tangazo tangazo tangazo.......

Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi.jpg)
TANGAZO TANGAZO TANGAZO Je Unataka kujifunza jinsi ya kuanzisha,kuendesha na kusimamia biashara yako?
Tanzania Zalendo wanakuleta Mhadhara wa Jinsi ya KUANZISHA, KUENDESHA na KUDUMU katika biashara. UKUMBI ni Alliance Francaise shuka kituo cha RED CROSS kuelekea Posta. Siku ya JUMAMOSI tarehe 21/03/2015. Muda Ni saa Nane 8 mchana Mpaka saa Kumi Jioni. Utajifunza jinsi ya kuanzisha ,kuendesha na kusimamia biashara kutoka kwa mtaalam wa masuala ya biashara Mhadhiri wa kikuu cha Dar es salaam Dr Muhsin Masoud wa shule ya Biashara. Mafunzo haya ni BURE Kwa mawasiliano zaidi piga 0787 66 99...
11 years ago
GPL
10 years ago
Vijimambotangazo uzinduzi
10 years ago
Michuzi04 Jun
TANGAZO LA DHARURA - UK
nna lillahi wa Inna ilayhi raaji'oun. Kifo cha ndugu yetu kilichotokea Milton Keynes, UK, bado ndugu zetu hawajafikia malengo ya kufikisha kima kinachotakiwa kukidhi haja zote za maziko na malengo mengine ya kijamii, ya waliomzunguka.
Maziko yanatarajiwa Alhamis ya tarehe 04 June 2015, baada ya kupata mwili kwenye majira ya adhuhuri kutokana na wahusika, in shaa allah.Kama kuna chochote utakachojaaliwa kutoa kama ni mchango wako, tuma kwenye akaunti ya benki ifuatayo:
Bank: Natwest
Name:...
Maziko yanatarajiwa Alhamis ya tarehe 04 June 2015, baada ya kupata mwili kwenye majira ya adhuhuri kutokana na wahusika, in shaa allah.Kama kuna chochote utakachojaaliwa kutoa kama ni mchango wako, tuma kwenye akaunti ya benki ifuatayo:
Bank: Natwest
Name:...
11 years ago
Vijimambo30 Sep
TANGAZO LA KISOMO.
Familia ya Bi Hamida Majili, inapenda kuwakaribisha kwenye shughuli ya kisomo
(Hitima) cha marehemu Zubeda Majili ambaye ni mamake mzazi, Bi Hamida
Majili. Marehemu alifariki tarehe 31.08.2014 na kuzikwa huko nyumbani kwao
Handeni, Mkoa wa Tanga.
Shughuli hii ya Kisomo, itafanyika siku ya Ijumamosi tarehe 11.10.2014 kuanzia
saa 10.00 jioni hadi saa 2.00 usiku. Anwani ya mahali itakapofanyikia shughuli hii
mtajulishwa baadae.
Kama ilivyo ada, tunawaomba Watanzania na wanajumuia wote wa hapa...
11 years ago
Michuzi
5 years ago
CCM Blog
10 years ago
Michuzi02 Jun
TANGAZO LA KIFO

Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza nchini, John Casmir Minja anasikitika kutangaza kifo cha aliyekuwa Kamishna Mkuu wa Jeshi la Magereza Tanzania Bara kuanzia Mwaka 1996 hadi 2002, Onel E. Malisa kilichotokea leo Alfajiri tarehe 2 Juni, 2015 katika Hospitali ya Dar Group, Jijini Dares Salaam.Jeshi la Magereza kwa kushirikiana na Familia ya Marehemu linaendelea kuratibu taratibu zote za kuaga na mazishi ya marehemu. Hivi sasa msiba upo nyumbani kwake Kinyerezi, Jijini Dar es Saalam. Aidha...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania