Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tanzania kuunda Jeshi la Amani Afrika

JESHI la Wananchi Tanzania (JWTZ) limeendelea kung’ara kimataifa, ambapo jana jeshi hilo lilitamkwa kuwa miongoni mwa majeshi ya nchi za Afrika, yatakayounda Jeshi la Kulinda Amani Afrika.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

TANZANIA YAONGOZA MJADALA WA WAZI (OPEN SESSION) WA BARAZA LA AMANI NA USALAMA LA UMOJA WA AFRIKA KUHUSU WATOTO NA VITA BARANI AFRIKA

Mhe. Naimi Aziz, Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia na Mwakilishi wa kudumu katika Umoja wa Afrika, akiongoza mjadala huo ambao ulihudhuriwa pia na Bibi. Leila Zerrougui ( wa tatu kushoto), Mwakilishi Maalamu ( Special Representative) wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya watoto na Vita, na Balozi Smail Chergui (wa nne kushoto), Kamishina wa Amani na Usalama wa Umoja wa Afrika. Aliopo nyuma ya Mhe. Balozi Naimi Aziz, ni Bi. Suma Mwakyusa, Afisa Ubalozi Mwandamizi. Bw....

 

10 years ago

Mwananchi

Jeshi la Polisi liendelee kuitetea, kuilinda amani ya Tanzania

Mwaka huu mpya wa 2015 Watanzania waishio jijini Dar es Salaam  wameuanza vibaya kwa kutikiswa na kikundi cha Panya Road. Wataalamu wanasema  mwanzo mbaya huashiria mwisho mbaya.  Januari Mosi ya kila mwaka duniani husherehekewa Siku ya Amani Dunia. Pia, amani hii ni ile inayotoka kwa Mungu.

 

11 years ago

Michuzi

TANZANIA YAONGOZA MJADALA WA WAZI (OPEN SESSION) WA BARAZA LA AMANI NA USALAMA LA UMOJA WA AFRIKA KUHUSU WATOTO NA VITA BARANI AFRIKA (CHILDREN AND ARMED CONFLICTS IN AFRICA) JIJINI ADDIS ABABA

 Mhe. Naimi Aziz, Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia na Mwakilishi wa kudumu  katika Umoja wa Afrika (katikati), akiongoza mjadala huo ambao ulihudhuriwa pia na Bibi. Leila Zerrougui ( wa tatu kushoto), Mwakilishi Maalamu ( Special Representative) wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya watoto na Vita, na Balozi Smail Chergui (wa nne kushoto), Kamishina wa Amani na Usalama wa Umoja wa Afrika. Aliopo nyuma ya Mhe. Balozi Naimi Aziz, ni Bi. Suma Mwakyusa, Afisa Ubalozi...

 

5 years ago

Michuzi

BALOZI HESS: TANZANIA NI NGOME YA ULINZI WA AMANI NA USALAMA AFRIKA

Tanzania imetajwa kuwa kuwa ngome ya Amani Barani Afrika kwa kuwafanya raia wake na taifa kwa ujumla kuishi kwa amani na kuendelea kutoa misaada ya Ulinzi wa Usalama katika nchi jirani zinazokumbwa na machafuko ya kisiasa.

Hayo yamesemwa leo Jijini Dar es Salaam na Balozi mteule wa Jamhuri ya Shirikisho la Ujerumani, Regina Hess wakati wa hafla ya uzinduzi wa karakana kuu ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) iliyojengwa na Serikali ya Ujerumani kwa gharama ya Tsh. Bilioni 8.5....

 

11 years ago

Michuzi

BARAZA LA AMANI NA USALAMA LA UMOJA WA AFRIKA LAADHIMISHA MIAKA 10 KUANZISHWA KWAKE CHINI YA UWENYEKITI WA TANZANIA

Mhe. Balozi Naimi Aziz (wa tatu kulia) akiongoza tukio la kuwasha tochi kama ishara ya mafanikio na utekelezaji wa Masharti ya Baraza hilo katika kuleta ufumbuzi wa migogoro barani Afrika. Kushoto kwa Mhe. Naimi Aziz ni Mhe. Erastos Mwencha, Makamu Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika na kulia ni Balozi Smail Chergui, Kamishna wa Amani na Usalama wa Umoja wa Afrika. Mhe. Naimia Aziz, Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia na Mwakilishi wa kudumu katika Umoja wa Afrika, akitoa hutuba ya...

 

11 years ago

Michuzi

TANZANIA YACHUKUA UWENYEKITI WA BARAZA LA AMANI NA USALAMA LA UMOJA WA AFRIKA KWA MWEZI MEI 2014

Mhe. Naimi Aziz, Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia na mwakilishi wa kudumu katika Umoja wa Afrika akiongoza mkutano wa Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika uliofanyika tarehe 2 Mei 2014 mjini Addis Ababa, Makao Makuu ya Umoja huo. Tanzania itakuwa mwenyekiti wa chombo hicho muhimu kinachoshughulikia Amani na Usalama barani Afrika kwa kipindi cha Mwezi Mei 2014. Katika kipindi cha Uwenyekiti wake, Tanzania pamoja na mambo mengine itaongoza Baraza hilo katika kujadili na kutafuta...

 

11 years ago

BBCSwahili

Vugu vugu la Muslim Brotherhood yadaiwa kuunda jeshi

Utawala wa Misri umeishutumu kundi la Muslim Brotherhood kwa kuunda jeshi lake ili kushambulia wanajeshi wa serikali

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AHUDHURIA MKUTANO WA AMANI NA USALAMA WA BARAZA LA AMANI NA USALAMA LA UMOJA WA AFRIKA JIJNI NAIROBI

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Jomo Kenzatta jijini Nairobi leo kujiunga na viongozi wengine wanaounda Baraza la Amani na Usalama la nchi za umoja wa Afrika (AU) kwenye mkutano wa kuzungumzia masuala ya tioshio la ugaidi linalolikabili bara hilo na dunia kwa ujumla. Inspekta Jenerali wa Polisi Ernest Mangu na Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange wakielekea kwenye ukumbi wa mikutano katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Jomo Kenzatta...

 

11 years ago

Michuzi

MABALOZI WA AFRIKA, KARIBIANI NA PASIFIKI (ACP) WAIDHINISHA EURO MILIONI 350 MILIONI ZA KUSAIDIA KULINDA AMANI AFRIKA

Balozi wa Tanzania Jumuiya ya Ulaya na Mwenyekiti wa Kamati ya Mabalozi wa Afrika, Karibiani na Pasifiki (ACP) Dr. Diodorus Buberwa Kamala akiongoza kikao cha Kamati ya Mabalozi wa ACP leo Brussels. Kikao hicho kimeidhinisha Euro 350 milioni za kusaidia utekelezaji wa shughuli za kulinda amani Afrika zitakazotelewa na Jumuiya ya Ulaya kupitia Mfuko wa Maendeleo wa Ulaya (EDF).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani