Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TANZANIA, JAPAN KUSHIRIKIANA SEKTA YA NISHATI

Na Veronica Simba  Wizara ya Nishati na Madini inapanga kushirikiana na Kampuni ya Mitsubishi Hitachi Power System ya Japan katika kuendeleza sekta ya nishati nchini. Kamishna Msaidizi wa Umeme wa Wizara, Mhandisi Innocent Luoga aliyasema hayo mapema leo baada ya kukutana na uongozi wa juu wa kampuni hiyo, Makao Makuu ya Wizara jijini Dar es Salaam. Mhandisi Luoga alisema katika kikao hicho, Ujumbe wa kampuni ya Mitsubishi Hitachi Power Systems Ltd uliwasilisha mapendekezo ya matumizi ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

TANZANIA KUSHIRIKIANA NA UJERUMANI KUKABILIANA NA CHANGAMOTO ZINAZOIKABILI SEKTA YA UHIFADHI WA MALIASILIA NCHINI


Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla amesema kuwa Tanzania itaendelea kushirikiana na Ujerumani katika kukabiliana na changamoto mbalimbali zinazoikabili sekta ya uhifadhi wa maliasili hapa nchini kwa lengo la kuiimarisha na kuiendeleza sekta hiyo.

Dkt. Kigwangalla ameyasema hayo wakati wa ziara yake ya kikazi ya kukagua miradi ya uhifadhi inayofadhiliwa na serikali ya Ujerumani katika Hifadhi ya Taifa Nyerere - Selous.

Akiwa ameambatana na Mwakilishi wa Kansela wa...

 

9 years ago

Mwananchi

Serikali, sekta binafsi zatakiwa kushirikiana

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Ofisi ya Rais Utekelezaji wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN), Omari Issa amesema kuna umuhimu wa kuongeza ushirikiano baina ya Serikali na sekta binafsi ili kukuza kampuni kubwa zenye ufanisi.

 

11 years ago

Mwananchi

Sekta ya Nishati mwiba mchungu

>Sekta ya nishati imebainika kuweka historia mbaya nchini katika kipindi cha zaidi ya miaka 20 ikisababisha mitikisiko katika Serikali, kuyumbisha uchumi na kuwang’oa mawaziri zaidi ya watatu na watendaji mbalimbali wa Serikali, taasisi na mashirika yake.

 

10 years ago

Michuzi

Ubalozi Wa Tanzania Japan Waipaisha Kahawa Kilimanjaro Kwenye Treini Ziendazo Kasi Japan

Kahawa ya Tanzania imekuwa kivutio kikubwa kufuatia ushirikiano wa Ubalozi wa Tanzania Japan na Kampuni binafsi ya M.M. (wauzaji wakubwa wa kahawa ya Kilimanjaro Japan) kuandaa “Special Premium kilimanjaro Coffee Brand ” na kuingia makubaliano na Shirika kongwe la treini ziendazo kasi (Bullet Train) la Tokaido JR Shinkansen. Kahawa hiyo imekuwa kiburudisho kikubwa kwa wasafiri wote wanaotumia usafiri huo ambao ni maarufu sana Japan katika miji mbalimbali. Kwa watumiaji wa usafiri huo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Serikali kuboresha uwekezaji sekta ya nishati

SERIKALI imekusudia kuweka mazingira mazuri ya kuvutia wawekezaji katika sekta ya nishati zikiwamo kampuni zake. Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dk. Charles Kitwanga, alitoa kauli hiyo bungeni jana alipokuwa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wadau wa sekta ya Bima nchini waaswa kushirikiana na TRA kutekeleza sheria mpya ya kodi

05

Naibu Kamishna wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Lusekelo Mwaseba akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kufungua semina ya wadau wa bima kuhusu sheria mpya ya kodi ya mwaka 2014 ambayo imeanza kutumika Julai Mosi mwaka huu.(Picha na Eleuteri Mangi- MAELEZO).

Na Eleuteri Mangi- MAELEZO

Wadau wa sekta ya Bima nchini wameaswa kushirikiana na Serikali kutekeleza sheria mpya ya kodi ya mwaka 2014 ili waweze kutoa huduma kwa jamii yenye tija kwa wakati na kulipa kodi stahiki.

Kauli...

 

10 years ago

Vijimambo

Wizara za Kenya, Zambia, Uganda na Rwanda zafanya mkutano wa kuimarisha sekta ya nishati na miundo msingi katika kanda

NAIROBI, Kenya, March 6, 2015/ -- Ujumbe wa mawaziri na viongozi wakuu kutoka nchi za Afrika Mashariki wameahidi kuunga mkono harakati za kutafutia umwafaka tatizo la upungufu wa nishati. 
Capture.PNGMhe. Joseph Njoroge, Katibu Mkuu, Wizara ya Nishati, Kenya, Mhe. Christopher Yaluma, Waziri wa Nishati na Madini, Zambia, Mhe. Waziri James Musoni, Waziri wa Miundo msingi, Rwanda na Bi. Maria Kiwanuka, Mshauri Mkuu wa Mhe. Rais na afisa katika ofisi ya Wizara ya Fedha nchini Uganda watasaidiwa na viongozi...

 

10 years ago

Michuzi

MH. KITWANGA AKUTANA NA WATENDAJI WA WIZARA YA NISHATI NA MADINI NA TAASISI ZINAZOSIMAMIA SEKTA YA MADINI NCHINI

Naibu Waziri wa Nishati na Madini (Madini), Charles Kitwanga (katikati) akisisitiza jambo wakati wa kikao chake na watendaji wanaosimamia sekta ya madini nchini. Kushoto kwake ni Kamishna wa Madini nchini, Eng. Paul Masanja. Wengine kutoka kulia ni Kaimu Mkuu wa Chuo cha Madini Dodoma (MRI), Mjiolojia Mwandamizi Subian Chiragwile, Kaimu Mkurugenzi wa Migodi na Huduma za Kihandisi kutoka Shirika la Madini la Taifa (STAMICO), Bi.Zena Kongoi, na Meneja Masoko na Uhusiano kwa Umma wa STAMICO,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani