Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UCHAGUZI MKUU NA AMANI YA TANZANIA - SHEIKH SULEIMAN KILEMILE

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

MAZIKO YA SHEIKH KILEMILE YATUFANYE TUJITAFAKARI THAMANI YETU KWA BINADAMU WENGINE

Charles James, Michuzi TVNILIITAZAMA jana jioni, nikaitazama tena usiku, kisha nikaitazama mara nyingi mfululizo. Sijachoka kuitazama hata leo nimeamka naitazama tena. Nadhani nitaitazama mara nyingi kwa muda mrefu.
Wakati nikiitazama machozi yalikua yakinitoka. Imani yangu ilikua ikisulubika, nikijitafakari kama mimi ni binadamu mwenye thamani mbele ya wanadamu wengi. 
Video niliyokua naitazama ni ya Maziko ya mmoja wa Masheikh mashuhuri na Mwanazuoni nguli wa Dini ya Kiislamu, Sheikh...

 

9 years ago

Vijimambo

SARAH K KUPAMBA TAMASHA LA KUOMBEA AMANI UCHAGUZI MKUU TANZANIA

Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Tamasha la kuombea Amani Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25 Alex Msama akifafanua jambo wakati wa mkutano wa waandishi wa habari jijini Dar es Salaam. Kulia ni Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu wa Makanisa ya Kipentekoste Tanzania, Askofu David Mwasota.(Picha na Francis Dande)Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu wa Makanisa ya Kipentekoste Tanzania, Askofu David Mwasota akifafanua jambo.
Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Tamasha la Amani, Alex Msama akifafanua...

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete aomboleza kifo cha Sheikh Mkuu wa Tanzania Mufti Sheikh Issa Bin Shaaban Simba

Rais-Kikwete-na-Sheikh-Simba-620x328

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mkono na marehemu Sheikh Mkuu wa Tanzania Mufti Sheikh Issa Bin Shaaban Simba (kushoto) enzi za uhai wake.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete ametuma salamu za rambirambi kwa Waislamu wote nchini na Baraza Kuu la Waislamu Tanzania  (BAKWATA)) kufuatia kifo cha Sheikh Mkuu wa Tanzania  Mufti Sheikh  Issa Bin Shaaban Simba.

Marehemu Mufti amefariki  leo 15/6/2015 asubuhi katika hospitali ya TMJ – DSM alipokuwa amelazwa akisumbuliwa na ugonjwa wa sukari na shinikizo...

 

9 years ago

Vijimambo

GLOBAL PEACE FOUNDATION, TAWI LA TANZANIA KUHAMASISHA AMANI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU

 Viongozi mbalimbali wakiwa katika uzinduzi huo.

Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Global Peace Foundation Tawi la Tanzania (GPFTZ), Martha Nghambi (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana  wakati wa uzinduzi wa kampeni ya kuhamasisha amani nchini Tanzania katka kipindi hiki  kuelekea uchaguzi mkuu. Kulia ni Mkurugenzi wa Baraza la Taasisi ya Viongozi wa Dini Tanzania (IRCPT), Mchungaji Thomas Goda na kushoto ni Ofisa Utawala wa GPFTZ, Hilda Ngaja.

 

10 years ago

Michuzi

RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE AMETUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KWA WAISLAMU WOTE NA BAKWATA KUFUATIA KIFO CHA SHEIKH MKUU WA TANZANIA MUFTI SHEIKH ISSA BIN SHAABAN SIMBA


THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIADIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
Telephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: ikulucommpress@googlemail.comWebsite : www.ikulu.go.tz               Fax: 255-22-2113425

PRESIDENT’S OFFICE,      STATE HOUSE,               1 BARACK OBAMA ROAD,   11400 DAR ES SALAAM.Tanzania.  TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais Jakaya Mrisho Kikwete ametuma salamu za rambirambi kwa Waislamu wote nchini na Baraza Kuu la Waislamu Tanzania  (BAKWATA)) kufuatia kifo...

 

9 years ago

Vijimambo

MKUU WA MKOA WA DODOMA AWATAKA VIONGOZI WA DINI KUSISITIZA AMANI NA UTULIVU WAKATI WA UCHAGUZI MKUU OKTOBA 25

 Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Chiku Gallawa akifungua Mkutano wa viongozi wa dini mkoani Dodoma uliojadili masuala ya amani na utulivu wakati wa  uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 25 mwaka huu.Picha na John Banda Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma SACP David Misime akifafanua jinsi jeshi la polisi Dodoma lilivyojipanga kusimamia amani na utulivu wakati wa uchaguzi mkuu utakaofanyika oktoba 25 mwaka huu kwenye kikao cha viongozi wa dini kilichoitishwa na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma.
  Viongozi wa dini...

 

10 years ago

Dewji Blog

VIDEO Sheikh Sharifu: Kiongozi Fisadi, Mla Rushwa na atakaetumia shiriki kutopita Uchaguzi Mkuu 2015

Shekeh Sharifu alizungumza na Waandishi wa Habari Juu ya Swala zima la Uchaguzi Mkuu 2015 na kusema kuwa Mwaka huu Kiongozi atatoka kwa Mungu Kiongozi Fisadi, Mla Rushwa na atakae Tumia Shiriki hatopita katika Uchaguzi Huu.

Sharifu amewataka viongozi wote wanaotaka kugombea basi waende wakaombewe wamegungua zoezi maalumu kuhusu maombi ya Viongozi ambao watagombea Mwaka Huu, Na kusema kuwa kiongozi yeyote ambaye atatumia shiriki hatokaa madarakani atapata ajili kutokana na mwaka huu...

 

10 years ago

Michuzi

CHADEMA WAMLILIA Mufti Mkuu wa Tanzania Tanzania, Sheikh Issa Shaaban bin Simba

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepokea kwa masikitiko na majonzi makubwa taarifa za msiba wa Mufti Mkuu wa Tanzania Tanzania, Sheikh Issa Shaaban bin Simba, Kiongozi Mkuu wa Baraza la Waislamu Tanzania (BAKWATA) kilichotokea asubuhi ya leo kwa maradhi ya sukari na shinikizo la moyo.Akitoa salaam za pole na rambirambi kwa waumini wa madhehebu ya Kiislamu na Watanzania wote kwa ujumla baada ya kupata taarifa za msiba huo, Mwenyekiti wa CHADEMA (T), Freeman Mbowe amesema kuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani