Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ULALE PEMA BALOZI MAHIGA, UPUMZIKE KWA AMANI JAJI AGUSTINO RAMADHANI

Charles James, Michuzi TV

NIMEZIMA Televisheni. Sitaki kuangalia tena, nimejikuta nachukia kwanini niliwasha data asubuhi na kukutana na taarifa zilizouumiza moyo wangu.

Kama Taifa tumeumaliza mwezi Aprili vibaya sana. Tumeuanza mwezi Mei kwa uchungu na vilio. Ni nini hiki tunapitia? Ndio zile nyakati za Dhiki kuu zilizoandikiwa na akina Ellen G White?. Maumivu hakika.

Tazama. Leo asubuhi Rais Dk John Magufuli ametangaza kifo cha Mwamba wa Diplomasia, Kachero wa Kimataifa na Balozi wetu wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Jaji Agustino Ramadhani ahutubia mkutano wa Haki za Binadamu

rais

Raisi wa Mahakama ya Afrika ya Haki za binadamu Jaji Agustino Ramadhani, akihutubia  mkutano wa Haki za binadamu uliofanyika jana  jijini Arusha wenye lengo la kuimarisha haki za binadamu na kushirikisha taasisi binafsi na za serikali katika kuisaidia Mahakama hiyo .Picha na Mahmoud Ahmad – Arusha).

 

10 years ago

Mwananchi

UCHAGUZI CCM 2015: Agustino Ramadhani Jaji Mkuu mstaafu

>Jaji Augustino Ramadhani alizaliwa Desemba 28, 1945 mjini Unguja, Zanzibar akiwa mtoto wa pili kati ya wanane waliozaliwa kwa wazazi wake. Baba yake ni Mathew Douglas Ramadhani, raia wa Zanzibar aliyefariki dunia mwaka 1962.

 

10 years ago

Michuzi

BALOZI AGUSTINO MAHIGA APATA WADHAMINI WA KUTOSHA KINONDONI

Aliyekuwa Balozi wa Kudumu wa Tanzania Umoja wa Mataifa (UN), Balozi Dkt. Augustino Mahiga (kulia), akizungumza na wadhamini kushoto ni katibu wilaya na kulia aliyekuwa Katibu wa Bunge Geroge Mlawa (MSTAAFU) Aliyekuwa Balozi wa Kudumu wa Tanzania Umoja wa Mataifa (UN), Balozi Dkt. Augustino Mahiga (kushoto), akipokea fomu ya wadhamini kutoka kwa Katibu wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Kinondoni, Athumani Shesha, Dar es Salaam juzi, alipokwenda kuomba wadhani katika wilaya hiyo. 

 

10 years ago

Raia Mwema

Kwa nini haikuwa Jaji Ramadhani?

KUNA swali linahitaji kujibiwa na ninaamini linastahili kujibiwa.

Lula wa Ndali Mwananzela

 

11 years ago

Michuzi

JAJI AUGUSTINEO RAMADHANI AWATAKA WAJUMBE KUJADILI RASIMU KWA MAKINI

Makamu mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Mstaafu Augustino Ramadhani akiongea jijini Dar es Salaam jana Aprili 3, 2014 katika wa mjadala kuhusiana na umuhimu wa Tanzania kuwa na katiba mpya ya kipekee, Mjadala ulioandaliwa na asasi isiyo ya kiserikali ya The  Open Society Initiative  For  Eastern African Tanzania  (OSIEA). Kulia kwake ni Mwenyekiti wa Mjadala huo, Profesa Chris Maina, pamoja na Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Dkt. Ayoub Rioba. Kamishana wa zamani...

 

11 years ago

GPL

JAJI AUGUSTINO RAMADHANI AWATAKA WAJUMBE KUJADILI RASIMU KWA MAKINI‏

Makamu mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Mstaafu Augustino Ramadhani akiongea jijini Dar es Salaam jana Aprili 3, 2014 katika wa mjadala kuhusiana na umuhimu wa Tanzania kuwa na katiba mpya ya kipekee, Mjadala ulioandaliwa na asasi isiyo ya kiserikali ya The  Open Society Initiative For  Eastern African Tanzania (OSIEA). Kulia kwake ni Mwenyekiti wa Mjadala huo, Profesa Chris Maina, pamoja na Mhadhiri wa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Waziri Mahiga akutana kwa mazungumzo na Balozi wa China nchini

Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga akimkaribisha Balozi wa China hapa nchini, Mhe. Dkt. Lu Youqing  alipofika Wizarani kwa ajili ya kumpongeza kwa kuteuliwa katika wadhifa huo mpya na pia kuzungumzia masuala ya ushirikiano kati ya Tanzania na China. Pembeni ni Mkurugenzi wa Idara ya Asia na Australasia katika Wizara ya Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Balozi Mbelwa Kairuki. Balozi...

 

10 years ago

Vijimambo

Jaji Mkuu mstaafu Augustino Ramadhani ajitosa kuwania urais kwa tiketi ya CCM

Hatimaye aliyekuwa Jaji mkuu wa Tanzania,Jaji Augustino Ramadhan amechukua rasmi fomu ya kuomba ridhaa ya wana CCM ili apitishwe kuwania nafasi ya urais hapo mwezi wa kumi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani