TANGAZO MAALUM
NAFASI ZA WAALIMU WA KUJITOLEA KUFUNDISHA KISWAHILI
Madarasa ya Kiswahili huendeshwa kila Jumamosi ;White Oak Community Recreation Center 1700 April Lane, Silver Spring, MD 20904 MUDA: Kuanzia saa 9 mchana hadi saa 11 Jioni. MALENGO:
Kufundisha kuongea na kuandika kwa lugha ya Kiswahili kwa waTanzania na marafiki zao hapa Washington DC, Maryland na Virginia.Kufundisha Utamaduni unaoendana na kujifunza lugha ya Kiswahili.Kujenga jamii iliyo imara kwani lugha ni kiunganishi...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-F9hpq0MjsrQ/VQpUd2WBhnI/AAAAAAAHLYA/hFkYVbsZLaM/s72-c/unnamed%2B(55).jpg)
TANGAZO TANGAZO TANGAZO Je Unataka kujifunza jinsi ya kuanzisha,kuendesha na kusimamia biashara yako?
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-otUVOySYNMY/UoRE2GL556I/AAAAAAAAC4g/nV-_GmDaxoQ/s72-c/logo.jpg)
TANGAZO MAALUM: MEDICAL MISSION TO TANZANIA- Volunteers Wanahitajika
![](http://1.bp.blogspot.com/-otUVOySYNMY/UoRE2GL556I/AAAAAAAAC4g/nV-_GmDaxoQ/s1600/logo.jpg)
Uongozi wa Jumuiya ya Watanzania hapa Washington DC, Maryland and Virginia inapenda kuwataarifu wanajumuiya na Watanzania wote hapa Marekani kuwa kwa kushirikiana na Kampuni isiyo ya kiserikali (NGO)yenye makao yake makuu hapa Marekani inaandaa kwenda Tanzania kutoa huduma za afya za bure kwa watanzania watakao hitaji huduma hizo Tanzania. Mission hii itaanzana July 18- Mpaka July 26, 2015.
Uongozi wa Jumuiya hapa DMV imeanza kutayarisha timu ya madaktari na wauguzi watakaoweza kujitolea...
10 years ago
Vijimambo09 Jan
TANGAZO MAALUM: UFUNGUZI RASMI WA DARASA LA KISWAHILI DMV.
Uongozi wa Jumuiya ya Watanzania unapenda kuwatangazia watanzania wote wanaoishi maeneo ya Washington DC, Maryland na Virginia kuhusu Madarasa ya Kiswahili yatakayoanza rasmi tarehe 24 January, 2015.
White Oak Community Recreation Center,1700 April Lane, Silver Spring, MD 20904 Kuanzia tarehe 24/1/2015 Saa 9 mchana – 11 Jioni kila Jumamosi
![](http://www.columbiaengineering.com/Lists/Photos/Community/White%20Oak%20Community%20Center.jpg)
Kwa maelezo zaidi wasiliana na viongozi wafuatao:
Rais- Iddy Sandaly (301) 613-5165Makamu wa Rais – Harriet...
10 years ago
Michuzi04 Sep
TAARIFA YA WAWAKILISHI WA TAASISI ZA DINI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA TOKA WAJUMBE 201 KUHUSU MWENENDO WA SHUGHULI ZA BUNGE MAALUM LA KATIBA
11 years ago
Michuzi05 Aug
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dnCWvahr*Cpnqx5EwM5AbApsmEh0GTx48VPYnIVkV-NGAebw6z4Lng4L-xe7*GftJVWlhW2HLBvx5PhjwGCedbIIWUIxxoml/Aloyce1.jpg?width=650)
WAHARIRI WAANDAMIZI WAHAMASIKA NA KUJIUNGA RASMI KATIKA MPANGO MAALUM WA KUJIWEKEA AKIBA (VSRS) KATIKA MFUKO WA GEPF WAKATI WA SEMINA MAALUM YA JUKWAA LA WAHARIRI ILIYOFANYIKA MJINI MTWARA