Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ni miaka ishirini tangu waumini 700 kujiteketeza Uganda kwa kuamini ni mwisho wa dunia

Waumini wa kanisa la Amri za Mungu nchini Uganda, walioamini kuwa mwaka 2000 ndio mwisho wa dunia hivyo wakaamua kujiteketeza kwa moto.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

TANZANIA YAADHIMISHA MIAKA 100 TANGU KUANZA KWA VITA KUU YA KWANZA YA DUNIA

Katika kuadhimisha miaka 100 ya kuanza kwa Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia, Tanzania, Ubelgiji, Ugiriki, Iraki, Kenya, Nigeria na Afrika Kusini zimeungana na India katika hafla iliyoendana na uzinduzi wa kitabu cha picha za kumbukumbu za wapiganaji waliofariki kwenye vita hiyo kuanzia mwaka 1914 – 1918.
Akizungumza kwenye hafla hiyo, iliyofunguliwa na Mhe. Ban Ki-moon, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na Mhe. John W. Ashe, Rais wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa na kuhudhuriwa na...

 

10 years ago

BBCSwahili

watu ishirini wafariki dunia Nigeria

Watu ishirini wamefariki dunia kutokana na shambulio la kujitoa muhanga katika soko la wachuuzi wa samaki,Nigeria.

 

11 years ago

CloudsFM

Dunia yaadhimisha Mandela Day kwa mara ya kwanza tangu kifo chake....

Watu duniani kote Ijumaa hii wanasherehekea, “Mandela Day” ikiwa ni ya kwanza tangu rais huyo wa kwanza wa Afrika Kusini afariki dunia. Kama angekuwa hai, leo angetimiza umri wa miaka 96.

Kwa miaka mitano sasa mamilioni ya watu duniani wamekuwa wamekuwa wakijitolea dakika 67 za muda wao kila July 18 kuadhimisha miaka 67 ya harakati za kupigania uhuru za Mandela nchini Afrika Kusini. Mandela alifariki December 5 mwaka jana akiwa na miaka 95 kutokana na kuugua kwa muda mrefu.

Shughuli...

 

11 years ago

Dewji Blog

Mzee aishi wodini kwa miaka 45 tangu Januari mosi mwaka 1971

DSC07576

Mzee Abdi Nkhambi Lanjui (75) akiwa wodi namba nne katika hospitali ya mkoa mjini Singida. Mzee Lanjui mzaliwa wa kijiji cha Mhintiri tarafa ya Ihanja, aliyekuwa dereva wa kampuni ya mamlaka ya Pamba Mwanza, alipata ajali katikati ya mwaka 1968 na kulazwa katika hospitali ya Sekoture Mwanza na baadaye mwishoni mwa mwaka 1970,alihamishiwa hospitali ya mkoa wa Singida, ambako anaishi hadi sasa. Ajali hiyo ilisababisha kukatika mawasiliano kati ya kuanzia kiunoni na kushuka chini ambako...

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA YA MAFANIKIO YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE KWA MIAKA MITANO TANGU 2010-2015

Hii ni taarifa ya maendeleo yaliyofanywa na serikali kwa kushirikiana na wananchi na watendaji wa halmashauri ya wilaya ya Makete tangu mwaka 2010 hadi mwaka huu 2015, kama ilivyosomwa na aliyekuwa mwenyekiti wa halmashauri hiyo Mh. Daniel Okoka kabla ya baraza hilo kuvunjwa hivi karibuni.

 

9 years ago

Vijimambo

WATUMISHI WANAWAKE WA KRISTO WA KANISA LA TAG NCHINI WAADHIMISHA MIAKA 50 TANGU KUANZISHWA KWA CHAMA CHAO

 Makamu Mstaafu wa wanawake wa watumishi wa Kristo (WWK) Taifa  Bi. Eshimendi Roghat Swai akihubiri katika maadhimisho ya miaka 50 ya chama cha wanawake hao toka kuanzishwa ndani ya kanisa la Tanzania Assembless Of God (TAG) yaliyofanyika katika uwanja wa Jamhuri Dodoma.Picha na John Banda. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Luteni Mstaafu Chiku Gallawa ( wa pili kutoka kushoto) akiwa pamoja na Baadhi ya viongozi wa Kanisa hilo katika katika uwanja wa Jamhuri Dodoma wakati wa maadhimisho ya miaka 50 ya...

 

5 years ago

Michuzi

PROFESA KABUDI AMLILIA BALOZI DK.MAHIGA...AELEZA ALIVYOMFAHAMU TANGU MIAKA YA 1970, PIGO KWA NCHI

 Na Ripota Wetu,Michuzi TV

WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa John Kabudi amesema amepokea kwa masikitiko makubwa ,majonzi na mfadhahiko mkubwa taarifa za kufariki Dunia kwa Balozi Dk.Agustine Mahiga huku akieleza kuwa Tanzania imempoteza mwana halisi wa Tanzania na mzalendo aliyeitumikia nchi kwa moyo na akili zake zote.

Balozi Dk.Mahiga amefariki Dunia leo Mei 1, mwaka 2020 na kifo chake kimeishtua Mataifa mbalimbali kutokana na mchango wake mkubwa kwenye eneo...

 

10 years ago

Vijimambo

NEW YORK CITY YAWAKARIBISHA WATANZANIA WOTE KWENYE PARTY YA NGUVU YA MIAKA 38 TANGU KUZALIWA KWA CCM -JUMAMOSI FEB 21 !

Hii itakuwa ni Sherehe ya aina yake kufanyika katika Jiji la Wajanja Big Apple,Watu wote bila kujali Itikadi zao wanaalikwa kwani hii ni Birthday Bashhh na sio mkutano wa kisiasa,Njoo uburudike na watanzania wenzako kutoka states mbali mbali pamoja na Nje ya nchi,kutakuwepo na Burudani kutoka kwa wasanii maarufu kutoka Tanzania,Habari zaidi za Wasanii na Mgeni Rasmi kufuata.
                                                   Tuungane Tuiline Tanzania Yetu



                          
           ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani