Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TANZANIA MOVIE TALENTS YAIVA JIJINI DAR ES SALAAM

  KARIBU UCHUKUE FOMU NI BUREEEEEEEEE Baada ya Kumaliza shindano la Tanzania Movie Talents Kwenye Kanda tano za Tanzania yaani Kanda ya Ziwa, Kanda ya Kati, Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Kanda ya Kusini na Kanda ya Kaskazini sasa ni zamu ya kanda ya Pwani ambayo inahusisha Mikoa ya Dar Es Salaam, Morogoro na Mkoa wa Pwani kushiriki kwenye shindano la Kwanza na La aina yake ambalo halijawahi kutokea Afrika Mashariki na Kati likiendeshwa na Kampuni ya Proin Promotions...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Tanzania Movie Talents yaiva jijini Dar

TMF

KARIBU 
UCHUKUE 
FOMU 
NI 
BUREEEEEEEEE










Baada ya Kumaliza shindano la Tanzania Movie Talents Kwenye Kanda tano za Tanzania yaani Kanda ya Ziwa, Kanda ya Kati, Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Kanda ya Kusini na Kanda ya Kaskazini sasa ni zamu ya kanda ya Pwani ambayo inahusisha Mikoa ya Dar Es Salaam, Morogoro na Mkoa wa Pwani kushiriki kwenye shindano la Kwanza na La aina yake ambalo halijawahi kutokea Afrika Mashariki na Kati likiendeshwa na Kampuni ya Proin Promotions...

 

10 years ago

Dewji Blog

10 Bora ya Tanzania Movie Talents (TMT) wavamia studio za Times Fm 100.5 Fm Jijini Dar Es Salaam

Waendeshaji wa Kipindi cha Filamu Monata kinachorushwa na Kituo cha Redio cha TIMES FM 100.5 wakiendelea na majukumu katika studio za kituo hiko cha Redio Kilichopo Kawe Jijini Dar Es Salaam wakati wa Kipindi cha Filamu Monata leo wakati washiriki 10 Bora wa Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) walipotembelea Studio hizo 

Jaji wa Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) na Presenta wa Kipindi cha Filamu Monata cha TIMES FM, 100.5 Dar Es Salaam akiendelea na kipindi wakati washiriki...

 

11 years ago

GPL

SHINDANO LA TANZANIA MOVIE TALENTS LAANZA RASMI LEO JIJINI DAR, WASHINDI WATANO KUTAFUTWA‏

 Msimamizi wa Mashindano ya Tanzania Movie Talents, Bw Tony Akwesa akitoa maelekezo kwa washiriki waliojitokeza kwaajili ya shindano la Tanzania Movie Talents kwa kanda ya Pwani unaoendelea kufanyika katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa, Jijini Dar Es Salaam.
 Baadhi ya washiriki wakiwa kwenye mstari tayari kwa kuchukua fomu za ushiriki wa shindano la Tanzania Movie Talents lililoanza rasmi leo Kwa Kanda ya Pwani.
...

 

11 years ago

Dewji Blog

112 wafanikiwa kuingia kwenye hatua ya pili shindano la Tanzania Movie Talents jijini Mwanza

Majaji wa Shindano la Kusaka la Vipaji vya Uigizaji Tanzania lijulikanalo kama Tanzania Movie Talents wakijadiliana jambo wakati wa Zoezi la kusaka vipaji vya uigizaji kuingia Hatua ya pili kwa washiriki waliofanikiwa kupita kwenye mchujo.Kulia ni Single Mtambalike (Rich Rich), Ivon Chery (Monalisa) na Roy Sarungi.

Washiriki waliofanikiwa kuingia kwenye hatua ya pili wakifanyiwa usaili kwa ajili ya hatua ya pili sasa.

movie talent

Muongozaji wa Mradi wa Shindano la Kusaka Vipaji vya Kuigiza...

 

11 years ago

Michuzi

HATIMAYE WASHINDI WATATU WA MASHINDANO YA KUSAKA VIPAJI VYA UIGIZAJI (TANZANIA MOVIE TALENTS) KWA KANDA YA ZIWA WAPATIKANA LEO JIJINI MWANZA

Janneth Emmanuel (kushoto),  Cresenciah Herman (katikati) na Joshua Wambura Stanslaus ambao ndio washindi wa Shindano la kusaka vipaji vya kuigiza Tanzania lijulikanalo kama Tanzania Movie Talents wakiwa wanaonyesha zawadi zao za pesa taslimu shilingi laki 5 kila mmoja mara baada ya kutangazwa washindi wa Kanda ya Ziwa.

Shindano la Kusaka VIpaji vya Kuigiza Tanzania lijulikanalo kama Tanzania Movie Talents limemalizika leo kanda ya ziwa, Mkoani Mwanza kwa washindi watatu kupatikana na...

 

10 years ago

Michuzi

Shindano la Tanzania Movie talents (TMT)

Majaji wa Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) wakifuatilia Filamu fupi iliyochezwa na baadhi ya washiriki wa Shindano la Tanzania Movie talents (TMT) wakati ilipokua ikionyeshwa kwenye runinga kubwa katika Ukumbi wa Makumbusho. Kutoka Kulia ni Single Mtambalike au Rich Rich katikati ni Vyonne Cherry au Monalisa na Kushoto ni Jaji Mkuu wa Shindano hilo Roy Sarungi. Mahosti wa Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) Joti na Lulu wakiwajibika katika Jukwaa la Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa...

 

10 years ago

GPL

10 BORA SHINDANO LA TANZANIA MOVIE TALENTS (TMT) WAPATIKANA

Majaji wa Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) wakifuatilia Filamu fupi iliyochezwa na baadhi ya washiriki wa Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) wakati ilipokuwa ikionyeshwa kwenye runinga kubwa katika Ukumbi wa Makumbusho. Kutoka Kulia ni Single Mtambalike au Rich Rich katikati ni Vyonne Cherry au Monalisa na Kushoto ni Jaji Mkuu wa Shindano hilo Roy Sarungi.
 Mahosti wa Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT)...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani