Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Balaa jingine lamkumba mjumbe wa bodi TPA

Siku chache baada ya Rais John Magufuli kuvunja Bodi ya Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari nchini (TPA) kwa tuhuma za kushindwa kusimamia ipasayo shughuli za taasisi hiyo, mmoja wa wajumbe wake, Donata Mgassa amevuliwa uongozi wa kitengo cha manunuzi cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM).

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Magufuli aivunja bodi ya bandari, TPA

Magufuli

Rais Dkt John Magufuli ameivunja bodi ya mamlaka ya bandari, TPA.

Magufuli

Uamuzi huo umetangazwa Jumatatu hii na waziri mkuu, Kassim Majaliwa.

Akiongea na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Majaliwa amesema Dkt Magufuli ametengua uteuzi wa mwenyekiti wa bodi ya bandari, Profesa Joseph Msambichaka na Mkurugenzi wa bandari, Awadh Massawe.

Pamoja na hivyo rais pia ametengua uteuzi wa Katibu Mkuu wa wizara ya uchukuzi, Dkt Shaban Mwinjaka atakayepangiwa kazi nyingine.

Hatua hiyo imekuja baada...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Bodi TPA yatoa kali ya mwaka

BODI ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Usimamaizi wa Bandari Tanzania (TPA), imemtaka Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe kusitisha mchakato wa kumpata mtendaji mkuu kutoka nje na badala yake imwache...

 

11 years ago

Michuzi

TANZANIA MJUMBE WA BODI TENDAJI UNDP, UNFPA NA UNOPS

   Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Uwakilishi wake wa Kudumu katika Umoja wa Mataifa,  imeingia katika Ujumbe wa Bodi  Tendaji ya Mashirika na Mifuko  ya Umoja wa  Mataifa inayosimamia na kuratibu masuala ya  Maendeleo,  Tanzania ni  miongoni mwa nchi 35 zinaounda  Bodi hiyo.  Pamoja na kuwa mjumbe,  Tanzania pia ni Makamu  Rais wa Bodi ikiwakilisha nchi za Afrika. Tanzania itakuwa mjumbe wa Bodi  kwa kipindi cha 2014 hadi 2016. Pichani   baadhi ya  Maafisa wa Uwakilishi wa Kudumu,...

 

9 years ago

Michuzi

BREAKING NYUZZZZ......: RAIS MAGUFULI ATENGUA UTEUZI WA KATIBU MKUU WIZARA YA UCHUKUZI, AVUNJA BODI YA MAMLAKA YA BANDARI (TPA) LEO

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli amevunja bodi ya Mamlaka ya Bandari nchini (TPA) pamoja na kutengua uteuzi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Dk. Shaaban Mwinjaka, Mwenyekiti wa Bodi ya Bandari Profesa Joseph Msambichaka pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Bandari, Awadh Massawe.
Kuvunjwa kwa bodi hiyo kunatokana na utendaji mbovu wa Mamlaka hiyo kwa muda mrefu na kitendo cha kutokuchukua hatua katika vyanzo husika.
Akizungumza  na waandishi wa Habari  Ofisini...

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WAPILI WA RAIS WA ZANZIBAR BALOZI SEIF ALI IDDI AJUMUIKA KATIKAMAAZISHI YA MJUMBE WA BODI YA TUME YA UTUMISHI SERIKALINI BIBI FATMA MOH’D OTHMAN

  Marehemu Bibi Fatma Moh’d Othman Mjumbe wa Bodi yaUtumishi Serikalini ambae pia ni Mwenyekiti wa Wazazi Wilaya ya Mkoani
Pemba aliyefariki dunia Hospitali ya Muhimbili na kuzikwa Kijijinikwao Kiwani Mkoa wa Kusini Pemba.
 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar akijumuika pamoja na waumini wa Dini ya Kiislamu katika kumsalia Bibi Fatma Moh’d Othman aliyefariki Da es salaam juzi na kuzikwa Kijijini kwao Kiwani Wilaya na Mkoani Pemba.
Balozi Seif pamoja na baadhi ya viongozi wakiwasili makaburini...

 

10 years ago

Mwananchi

HATUA ZA KINIDHAMU: Dhoruba la Escrow lamkumba Maswi

>Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue amemsimamisha kazi kwa muda, Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Eliakimu Maswi ili kupisha uchunguzi wa tuhuma kuhusu ushiriki wake katika sakata la Akaunti ya Tegeta Escrow.

 

10 years ago

Michuzi

UTEUZI WA MWENYEKITI NA WAJUMBE WA BODI YA WAKURUGENZI YA BODI YA KOROSHO TANZANIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, kwa mamlaka aliyopewa chini  ya kifungu cha 4(1) cha Sheria ya Korosho ya mwaka 2009  (Sura ya 203 ya Sheria za Tanzania), amemteua Mhe. Anna  Margareth Abdallah (MB) kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Bodi ya Korosho. 
Aidha, Mhe. Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika amewateua wafuatao kuwa wajumbe wa Bodi hiyo ya Wakurugenzi kwa mujibu wa kifungu  cha 4(1) cha Sheria ya Korosho ya mwaka 2009  (Sura ya 203 ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani