PROFESA KABUDI AMLILIA BALOZI DK.MAHIGA...AELEZA ALIVYOMFAHAMU TANGU MIAKA YA 1970, PIGO KWA NCHI
![](https://1.bp.blogspot.com/-wxMH2VYl_48/XqxnC8yAMHI/AAAAAAALozI/Uwu15-cIXj4J7xqQhu3Z2hdYklT-5NpUQCLcBGAsYHQ/s72-c/unnamed.jpg)
Na Ripota Wetu,Michuzi TV
WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa John Kabudi amesema amepokea kwa masikitiko makubwa ,majonzi na mfadhahiko mkubwa taarifa za kufariki Dunia kwa Balozi Dk.Agustine Mahiga huku akieleza kuwa Tanzania imempoteza mwana halisi wa Tanzania na mzalendo aliyeitumikia nchi kwa moyo na akili zake zote.
Balozi Dk.Mahiga amefariki Dunia leo Mei 1, mwaka 2020 na kifo chake kimeishtua Mataifa mbalimbali kutokana na mchango wake mkubwa kwenye eneo...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi08 Jul
‘Balozi Mahiga alikuwa hodari tangu shuleni’
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-P6bAjyKKtbU/XpQX62g_rEI/AAAAAAALm14/hHqJ3szIb308xcIhfNheerTsrVHY57zZACLcBGAsYHQ/s72-c/4626e88e-41af-40c1-a155-544c60058837.jpg)
MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA (TMDA) ILIVYOWEKA HISTORIA YA KUREKODI KIASI CHA MVUA NYINGI TANGU MWAKA 1970
MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema mwaka 2019 umeweka rekodi na kushika nafasi ya nne kwa kuwa na kiasi cha mvua nyingi tangu mwaka 1970
Mkurugenzi Mkuu wa TMA, Dkt. Agnes Kijazi ameyasema hayo mbele ya waandishi wa habari alipokuwa akitoa uzinduzi wa ripoti ya tathmini ya hali ya hewa wakati wa kikao cha Bodi ya TMA kilichofanyika katika ofisi za Makao Makuu ya TMA Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam.
Akizindua ripoti hiyo, Dkt. Kijazi ...
5 years ago
MichuziKABUDI AWATAKA WATUMISHI WA WIZARA YA MAMBO YA NJE KUJITOA MUHANGA KWA MASLAHI YA NCHI
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb.) akifungua rasmi Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara lililofanyika kwenye Ukumbi wa Hazina jijini Dodoma tarehe 14 Machi, 2020. Pamoja na mambo mengine, Mhe. Prof. Kabudi amewataka Wafanyakazi wa Wizara hiyo kutekeleza majukumu yao kwa kujituma na kutanguliza mbele maslahi ya Taifa.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Kanali Wilbert A. Ibuge...
9 years ago
Dewji Blog22 Dec
Waziri Mahiga akutana kwa mazungumzo na Balozi wa China nchini
11 years ago
Mwananchi20 Apr
Profesa Kabudi awasha moto Katiba Mpya
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-9EF_atkQ6TA/XqwL342g0UI/AAAAAAALoxI/B63wNYhmsr0WN6YZoYYPlCwYW3SXw26MACLcBGAsYHQ/s72-c/EFdJ0H-UEAA9KVy.jpg)
ULALE PEMA BALOZI MAHIGA, UPUMZIKE KWA AMANI JAJI AGUSTINO RAMADHANI
![](https://1.bp.blogspot.com/-9EF_atkQ6TA/XqwL342g0UI/AAAAAAALoxI/B63wNYhmsr0WN6YZoYYPlCwYW3SXw26MACLcBGAsYHQ/s640/EFdJ0H-UEAA9KVy.jpg)
NIMEZIMA Televisheni. Sitaki kuangalia tena, nimejikuta nachukia kwanini niliwasha data asubuhi na kukutana na taarifa zilizouumiza moyo wangu.
Kama Taifa tumeumaliza mwezi Aprili vibaya sana. Tumeuanza mwezi Mei kwa uchungu na vilio. Ni nini hiki tunapitia? Ndio zile nyakati za Dhiki kuu zilizoandikiwa na akina Ellen G White?. Maumivu hakika.
Tazama. Leo asubuhi Rais Dk John Magufuli ametangaza kifo cha Mwamba wa Diplomasia, Kachero wa Kimataifa na Balozi wetu wa...
5 years ago
MichuziPROFESA KABUDI APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA UN, UNHCR
Waziri Kabudi amewaeleza Bw. Milisic na Bw. Canhandula kuwa UN pamoja na UNHCR zimekuwa na mchango mkubwa kwa kuiunga mkono Serikali ya Jamhuri ya...
5 years ago
Michuzi![](https://img.youtube.com/vi/whaw-KAIyDI/default.jpg)
10 years ago
Mwananchi07 Jan
Mauya: Tunayoona ni matunda ya kuichezea elimu miaka ya 1970