozana na Madona Pemba (kushoto), Mtanzania aishie Uingereza kuelekea kwenye ukumbi wa mikutano ili kuzungumza na Watanzania waishio Reading Julai 10, 2014.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea zawadi ya mipira kutoka kwa Watanzania waishio Reading nchini Uingereza  kabla ya kuzungumza nao Julai  10, 2014. Kushoto ni Mwenyekiti wa… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani