Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TANZANIA YAADHIMISHA MIAKA 100 TANGU KUANZA KWA VITA KUU YA KWANZA YA DUNIA

Katika kuadhimisha miaka 100 ya kuanza kwa Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia, Tanzania, Ubelgiji, Ugiriki, Iraki, Kenya, Nigeria na Afrika Kusini zimeungana na India katika hafla iliyoendana na uzinduzi wa kitabu cha picha za kumbukumbu za wapiganaji waliofariki kwenye vita hiyo kuanzia mwaka 1914 – 1918.
Akizungumza kwenye hafla hiyo, iliyofunguliwa na Mhe. Ban Ki-moon, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na Mhe. John W. Ashe, Rais wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa na kuhudhuriwa na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

CloudsFM

Dunia yaadhimisha Mandela Day kwa mara ya kwanza tangu kifo chake....

Watu duniani kote Ijumaa hii wanasherehekea, “Mandela Day” ikiwa ni ya kwanza tangu rais huyo wa kwanza wa Afrika Kusini afariki dunia. Kama angekuwa hai, leo angetimiza umri wa miaka 96.

Kwa miaka mitano sasa mamilioni ya watu duniani wamekuwa wamekuwa wakijitolea dakika 67 za muda wao kila July 18 kuadhimisha miaka 67 ya harakati za kupigania uhuru za Mandela nchini Afrika Kusini. Mandela alifariki December 5 mwaka jana akiwa na miaka 95 kutokana na kuugua kwa muda mrefu.

Shughuli...

 

10 years ago

Mwananchi

Dunia yaadhimisha miaka 70 ya kumalizika kwa vita

>Dunia imeadhimisha miaka 70 ya kumalizika kwa Vita vya Pili ya Dunia baada ya Jeshi la Kinazi la Ujerumani kujisalimisha kwa jeshi la muungano wa Jamhuri za Kisovieti, Mei 8, mwaka 1945.

 

11 years ago

Bongo5

Dunia yaadhimisha Mandela Day ya kwanza tangu kifo chake

Watu duniani kote Ijumaa hii wanasherehekea, “Mandela Day” ikiwa ni ya kwanza tangu rais huyo wa kwanza wa Afrika Kusini afariki dunia. Kama angekuwa hai, leo angetimiza umri wa miaka 96. Kwa miaka mitano sasa mamilioni ya watu duniani wamekuwa wamekuwa wakijitolea dakika 67 za muda wao kila July 18 kuadhimisha miaka 67 ya harakati […]

 

10 years ago

Mwananchi

Harakati za kuadhimisha Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia zinatufunza nini? -2

Watu wote wanaoifahamu vizuri historia ya nchi hii watakubaliana nami kuwa Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia imeacha utajiri mkubwa wa kihistoria ambao kama ungeenziwa ungekuwa ni chanzo kingine kikubwa cha mapato kutokana na fursa za utalii zilizomo ndani yake.

 

10 years ago

Mwananchi

Harakati za kuadhimisha Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia zinatufunza nini? -1

Hekaheka zinaendelea kote ulimwenguni, hususan katika Ulaya kuadhimisha miaka 100 tangu kuanza kwa Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia.

 

9 years ago

Michuzi

LHRC YAADHIMISHA MIAKA 20 TANGU KUANZISHWA KWAKE SEPTEMBA 26, 1995

 Mgeni rasmi katika Maadhimisho ya miaka 20 tangu kuanzishwa kwa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) Septemba 26,1995, Jaji Mstaafu Osebia Munuo (katikati), akikata utepe kuashiria uzinduzi wa kitabu cha maadhimisho ya miaka 20 cha LHRC yaliyofanyika Makao Makuu ya LHRC Kijitonyama Dar es Salaam jana. Kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya LHRC, Geoffrey Mmari na Mkurugenzi Mtendaji wa LHRC, Dk.Helen Kijo-Bisimba.  Mgeni rasmi katika Maadhimisho ya miaka 20 tangu kuanzishwa kwa Kituo cha...

 

5 years ago

BBCSwahili

Ni miaka ishirini tangu waumini 700 kujiteketeza Uganda kwa kuamini ni mwisho wa dunia

Waumini wa kanisa la Amri za Mungu nchini Uganda, walioamini kuwa mwaka 2000 ndio mwisho wa dunia hivyo wakaamua kujiteketeza kwa moto.

 

10 years ago

Mwananchi

Mjue mtu aliyechochea kuzuka kwa Vita ya Kwanza ya Dunia-2

Mwaka 1912, Gavrilo Princip alifukuzwa shule kwa sababu ya kushiriki maandamano ya kupinga utawala wa Austria-Hungary. Kwa mujibu wa mwanahistoria Malcom Noel, Princip aliondoka Sarajevo muda mfupi baada ya kutimuliwa shule na kuanza safari ya kilometa 280 kwa miguu kuelekea Belgrade

 

10 years ago

BBCSwahili

Armenia wakumbuka vita kuu ya dunia

Raia wa Armenia kutoka pande zote Duniani wanakusanyika mji mkuu ,Yerevan kufanya kumbukumbu ya mauaji vita kuu ya dunia.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani