Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tanzania imesalia na wagonjwa 66 kwa mujibu wa serikali

Tanzania yatangaza kusalia na wagonjwa 66, hata baada ya kusema kuwa ugonjwa huo umekabiliwa

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

DIAMONDIAKABIDHI KWA SERIKALI HOTELI YAKE ITUMIKE KUHUDUMIA WAGONJWA WA CORONA

Staa wa muziki nchini Nasibu Abdul maarufu kama Diamond Platnumz  ametoa ruhusa kwa serikali kuitumia hoteli yake mpya aliyoinunua kama hospitali ya kuhudumia wagonjwa wa corona au kama karantini.
Diamond amesema hayo leo ikiwa ni siku mbili baada kutangaza kuwalipia nyumba watu 500 ili kuondokana na adha ya kodi katika kipindi hiki cha maambukizi ya ugonjwa wa covid-19.
“Misukumo ya kusaidia watu, imetokana na malezi niliyolelewa, maisha niliyotokea na historia yangu ya nyuma. Nikikumbuka...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Matunzo na maslahi ya watoto kwa mujibu wa sheria II

WIKI iliyopita tuliishia sehemu inayoeleza mahakama itatumia vigezo gani katika kuthibisha kuwa ni mzazi wa mtoto husika. Sasa endelea…    JAMBO la kwanza  kama kuna ndoa yoyote ilifanyika kulingana na Sheria...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Matunzo na maslahi ya watoto kwa mujibu wa sheria

KIHISTORIA, Tanzania ilikuwa ni nchi ya kwanza katika ukanda wa Afrika Mashariki kufanya utafiti juu ya hali ya haki na ustawi wa mtoto mnamo mwaka 1988. Hii ilikuwa ni mwaka...

 

9 years ago

Mwananchi

Siasa za vyama ziendeshwe kwa mujibu wa sheria

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amekaririwa na vyombo vya habari na mitandao ya kijamii akisema kwamba wanasiasa walioshindwa kwenye Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, hawaruhusiwi kuitisha mikutano ya hadhara kwa ajili ya kuwashukuru wananchi kwa kuwa wanaweza kuvuruga shughuli za maendeleo.

 

10 years ago

Mwananchi

Tanzania yashika nafasi ya sita kwa wagonjwa wengi wa TB Afrika

Maambukizi ya Ugonjwa wa Kifua Kikuu (TB) yameendelea kushika kasi nchini ambapo Tanzania inatajwa kuwa ni nchi ya 22 duniani kwa kuwa na wagonjwa wengi wa TB huku ikishika nafasi ya sita kwa kuwa na wagonjwa wengi wa TB barani Afrika.

 

10 years ago

Habarileo

Makutupora JKT yaivisha 1, 555 kwa mujibu wa sheria

VIJANA wanaohitimu mafunzo ya awali ya kijeshi wametakiwa kutorubuniwa na makundi yanayotaka kuwagawa Watanzania.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Idadi ya wagonjwa Tanzania yafika 147 baada ya wagonjwa 53 zaidi kukutwa na virusi hivyo

Tanzania imethibtisha wagonjwa wapya 53 wa virusi vya corona nchini humo hatua inayoongeza idadi ya watu walioathirika na ugonjwa huo kufikia watu 147

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani