Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TANZANIA MJUMBE WA BODI TENDAJI UNDP, UNFPA NA UNOPS

   Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Uwakilishi wake wa Kudumu katika Umoja wa Mataifa,  imeingia katika Ujumbe wa Bodi  Tendaji ya Mashirika na Mifuko  ya Umoja wa  Mataifa inayosimamia na kuratibu masuala ya  Maendeleo,  Tanzania ni  miongoni mwa nchi 35 zinaounda  Bodi hiyo.  Pamoja na kuwa mjumbe,  Tanzania pia ni Makamu  Rais wa Bodi ikiwakilisha nchi za Afrika. Tanzania itakuwa mjumbe wa Bodi  kwa kipindi cha 2014 hadi 2016. Pichani   baadhi ya  Maafisa wa Uwakilishi wa Kudumu,...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Balaa jingine lamkumba mjumbe wa bodi TPA

Siku chache baada ya Rais John Magufuli kuvunja Bodi ya Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari nchini (TPA) kwa tuhuma za kushindwa kusimamia ipasayo shughuli za taasisi hiyo, mmoja wa wajumbe wake, Donata Mgassa amevuliwa uongozi wa kitengo cha manunuzi cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM).

 

10 years ago

Michuzi

UTEUZI WA MWENYEKITI NA WAJUMBE WA BODI YA WAKURUGENZI YA BODI YA KOROSHO TANZANIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, kwa mamlaka aliyopewa chini  ya kifungu cha 4(1) cha Sheria ya Korosho ya mwaka 2009  (Sura ya 203 ya Sheria za Tanzania), amemteua Mhe. Anna  Margareth Abdallah (MB) kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Bodi ya Korosho. 
Aidha, Mhe. Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika amewateua wafuatao kuwa wajumbe wa Bodi hiyo ya Wakurugenzi kwa mujibu wa kifungu  cha 4(1) cha Sheria ya Korosho ya mwaka 2009  (Sura ya 203 ya...

 

10 years ago

Michuzi

Vijana Tanzania kunufaika na siku ya idadi ya watu - UNFPA


Vijana kutoka Tanzania.(Picha ya UNFPA/TanzaniaTarehe 18 Novemba kila mwaka ni siku ya kimataifa ya idadi ya watu. Siku hii hutumiwa kufahamu idadi ya watu duniani na  huku takwimu hizo zikitumiwa kupanga  mikakati ya ustawi wa watu  duniani kote. Maudhui ya siku hiyo mwaka huu ni ustawi wa vijana kundi ambalo ni nguvu kazi katika jamii.Shirika la idadi ya watu duniani UNFPA ndilo linaloratibu kazi hiyo ambapo nchini Tanzania shirika hilo hilo linatarajia kuitumia siku hiyo kuwanufaisha...

 

10 years ago

Vijimambo

FESTULA YAWATESA AKINAMAMA 3,000 TANZANIA KILA MWAKA - UNFPA

Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Idadi ya Watu Duniani (UNFPA), Dk. Natalia Kanem wa (kwanza kulia) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuzungumzia Maadhimisho ya Siku ya kupinga ugonjwa wa Fistula Duniani. Wa pili kushoto ni Naibu Mkurugenzi wa Hospitali ya CCBRT Tanzania, Brenda Msangi. Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Idadi ya Watu Duniani (UNFPA), Dk. Natalia Kanem wa (kwanza kulia) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuzungumzia Maadhimisho ya Siku ya kupinga ugonjwa wa Fistula Duniani. Wa pili kushoto ni Naibu Mkurugenzi wa Hospitali ya CCBRT Tanzania, Brenda MsangiNaibu Mkurugenzi wa Hospitali ya CCBRT Tanzania, Brenda Msangi akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuzungumzia Maadhimisho ya Siku ya kupinga ugonjwa wa Fistula Duniani. Wa kwanza kulia ni Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Idadi ya Watu Duniani (UNFPA), Dk. Natalia Kanem. Naibu Mkurugenzi wa Hospitali ya CCBRT Tanzania, Brenda Msangi akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuzungumzia Maadhimisho ya Siku ya kupinga...

 

10 years ago

Vijimambo

(UNFPA) TANZANIA NA OFISI YA RAIS, TUME YA MIPANGO WAENDESHA WARSHA

Mgeni Rasmi Bw. Ibrahim D. Kalengo, Mtakwimu Mkuu, Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango ambae anamwakilisha Katibu Mtendaji, Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango, akitoa neno kwa ajili ya warsha hiyo kufunguliwa rasmi.
Mwezeshaji Dr. Deograsias P. Mushi ambae pia ni Mchumi kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na Mtafiti wa Ecom Research Group akishusha nondo kwa wanawarsha juu ya mambo mbalimbali yanayohusu ujumuishaji wa masuala ya vijana katika mipango ya maendeleo ya mkoa na wilaya.


Shirika la Umoja wa...

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WAPILI WA RAIS WA ZANZIBAR BALOZI SEIF ALI IDDI AJUMUIKA KATIKAMAAZISHI YA MJUMBE WA BODI YA TUME YA UTUMISHI SERIKALINI BIBI FATMA MOH’D OTHMAN

  Marehemu Bibi Fatma Moh’d Othman Mjumbe wa Bodi yaUtumishi Serikalini ambae pia ni Mwenyekiti wa Wazazi Wilaya ya Mkoani
Pemba aliyefariki dunia Hospitali ya Muhimbili na kuzikwa Kijijinikwao Kiwani Mkoa wa Kusini Pemba.
 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar akijumuika pamoja na waumini wa Dini ya Kiislamu katika kumsalia Bibi Fatma Moh’d Othman aliyefariki Da es salaam juzi na kuzikwa Kijijini kwao Kiwani Wilaya na Mkoani Pemba.
Balozi Seif pamoja na baadhi ya viongozi wakiwasili makaburini...

 

10 years ago

Michuzi

UNFPA-TANZANIA KWA KUSHIRIKIANA NA TUME YA MIPANGO YAENDESHA WARSHA MKOA WA MARA

Shirika la Umoja wa Mataifa la Idadi ya Watu (UNFPA) Tanzania kwa kushirikiana na Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango, wameandaa warsha kwa ajili ya kuhamasisha na kuwajengea uwezo watumishi wa Mkoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa kuhusu kujumuisha masuala ya vijana katika mipango ya Mkoa na wilaya. 
 Warsha hiyo inafanyika katika vituo vya Mwanza na Musoma. Katika kituo cha Musoma warsha inafanyika katika ukumbi wa Afrilux Hotel tarehe 11 na 12 Juni 2015. Kituo hiki kinajumuisha Sekretarieti ya...

 

11 years ago

Sabahi Online

Tanzania, UNDP sign agreement to fight poaching


IPPmedia
Tanzania, UNDP sign agreement to fight poaching
Sabahi Online
Tanzania announced its new anti-poaching strategy during an international conference in Dar es Salaam at the weekend titled "Stopping Wildlife Crime and Advancing Wildlife Conservation: A Call to Action".
Tanzania: Helen Clark - Speech As Guest of Honour At Conference On Stopping ...AllAfrica.com
Tanzania: UNDP chief says community initiatives key to wildlife managementPanapress (subscription)
UNDP: Community involvement...

 

10 years ago

Michuzi

NEW UN RESIDENT COORDINATOR AND UNDP REPRESENTATIVE TO TANZANIA PRESENTS CREDENTIALS

The new  UN Resident Coordinator and UNDP Representative in Tanzania, Mr. Alvaro Rodriguez,  has officially presented his credentials to the Government. The Minister of Foreign Affairs and International Cooperation Mr. Bernard Membe received the credentials at the Ministry today.IMG_9773The new UN Resident Coordinator and UNDP Representative, Mr. Alvaro Rodriguez presents Copies of Credentials to Hon. Bernard K. Membe (MP), Minister for Foreign Affairs and International Cooperation today.IMG_9769 Hon. Membe...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani