Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tanzania mwenyeji wa jukwaa la vitambulisho

Na Aziza Masoud, Dar es Salaam

ZAIDI ya nchi 25  zinakutana nchini katika mkutano wa Jukwaa la Vitambulisho vya Elektroniki Afrika unaotarajia kuanza   Dar es Salaam leo.

Mkutano huo pamoja na mambo mengine utajadili changamoto zilizopo katika masuala ya uandikishaji  na kutafuta njia za kuzitatua.

Mkutano huo wa kwanza kufanyika katika   Afrika unatarajiwa kufunguliwa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,  Mathias Chikawe na kuhudhuriwa na zaidi ya washiriki 300 kutoka nje ya...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Tanzania mwenyeji wa Jukwaa la vijana Afrika na China

Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete anatarajiwa kuzindua Jukwaa la kimataifa la  vijana kutoka nchi 43 za Africa na China lenye  lengo la kudumisha urafiki ,ushirikiano wa kimaendeleo  katika Nyanja za kiuchumi ,kijamii na kisiasa.

 

10 years ago

Michuzi

Tanzania kuwa mwenyeji wa mkutano wa wafanyabiashara kutoka Tanzania na nchi za Ghuba (GCC)

 Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Oman Ali Ahmed Saleh akieleza umuhimu wa mkutano wa kimataifa wa wafanyabiashara kutoka Tanzania  na nchi za Ghuba (GCC) utakafanyika kwa siku mbili kuanzia Januari 15 hadi 16, 2015 jijini Dar Es Salaam. Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanyabiashara kutoka Oman na nchi za Ghuba (GCC)   Saeed Saleh Saeed Al Kiyumi (katikati) akizungumza na baadhi ya wajumbe wa mkutano wa kimataifa wa wafanyabiashara kutoka Tanzania  na nchi za Ghuba...

 

10 years ago

BBCSwahili

Tanzania mwenyeji mchezo wa kriketi

Tanzania sasa itakuwa mwenyeji wa michuano ya Afrika ya kriketi daraja la 1 kwa wanaume chini ya miaka 19

 

10 years ago

BBCSwahili

Tanzania mwenyeji Kagame Cup

Tanzania imekubali kuwa wenyeji wa michuano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati ngazi ya vilabu - Kagame Cup.

 

10 years ago

BBCSwahili

Tanzania mwenyeji mpira wa ufukweni

Tanzania imechaguliwa na shirikisho la mpira wa wavu Afrika kuwa wenyeji wa michuano ya kanda ya Tano ya mpira wa wavu ufukweni.

 

10 years ago

Habarileo

Tanzania mwenyeji utumishi wa umma Madola

TANZANIA inatarajiwa kuwa mwenyeji wa mkutano wa 12 wa wakuu wa utumishi wa Umma wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Madola.

 

11 years ago

Michuzi

Tanzania kuwa mwenyeji wa mashindano ya karate.

Na Rose Masaka-MAELEZO Umoja wa Wapiganaji wa Sanaa ya Mapigano Duniani (UPAM) unaandaa shindano la kimataifa la wapiganaji ambalo linatarajiwa kufanyika nchini kati ya Mwezi Desemba mwaka huu na mwanzoni mwa mwaka ujao kutokana na ruhusa itakayotolewa na Serikali kwa mamlaka zinazohusika. Kauli hiyo imetolewa leo na Rais wa UPAM Prof. Maurizi Mardina alipokuwa akiongea na waandishi wa habari jijini Dar es salaam Profesa Mardina amesema kuwa mchezo wa kupigana ni mchezo mzuri ambao unahitaji...

 

10 years ago

GPL

TANZANIA MWENYEJI MKUTANO MKUU WA ATAF

 Mkurugenzi wa Mawasiliano, Bi Fazila (wa kwanza kushoto) akifuatiwa na Kamishna Mkuu wa TRA, Rished Bade,  na Mkurugenzi wa Huduma na Elimu, Richard Kayombo wakiwa meza kuu. Mkurugenzi wa Mawasiliano wa ATAF, Bi Fazila akiwa na Kamishina Mkuu wa TRA, Rished Bade.…

 

10 years ago

Michuzi

Tanzania mwenyeji wa mkutano wa kimataifa wa Wahasibu

Mhasibu Mkuu wa Serikali,Mwanaidi Mtanda akiongea na waandishi wa habari jana jijini Dar es salaam kuhusiana na mkutano wa 22 wa kimataifa wa Chama cha Wahasibu Wakuu wa Serikali wa nchi za Mashariki na Kusini mwa Afrika (ESAAG) utakaofanyika nchini kuanzia Machi 09, hadi 12 mwaka 2015.Mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi ya mkutano wa 22 wa kimataifa wa Chama cha Wahasibu Wakuu wa Serikali wa nchi za Mashariki na Kusini mwa Afrika (ESAAG) ambaye pia ni Makamu Mhasibu Mkuu wa Serikali Azizi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani