Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vijana Tanzania kunufaika na siku ya idadi ya watu - UNFPA


Vijana kutoka Tanzania.(Picha ya UNFPA/TanzaniaTarehe 18 Novemba kila mwaka ni siku ya kimataifa ya idadi ya watu. Siku hii hutumiwa kufahamu idadi ya watu duniani na  huku takwimu hizo zikitumiwa kupanga  mikakati ya ustawi wa watu  duniani kote. Maudhui ya siku hiyo mwaka huu ni ustawi wa vijana kundi ambalo ni nguvu kazi katika jamii.Shirika la idadi ya watu duniani UNFPA ndilo linaloratibu kazi hiyo ambapo nchini Tanzania shirika hilo hilo linatarajia kuitumia siku hiyo kuwanufaisha...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Vijana nchini watakiwa kuzingatia vigezo ili kunufaika na Mikopo ya Mfuko wa Maendeleo ya Vijana (YDF)

Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi Concilia Niyibitanga akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu Mfuko wa Maendeleo ya Vijana leo jijini Dar es Salaam.Kuliani Mkurugenzi Msaidizi wa Maendeleo ya Vijana Dkt. Steven Kissui na kushoto ni Afisa Habari wa Idara ya Habari MAELEZO Bw. Frank Mvungi. Mkurugenzi Msaidizi wa Maendeleo ya Vijana Dkt. Steven Kissui akionyesha Kitabu cha Sera ya Maendeleo ya...

 

10 years ago

Vijimambo

TANZANIA YASHIRIKI KATIKA MKUTANO WA KAMISHENI KUHUDU IDADI YA WATU NA MAENDELEO


Naibu Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Balozi Ramadhan Mwinyi akizungumza wakati wa Mkutano wa 48 wa Kamisheni ya Idadi ya Watu na Maendeleo, Tanzania ni mjumbe wa Kamisheni hii ikiwa ni kati ya nchi 12 kitoka Afrika zikiliwakilisha Bara ya Afrika. pamoja na naye ni Bw. Seif Shaban Mwinyi, Kamishna wa Mipango kutoka Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Bw. Stephen Kiberiti kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii

Sehemu wa Wajumbe kutoka nchi 47 zinazounda ...

 

10 years ago

Michuzi

TANZANIA YASHIRIKI KATIKA MKUTANO WA KAMISHENI KUHUSU IDADI YA WATU NA MAENDELEO

Naibu Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Balozi Ramadhan Mwinyi akizungumza wakati wa Mkutano wa 48 wa Kamisheni ya Idadi ya Watu na Maendeleo, Tanzania ni mjumbe wa Kamisheni hii ikiwa ni kati ya nchi 12 kitoka Afrika zikiliwakilisha Bara ya Afrika. pamoja na naye ni Bw. Seif Shaban Mwinyi, Kamishna wa Mipango kutoka Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Bw. Stephen Kiberiti kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii. Sehemu wa Wajumbe kutoka nchi 47 zinazounda ...

 

10 years ago

Michuzi

TANZANIA NI NCHI YA SITA KWA KUWA NA IDADI KUBWA YA WATU WENYE UGONJWA WA KIFUA KIKUU BARANI AFRIKA

Na Chalila Kibuda, Globu ya Jamii
Utafiti unaonyesha kuwa zaidi ya asilimia 30 ya vifo vya watu walioathirika na Ukimwi vinatokana na Ugomjwa wa Kifua Kukuu na inakadiriwa  kuwa tangu kuanza  kwa ugonjwa wa ukimwi, kati ya asilimia tano (5) hadi 10 ya watu wenye VVU wana ugonjwa wa kifua kikuu  na takribani ya asilimia 40 wanaouguwa  kifua kikuu  wana maambukizo ya VVU.
Hayo yamesemwa leo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii,Dk.Donan Mmbando wakati akitangaza maadhimisho ya siku...

 

11 years ago

Michuzi

TANZANIA MJUMBE WA BODI TENDAJI UNDP, UNFPA NA UNOPS

   Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Uwakilishi wake wa Kudumu katika Umoja wa Mataifa,  imeingia katika Ujumbe wa Bodi  Tendaji ya Mashirika na Mifuko  ya Umoja wa  Mataifa inayosimamia na kuratibu masuala ya  Maendeleo,  Tanzania ni  miongoni mwa nchi 35 zinaounda  Bodi hiyo.  Pamoja na kuwa mjumbe,  Tanzania pia ni Makamu  Rais wa Bodi ikiwakilisha nchi za Afrika. Tanzania itakuwa mjumbe wa Bodi  kwa kipindi cha 2014 hadi 2016. Pichani   baadhi ya  Maafisa wa Uwakilishi wa Kudumu,...

 

5 years ago

Michuzi

VIJANA 20,000 NCHINI KUNUFAIKA NA SOKO LA MATUNDA, WATAKIWA KUTOKATA TAMAA


VIJANA nchini wametakiwa kutokata tamaa ya maisha badala yake wawe wepesi wa kuchangamkia fursa pindi zinapojitokeza na siyo kukaa mitaani na kulalamikia ugumu wa maisha.

Kauli hiyo imetolewa na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi Vijana na Ajira, Mhe Anthony Mavunde wakati wa ufunguzi wa kongamano la vijana wakulima wilayani Butiama, Mara.

Mhe Mavunde amesema zaidi ya vijana 20,000 watanufaika na soko la  mazao ya matunda nchini kote  katika viwanda vilivyopo hapa nchini ikiwemo cha ...

 

10 years ago

Mwananchi

Idadi ya vijana wanaoajiriwa yazidi kuongezeka

Idadi ya vijana wanaoajiriwa katika utumishi wa umma yaongezeka na vijana wengi wamekuwa na mwamko na hamasa ya kupenda kufanya kazi katika utumishi wa umma

 

10 years ago

Vijimambo

(UNFPA) TANZANIA NA OFISI YA RAIS, TUME YA MIPANGO WAENDESHA WARSHA

Mgeni Rasmi Bw. Ibrahim D. Kalengo, Mtakwimu Mkuu, Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango ambae anamwakilisha Katibu Mtendaji, Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango, akitoa neno kwa ajili ya warsha hiyo kufunguliwa rasmi.
Mwezeshaji Dr. Deograsias P. Mushi ambae pia ni Mchumi kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na Mtafiti wa Ecom Research Group akishusha nondo kwa wanawarsha juu ya mambo mbalimbali yanayohusu ujumuishaji wa masuala ya vijana katika mipango ya maendeleo ya mkoa na wilaya.


Shirika la Umoja wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani