Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TANGULIA KWA AMANI SHEIKH OMAR ALHADY ULIYEDUMU SIKU 10 TU MADARAKANI!


Sheikh Omar Alhady
Mwenyekiti mpya wa Villasquad, Sheikh Omar Alhady amefariki dunia juzi katika hospital ya Taifa ya Muhimbili akisumbuliwa na tatizo la figo.Rais mstaafu wa awamu ya pili, Alhaj Ally Hassan Mwinyi aliongoza mazishi yaliyofanyika jana jijini Dar es salaam.Sheikh omary alichaguliwa kuwa Mwenyekiti wa klabu katika mkutano mkuu wa wanachama uliofanyika mwezi huu tarehe 17 na amedumu kwa siku kumi tu (10) tangu achaguliwe.Rais mstaafu wa awamu ya pili, Allu Hassan Mwinyi...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Tangulia Mandela, fikra zako zitaishi kwa wanyonye

WIKI iliyopita Afrika na dunia kwa ujumla ilipokea kwa mshituko taarifa za kifo cha rais wa kwanza mweusi wa Afrika Kusini, shujaa wa mapambano dhidi ya ubaguzi wa rangi, Nelson...

 

10 years ago

Michuzi

Maalim Seif Sharif Hamad aongoza maziko ya sheikh Alawy bin Omar bin Salim Baalawy, Pemba

 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akielekea viwanja vya Ole Kanambe kwa ajili ya kushiriki sala ya aliyekuwa Sheikh maarufu wa Ole marehemu sheikh Alawy bin Omar bin Salim Baalawy, aliyefariki jana usiku. Mamia ya waombolezaji kisiwani Pemba wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa aliyekuwa sheikh maarufu wa Ole Kanambe marehemu sheikh Alawy bin Omar bin Salim Baalawy, aliyefariki jana usiku. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad,...

 

11 years ago

GPL

SIKU RAIS WA ZANZIBAR ALIPONG’OLEWA MADARAKANI

Sheikh Aboud Jumbe Mwinyi, Mwaka 1984, Rais wa Zanzibar, Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, na Makamo wa Pili wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Sheikh Aboud Jumbe Mwinyi, aling’olewa madarakani baada ya kulazimishwa kujiuzulu katika Mkutano Mkuu wa CCM Dodoma akishutumiwa kutaka kuvunja Muungano. Kitendo hiki kimekuwa kikichukuliwa na Wazanzibari kama udhalilishaji mkubwa kwa nchi na heshima yao na msimamo wa...

 

11 years ago

GPL

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU KUVUNJWA KABURI LA SHEIKH YAHYA HUSSEIN NA SHEIKH KASIM

Alhajj Maalim Hassan Yahya Hussein. Ndugu Wanahabari, Assalam Aleykum Kama mnavyojua kwamba kumetokea tukio la kusikitisha  la kuvunjwa kwa Makaburi ya Masheikh Wetu, wapendwa wetu,  wazazi wetu na viongozi wetu wa Dini  ya Kiisalam, Marehemu Sheikh Yahya Hussein Na Marehemu Sheikh Kassim Bin Juma, Usiku wa kuamkia tarehe 10/4/2012 katika viwanja vya Makaburi ya Tambaza Jirani na Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Tukio...

 

9 years ago

Michuzi

MEGATRADE INVESTMENT LTD YA JIJINI ARUSHA YATOA SIKU KUU KWA WATOTO WA KITUO CHA AMANI CENTER

Watoto waishio katika mazingira magumu wanaolelewa katika kituo cha Amani Center wakifurahia zawadi zilizotolewa na kampuni ya Megatrade kwa ajili ya siku kuu za Christmas na Mwaka mpya.Meneja mauzo wa kam-puni ya Megatrade Investment ya jijini Arusha,Edmund Rutaraka akiwa na wafanyakazi wenzake pamoja na wafanyakazi katika kituo cha kulelea watoto waishio katika mazingira mag4umu cha Aman Center wakati alipofika kituoni hapo kukabidhi zawadi kwa ajili ya siku kuu za Christmas na Mwaka...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE AMETUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KWA WAISLAMU WOTE NA BAKWATA KUFUATIA KIFO CHA SHEIKH MKUU WA TANZANIA MUFTI SHEIKH ISSA BIN SHAABAN SIMBA


THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIADIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
Telephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: ikulucommpress@googlemail.comWebsite : www.ikulu.go.tz               Fax: 255-22-2113425

PRESIDENT’S OFFICE,      STATE HOUSE,               1 BARACK OBAMA ROAD,   11400 DAR ES SALAAM.Tanzania.  TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais Jakaya Mrisho Kikwete ametuma salamu za rambirambi kwa Waislamu wote nchini na Baraza Kuu la Waislamu Tanzania  (BAKWATA)) kufuatia kifo...

 

9 years ago

Dewji Blog

Kumbukumbu ya Marehemu Sheikh Ali Mzee Comorian kufanyika leo mtaa wa Simba na Amani, Kariakoo, Dar es salaam

unnamed (7)
Hauli (Kumbukumbu) ya Marehemu Sheikh Ali Mzee Comorian (pichani) aliyefariki dunia mwaka mmoja uliopita itafanyika Mtaa wa Amani na Simba, Kariakoo,  jijini Dar es salaam mara baada ya Swalatul Ishai Zawiyan siku ya leo Desemba 30. 

Familia ya marehemu inawaalika ndugu, jamaa, marafiki na majirani popote pale walipo kuhudhuria shughuli hii,  kumkumbuka na kumuenzi Sheikh Comorian, aliyekuwa mwanazuoni nguli na mwalimu wa wengi.

Inna lillahi wa inna ilayhi raji’un

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani