Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TANGAZO LA KISOMO.



Familia ya Bi Hamida Majili, inapenda kuwakaribisha kwenye shughuli ya kisomo 
(Hitima) cha marehemu Zubeda Majili ambaye ni mamake mzazi, Bi Hamida 
Majili. Marehemu alifariki tarehe 31.08.2014 na kuzikwa huko nyumbani kwao 
Handeni, Mkoa wa Tanga.
Shughuli hii ya Kisomo, itafanyika siku ya Ijumamosi tarehe 11.10.2014 kuanzia 
saa 10.00 jioni hadi saa 2.00 usiku. Anwani ya mahali itakapofanyikia shughuli hii 
mtajulishwa baadae.
Kama ilivyo ada, tunawaomba Watanzania na wanajumuia wote wa hapa...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

TANGAZO LA KISOMO DMV


Ndugu yetu Majid Zuberi anatuarifu Kisomo cha Hitima za Marehemu Mdogo Wake Abu Twalibu Zuberi Kajwangya Na Mama Mlezi Rehema Kajwangya misiba yote imetokea Kanyigo Bukoba.
Siku ya Jumamosi September 26, 2015Kuanzia Saa Kumi na Mbili jioni hadi Saa Tatu usiku (6PM – 9PM)
Anuani:Indian Spring Terrace Local Park9717 Lawndale Dr.Silver Spring, MD  20901
Kama Ilivyo ada, tunawaomba WaTanzania na Wana Jumuia wote wa hapa DMV tujumuike kwa Pamoja.
Ukipata Taarifa hii Tafadhali Mjulishe na Mwenzio.
Kwa...

 

10 years ago

Michuzi

TANGAZO TANGAZO TANGAZO Je Unataka kujifunza jinsi ya kuanzisha,kuendesha na kusimamia biashara yako?

Tanzania Zalendo wanakuleta Mhadhara wa Jinsi ya KUANZISHA, KUENDESHA na KUDUMU katika biashara. UKUMBI ni Alliance Francaise shuka kituo cha RED CROSS kuelekea Posta.  Siku ya JUMAMOSI tarehe 21/03/2015.  Muda Ni saa Nane 8 mchana Mpaka saa Kumi Jioni.  Utajifunza jinsi ya kuanzisha ,kuendesha na kusimamia biashara kutoka kwa mtaalam wa masuala ya biashara Mhadhiri wa kikuu cha Dar es salaam Dr Muhsin Masoud wa shule ya Biashara. Mafunzo haya ni BURE  Kwa mawasiliano zaidi piga 0787 66 99...

 

10 years ago

Vijimambo

KISOMO JUMAMOSI DMV

Ally Mussa Mikidadi anawataarifu kisomo cha marehemu mpendwa baba yake kitakachofanyika siku ya Jumamosi March 28, 2015 saa 11 jioni (5pm) anuani ya mahali kitakapofanyika kisomo ni Pinecrest Local Park301 St. Laurance DrSilver Spring, MD
Kama ilivyo kawaida yetu kusaidiana na kushikamana hasa katika kipindi hiki kigumu cha Ally Mussa Mikidadi kuondokewa na mpendwa baba yake, tunaomba msaada kwa wakina baba walete vinywaji na akina mama tusaidiane vyakula ili tuweze kufanikisha shughuli hii...

 

10 years ago

Vijimambo

TAARIFA YA KISOMO DMV



Assalaam Aleikum Warahmatullahi Wabarakatu


Kwa niaba ya familia ya ndugu yetu Saleh Mohammed wa DC tunapenda kuwaarifu kufanyika kwa kisomo cha kumuombea dua mzee wao, na wazee na jamaa zetu wote waliotangulia mbele ya haki.
Kisomo kitafanyika siku ya Jumaapili, Tarehe 21, June 2015 kabla ya futari yetu ya pamoja.

Adress ni 9717 Lawndale Dr, Silver Spring MD 20901.

Tunawaomba tufike mapema ili tuweze kufanikisha shughuli hii kwa wakati kabla ya Sala ya Magharibi.

SIKU YA WAHITIMU [GRADUATES...

 

9 years ago

Vijimambo

KISOMO KILICHOFANYIKA DELAWARE JUMAPILI

 Wanafamilia na marafiki zao wakijumuika kwenye kisomo cha ndugu yao kilichofanyika Delaware mji wa Elkton siku ya Jumapili Aug 23, 2015 Kisomo kikiendelea Wanafamilia wakiwa katika picha ya pamoja

 

11 years ago

GPL

SAGUDA AMUANDALIA KISOMO RECHO

ALIYEKUWA mchumba wa msanii wa filamu Bongo, marehemu Sheila Haule ‘Recho’, George Saguda amesema baada ya kumalizika kwa mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan, sasa anajiandaa kwa ajili ya kisomo cha kumkumbuka mwenzake huyo. Marehemu 'Recho' na a liyekuwa mpenzi wake…

 

10 years ago

Vijimambo

KISOMO CHA HITMA JUMAPILI DMV

Tujumuike na Yasin Randi (wa kijiwe cha ughaibuni) kwenye kisomo cha hitma ya mama yake mpendwa Zainabu Mussa siku ya Jumapili Desemba 14, 2014 kuanzia saa 8 mchana Marehemu alifikwa na mauti Tanzania Desemaba 8, 2014 nyumbani kwake Mbagala na maziko yalifanyika Jumanne Desemba 9, 2014 katika makaburi ya Mbagala.

Kisomo cha hitma kitafanyika nyumbani kwa mfiwa DMV  anuani ni 2608 Kirkwood Pl Apt # 201, Hyattsville MD 20782 kufika kwako ndio kufanikisha kisomo hiki.

Kwa taarifa zaidi na...

 

9 years ago

Vijimambo

KISOMO CHA ABU TWALIBU ZUBERI DMV

Kushoto ni Mzee Zuberi akiwasilisi kwa ajili ya kisomo cha mdogo wake kilichofanyika siku ya Jumamosi  Septemba 26, 2015 Silver Spring, Maryland wengine katika picha ni Milanga (kulia ) na Joseph Mzanila. PICHA NA VIJIMAMBO/KWANZA PRODUCTIONKulia na Mzee Zuberi akiwa kwenye kisomo cha mdogo wake Abu Twalibu Zuberi kilichofanyika siku ya Jumamosi  Septemba 26, 2015 Silver Spring, Maryland. Mwingine katika picha ni Bwn Abbas Missana ambaye ni Afisa Ubalozi wa Ubalozi wa Tanzania nchini...

 

10 years ago

Vijimambo

KISOMO CHA MAMA MWANAKONDO MOHAMED JUMBE, NEW YORK

Latifa(kushoto) katika picha ya pamoja na ndugu zake kwenye kisomo cha mpendwa mama yake Mwanakondo Mohamed Jumbe kilichofanyika siku ya Jumamosi Novemba 16, 2014 jijini New Yeork jimbo la New York nchini Marekani.Watanzania wa New York wakijumuika pamoja na Latifa kwenye kisomo cha mpendwa mama yake Mwanakondo Mohamed Jumbe kilichofannyika siku ya Jumamosi Novemba 16, 2014 NYC, New York nchini Marekani.Ndugu, jamaa na marafiki wa familia wakiwa katika picha ya pamojaKwa picha zaidi bofya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani