Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TANGAZO LA DHARURA - UK

nna lillahi wa Inna ilayhi raaji'oun. Kifo cha ndugu yetu kilichotokea Milton Keynes, UK, bado ndugu zetu hawajafikia malengo ya kufikisha kima kinachotakiwa kukidhi haja zote za maziko na malengo mengine ya kijamii, ya waliomzunguka.
Maziko yanatarajiwa Alhamis ya tarehe 04 June 2015, baada ya kupata mwili kwenye majira ya adhuhuri kutokana na wahusika, in shaa allah.Kama kuna chochote utakachojaaliwa kutoa kama ni mchango wako, tuma kwenye akaunti ya benki ifuatayo:
Bank: Natwest
Name:...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

TANGAZO TANGAZO TANGAZO Je Unataka kujifunza jinsi ya kuanzisha,kuendesha na kusimamia biashara yako?

Tanzania Zalendo wanakuleta Mhadhara wa Jinsi ya KUANZISHA, KUENDESHA na KUDUMU katika biashara. UKUMBI ni Alliance Francaise shuka kituo cha RED CROSS kuelekea Posta.  Siku ya JUMAMOSI tarehe 21/03/2015.  Muda Ni saa Nane 8 mchana Mpaka saa Kumi Jioni.  Utajifunza jinsi ya kuanzisha ,kuendesha na kusimamia biashara kutoka kwa mtaalam wa masuala ya biashara Mhadhiri wa kikuu cha Dar es salaam Dr Muhsin Masoud wa shule ya Biashara. Mafunzo haya ni BURE  Kwa mawasiliano zaidi piga 0787 66 99...

 

11 years ago

Mwananchi

Tido Mhando:Mkutano wa dharura

Mwanzoni mwa mwaka huu, Tido Mhando alitimiza miaka 45 katika tasnia ya habari, ambapo ndani ya muda huo, kwa kipindi kirefu alikuwa zaidi kwenye fani ya utangazaji wa redio.

 

10 years ago

BBCSwahili

UN:Yemen inahitaji msaada wa dharura

Jumuiya ya Umoja wa mataifa imetoa ombi maalum kwa msaada wa dharura wa kibinadamu kwa ajili ya kuisaidia Yemen

 

10 years ago

Mwananchi

Ukawa wakutana kwa dharura

Chadema kwa kushirikiana na vyama vinavyounda Ukawa, leo wanakutana kujadili mwenendo waliouita usio halali wa kutangaza matokeo, wakiituhumu Tume ya Uchaguzi (NEC), CCM na Jeshi la Polisi kushirikiana kuhujumu matokeo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Changamoto za utoaji wa huduma za dharura

Huduma ya kwanza huchangia pakubwa katika uokoaji wa maisha ya binadamu haswa wakati wa majanga.Tumezungumza na mhudumu mmoja

 

10 years ago

BBCSwahili

Huduma za dharura ni duni Tanzania

Mamlaka zinazohusika zimeeleza kutokuwa na vitendea kazi na wananchi kuwa na elimu duni kuhusu majanga

 

11 years ago

BBCSwahili

Msaada wa dharura unahitajika Syria

Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon anasema kuwa nusu ya wananchi wa Syria wanahitaji msaada wa dharura wa kibinadamu.

 

11 years ago

BBCSwahili

Ebola:WHO laanda mkutano wa dharura

Shirika la afya duniani leo linaongoza mkutano wa kamati yake ya dharura kutathmini hali ya hivi karibuni kusiana na mlipuko wa Ebola .

 

11 years ago

BBCSwahili

Obama aomba msaada wa dharura

Anahitaji dola bilioni 3.7 za dharura kusaidia kukabiliana na ongezeko la watoto waliohama peke yao kutoka Amerika ya kati

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani